DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
No sio hawana uwezo kichwani, law is a professinal for smart people, they are not smart enough!. FCO ilikuwa inatafuta Political Advisor, tumeomba more than 100 people, tukafanya interview 16 tukawa shortlisted, tukafanya oral tukabak 6. 3 wana Ph.D, 2 wana Masters 1 ambaye ni mimi ndio ni 1st degree, tukapewa amplitude timed test ya 10 question for 30 min. Mimi nilimaliza after 25 min. Mimi ndie niliyepata hiyo kazi!. Kuna wasomi wazuri tuu wana Ph.D za maana tuu, but they are not smart!
Law needs smart people!.
P
Kwa kweli hyo fani inakupaza uwe smart sna kichwani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimesema kuna watu kibao wamesoma sheria lakini wanafanya shughuli nyingine na sio za uwakili. Ma legal officers kibao hata kwenye baadhi ya law firms sio mawakili!, watu wote wenye certificates in law na wenye ODL wanafanya paralegal na wanasaidia wananchi kwenye issues za kisheria kuliko mawakili. Watu wanafeli sana LST kwasababu sheria inahitaji watu very smart upstairs, enzi zetu bila Div. 1 sheria utaisikia!, sasa kila Tom, Dick and Harry anataka kuwa wakili na kuna vyuo kibao hadi vya uchochoroni vinatoa LL.B. Pale UDSM 1st class ya mwisho ni ya Prof. Hamidu Majamba, ilipatikana 1992 mpaka leo its 30 years hakuna 1st class ya sheria!. Leo nenda kaangalie matokeo ya LL.B za KIU!, mtu ana Div.111 kajiunga KIU katoka na 1st Class, wanatoa 1st class za kumwaga kama zote!,
Sasa mtu kama huyu pale LST lazima atazungusha!.
P.
Comment ya busara Sana
 
Au eti una mkuta mtu kasoma masoka Ana first class ya account ila kutoboa cpa hawajawai maisha yao yote sas unanikuta mm nimesoma chuo Cha serkali nimepiga advance acconta CPA nakah single siti tu nangoa paper zote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
No sio hawana uwezo kichwani, law is a professinal for smart people, they are not smart enough!. FCO ilikuwa inatafuta Political Advisor, tumeomba more than 100 people, tukafanya interview 16 tukawa shortlisted, tukafanya oral tukabak 6. 3 wana Ph.D, 2 wana Masters 1 ambaye ni mimi ndio ni 1st degree, tukapewa amplitude timed test ya 10 question for 30 min. Mimi nilimaliza after 25 min. Mimi ndie niliyepata hiyo kazi!. Kuna wasomi wazuri tuu wana Ph.D za maana tuu, but they are not smart!
Law needs smart people!.
P
Sijui kwanini hata unaniletea matokeo yao ya udahili FCO hapa kuthibitisha hoja ya akili, ilhali kwingineko EAC ulishindwa vilevile. Nikitumia mantiki ya hii hoja yako ya kufaulu udahili kama kigezo cha akili, nadhani pia itakuwa sawa nikisema kwamba, hata wewe haukupita kwenye udahili wa EAC kwasababu wenzako waliopelekwa walikuwa na uwezo na uzoefu zaidi yako. Huu ndiyo udhaifu wa hoja yako, kwamba kwasababu umeshindwa mtihani basi huna uwezo....

Kama hoja ya kufauali mitihani peke yake ndiyo kigezo unachotumia kuangalia akili ya mtu, basi nchi hii bado tuna safari ndefu sana. Bwana Pasco, kule Uingereza wana MIDDLE TEMPLE, hivi unadhani assessment zao wanafanya kama LST ??? Yaani watu wanajitanabaisha kusema wanatoa POST-GRADUATE DIPLOMA IN LEGAL PRACTICE halafu wanatumia mitihani peke yake kuangalia uwezo wa wanafunzi, watu wakifeli mnawaita wajinga baada ya kuchua pesa zao. Hii siyo sahihi kabisa.

Nasikia hata WRITTEN PRACTICAL EXAMINATION (WPE) nayo wanafungiwa masaa zaidi ya 4 wakiandika tu, wakati kwingineko duniani WRITTEN PRACTICAL EXAMINATION (WPE) mwanafunzi anafanya tafiti huku anajadiliana na wenzake, mwishowe anaenda kufanya mtihani. Kama WPE nayo ni kusoma na kuandika nini maana ya neno PRACTICAL ???
 
Binafsi naomba nisema yafuatayo kuhusu shule ya sheria Tanzania:

Mosi,
kutokana na uhitaji wa elimu ya kusoma kwa vitendo (Post-Graduate Diploma in Legal Practice) haikutakiwa kuwe na shule moja nchi nzima tena ambayo iko kwenye mji kama Dar es salaam. Walau hizi shule zingekuwepo kikanda ili kuwaepusha na kadhia wale wanafunzi wanaotoka mikoa ya mbali kuja kurudia mitihani Dar es Salaam. Mtoto anasafiri kutoka Tarime, hana hata mkopo halafu anakuja Dar es salaam kufanya mtihani akiwa na 50/50 kwamba hilo somo analorirudia atafuaulu au lah.

Pili, mbinu ya kumpima mwanafunzi (Mod of Assessment) siyo rafiki kabisa na haizingatia utaalamu wa kisaikolojia kwamba wanafunzi wana uelewa tofauti. Mtoto anasoma mwaka mzima halafu anapewa mitihani 24 ndani ya mwaka ambayo kama akifeli hata mmoja basi anaweza kupoteza zaidi hata ya miaka 2 anarudia tu kozi hiyo hiyo. Kikawaida tulitegemea kwenye elimu ya vitendo wanafunzi wapimwe kupitia kazi nyingine muhimu ambazo lazima ziwe na alama, kama PRESENTATIONS, GROUP ASSIGNMENTS, CLINICS + WORKSHOPS and INTERNSHIP WITH MARKS.

Sasa wanaitwa DIPLOMA IN LEGAL PRACTICE huku wakichukua ada ya zaidi ya milioni moja, ilhali vipimo vyote vinatolewa kupitia mitihani. Hii siyo sahihi, kwasababu hata mahakamani kwenyewe wanasheria huwa hatuviziani ila tunapewa muda wa kujiandaa. Sasa mtoto anakaa INTERNSHIP miezi zaidi ya sita huku akija kukaguliwa kihunihuni tu mara moja, bila kupewa alama yoyote ile ya muhimu. Kwanini hawa wanafunzi wasipangiwe hata miezi miwili-miwili kufanya kazi la lazima zenye alamu mahakama za mwanza, mabaraza ya ardhi, mabalaza ya usuluhishi, dawati la jinsia ???

Jingine, ambalo nimeliona ni jambo la kipumbavu kufanywa na watu wanaojiita wasomi ni kitendo cha kutoa matokeo ya mitihani yote ya mwaka mzima ndani ya siku moja, baada ya mwaka mzima na miezi mitatu kupita. Kwanini matokeo ya ICA (Individual Continous Assessment), WPE (WRITTEN PRACTICAL EXAMINATION) na FINALS NON-CORE hayatolewi mapema, ili mwanafunzi ajue mbivu na mbichi na aweze kujipanga vizuri kwenye mitihani ya mwisho ??? Pia wawekewe utaratibu maalamu kabisa wa kuyarudia haya masomo wakati hata wako shule, hasa wiki moja baada ya kumaliza WPE ???

Tatu, hili la kulazimisha kila anayesoma sheria awe wakili nadhani ni jambo la kishenzi ambalo lilifanywa kwa mihemko bila kufikiriwa. Miaka yote huko nyuma watu tuliajiriwa kama STATE ATTORNEYS bila hata kuwa wanasheria. Tulitakiwa tu tufanye INTERNSHIP miezi tisa kwa ATTORNEY GENERAL halafu tunaenda kufanya BAR-EXAMINATION kule Arusha. Kinachoshangaza ni kwamba wengi ambao hawakupita Law School wako vizuri kuliko hata hawa watoto wenu wa Mawasiliano nyuma kule.

Kubwa zaidi, wanasheria tuko kwenye nyanja kuu mbili ambazo ni LEGAL PRACTITIONER (ADVOCATES) na JURIST (LEGAL SCHOLARS/LEGAL RESEARCHERS). Hawa ni watu wawili tofauti na wanafanya kazi tofauti kabisa, sasa ukitaka kuwalazimisha wawe kitu kimoja utakuwa unapuyanga mno. Leo hii ushauri wa sheria wa JURIST unaweza kuwa una uzito kuliko hata ORDINARY LEGAL PRACTITIONER, kutokana na tafiti na ufahamu. Sasa kwenye nchi fulani ya kusadikika, wenyewe kwasababu hawana SPECIALIZATION basi wanalazimisha kila mtu awe wakili, kwamba hata JURIST haweza kutoa ushauri kama hana muhuri. Just Lackadaissical and Nonsensical....

Nne, mtaala wa shule ya sheria ni wa kizamani sana na hauwezi kumfanya mwanafunzi awe vizuri kwenye soko la kimataifa. Kuna baadhi ya masomo tulitegemea yafundishwe pale LST, lakini hayapo kwenye mtaala. Mfano, INTERNATIONAL COMMERCIAL ARBITRATION, INVESTMENT LAW, BASICS OF INTERNATIONAL ECONOMICS LAW/ INTERNATIONAL TRADE AND FINANCE LAW. Nchi haina wataalamu wa haya masomo, sisi tunakomaa kufundisha PROPABATE & ADMINISTRATION OF ESTATES, COMMERCIAL LAW, LEGAL ETHICS, HUMAN RIGHTS and ACCOUNTS FOR LAWYERS masomo ambayo vyuo vingi vinayafundisha na vinaweza kuyafundisha vizuri.

Kesi kubwa kama zila za makinikia, DOWANS, ESCROW n.k zinahitaji mwanasheria walau awe anajua masomo ya INTERNATIONAL COMMERCIAL ARBITRATION, ambapo anatakiwa aifahamu mikataba mikubwa BIT (Bilateral Investment Treaties), pamoja na taasisi muhumu kama ICSID, PIC, ICC. Lakini sisi tunakomaa kuwafelisha watoto masomo kama ACCOUNTS. Sijui hii nchi haina watu wenye akili kabisa. Mambo ya ajabu yanafanyika na hakuna hata anayestuka.

Tano, mradi wa LST tangu mwaka 2006 marehemu Prof. Mukoyogo aliupinga kweli kwasababu aliona hauna maana zaidi ya kuwatengenezea ulaji baadhi ya wataalamu wa pale University of Dar es Salaam. Hivi kweli, tuna uhakika kwamba haya masomo ya LST hayawezi kufundishwa vizuri kwenye vyuo ambavyo wanafunzi wanasoma wakiwa wanatafuta Shahada ya kwanza kweli ???

Jambo jingine ni kwamba wataalamu wengi wa pale LST wameamua kufanya biashara ya vitabu. Wanatunga mitihani ambayo majibu yake utayapata kama tu umenunua vitabu vyao. Hili nilishawahi kuambiwa nikathibitisha mwenyewe kwenye baadhi ya vitabu. Hii ni tabia ya kishezi ambayo inaumiza na kukwamisha wengine huku wengine wakipata ukwasi mkubwa. Mwanafunzi anataoa pesa nyingi za Ada lakini hivyo vitabu havipo maktaba, utavipata mpaka umfuate mwandishi mwenyewe na umlipe 50,000. Kwanini msiweke vitabu vingi kule maktaba wanafunzi wakavisoma ???

Sita, hivi inawezekanaje mwanafunzi ambaye amefauli vizuri shahada yake afeli vibaya kwa kiwango cha DISCONTINUE pale LST ??? Ina maana huyu mwanafunzi hafahamu kitu chochote kabisa ??? Lakini, kubwa zaidi ni hili la wanafunzi 600 kuanza pamoja, lakini wanaofaulu ni watu 30, huku nusu ingine ikiwa inafanya SUPPLEMENTARY au DISCONTINUED. Sijui kwanini hili haliwastui Majaji na Wizara. Watu hufeli, lakini siyo kwa kiwango hicho ambacho kinafanyika pale Law School.

Pia, pale pana rushwa sana ya ngono, kukomoana na kubadilishiana matokeo. Kuna jamaa niliwahi kuwa naye mahakamani aliwahi niambia kwamba kuna rafiki zake wanafundisha pale walimuahidi kwamba watamfaulisha, na kweli alifauri vizuri hadi tukashangaa. Alikuwa na maswali hata kabla mitihani haijaanza. Nikasema HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...

TANZANIA HAKUNA KITU KINACHOFANYA KAZI VIZURI KUSEMA TUNAWEZA JIVUNIA...
This is massive
 
-kazi za wenye degree ya sheria mbona nyingi tu unaweza kuwa afisa forodha,afisa tawala,afisa rasilimali watu, operation officer, afisa mambo ya nje,nk nk nk sio lazima uwe State attorney, magistrate
Hiyo LST imulikwe kwa ukaribu kuna uhuni tu unafanyika.
Ushauri mzuri ametoa Malcom. Unajua kuna mambo yanafanyika inchi hii utastaajabu kabisa kweli hawa watu wana akili?

Uhuni uhuni tu hasa huko vyuoni unaweza ukamleta Bjarne Stroustrup Tanzania akafanya mtihani huko vyuoni wa C++ na akafeli mtasema huyo hana uelewa wa programming kwa mfano.
 
Nimesema kuna watu kibao wamesoma sheria lakini wanafanya shughuli nyingine na sio za uwakili. Ma legal officers kibao hata kwenye baadhi ya law firms sio mawakili!, watu wote wenye certificates in law na wenye ODL wanafanya paralegal na wanasaidia wananchi kwenye issues za kisheria kuliko mawakili. Watu wanafeli sana LST kwasababu sheria inahitaji watu very smart upstairs, enzi zetu bila Div. 1 sheria utaisikia!, sasa kila Tom, Dick and Harry anataka kuwa wakili na kuna vyuo kibao hadi vya uchochoroni vinatoa LL.B. Pale UDSM 1st class ya mwisho ni ya Prof. Hamidu Majamba, ilipatikana 1992 mpaka leo its 30 years hakuna 1st class ya sheria!. Leo nenda kaangalie matokeo ya LL.B za KIU!, mtu ana Div.111 kajiunga KIU katoka na 1st Class, wanatoa 1st class za kumwaga kama zote!,
Sasa mtu kama huyu pale LST lazima atazungusha!.
P.
Kwamba matokeo ya advance, yanaweza kusema utapata nini Chuo kikuu [emoji1]
 
No sio hawana uwezo kichwani, law is a professinal for smart people, they are not smart enough!. FCO ilikuwa inatafuta Political Advisor, tumeomba more than 100 people, tukafanya interview 16 tukawa shortlisted, tukafanya oral tukabak 6. 3 wana Ph.D, 2 wana Masters 1 ambaye ni mimi ndio ni 1st degree, tukapewa amplitude timed test ya 10 question for 30 min. Mimi nilimaliza after 25 min. Mimi ndie niliyepata hiyo kazi!. Kuna wasomi wazuri tuu wana Ph.D za maana tuu, but they are not smart!
Law needs smart people!.
P
Huna lolote mjinga wewe. Kwanza ushazeeka hebu kwenda kajifie huko!

Unajifanya smart analyst kumbe uchwara tu...

Let young people have opportunities. Law is not a special profession than any others.
 
We mzee huwa unadhani uko smart kichwani na ma-theories yako lakini hakuna kitu just a fake genius wannabe.
Mimi sio genious, ila pia sio kilaza!. Nimesoma Special School, Ilboru, uliza namna ya ku join special school.
LL.B yangu ni hons!, mtafute yoyote aliyesoma sheria UDSM umuulize hons ya UD sheria ina maana gani?.
Huna uspesho wowowe kama ambavyo hiyo sheria haina uspesho wowote.
Its true mimi sina u special wowote na sheria haina u special wowote ila mimi ni wakili na kuwa wakili one needs to be very very special!.
Kila mwananchi katika nchi hii anaweza kusoma sheria madhali katimiza vigezo.
Yes kila mtu anayejua kusoma na kuandika, anaweza kusoma sheria na kuwa mwanasheria, kila wakili ni mwanasheria ila sio kila mwanasheria ni wakili, ili mtu uwe wakili ni lazima upite LST.
Na likitambi lako hilo utakuwa wakili wa wapi wewe shenzi zako!
Duh...!, kama kutukana watu makes you happy, be happy, enjoy!.
Unajidanganya sana we mzee. Huna usmart wowote kama unavyodhani
Kuna usmart wa aina mbili, inward and outward, inward smatness ni ile ya wewe mwenyewe kujitambua na kujijua uko smart.
Outward smartness ni jinsi wengine wanavyokuona. Unaweza kujidhania you are smart kumbe watu wanakuona wewe ni kilaza fulani tuu!.

Galileo Galilei baada ya kuvumbua telescope, aliposema dunia ni duara!, aliuliwa kwa kunyongwa kwa kosa la kimkufuru Mungu wakiamini Mungu aliumba dunia bapa.

Hivyo unaweza kujidhana uko smart kumbe sii lolote, sii chochote.
P
 
Hizo statistics za kufaulu, kudisco, na kusupp kwa maoni yangu ni sahihi kabisa.
Niseme tu kwamba uelewa wa masomo wanayofundishwa kwa wanafunzi wengi kwenye mashule na vyuo vyote ni wa kiwango cha chini sana
Elimu yetu kwa sasa ni janga
 
Mimi sio genious, ila pia sio kilaza!. Nimesoma Special School, Ilboru, uliza namna ya ku join special school.
LL.B yangu ni hons!, mtafute yoyote aliyesoma sheria UDSM umuulize hons ya UD sheria ina maana gani?.

Its true mimi sina u special wowote na sheria haina u special wowote ila mimi ni wakili na kuwa wakili one needs to be very very special!.

Yes kila mtu
Stop nonsense we mzee.....

What is Ilboru... what have you done so far zaidi ya kupiga porojo tu...

Let the young generation get the opportunities they deserve na sio kutuletea stori za ujima za Divisheni one ya Kabudi na blah blah za ajabu ajabu.

Ujima ujima tu...
 
We mzee ni mpumbavu sana huwa unadhani uko smart kichwani na ma-theories yako lakini hakuna kitu just a fake genius wannabe.

Huna uspesho wowote wewe kama ambavyo hiyo sheria haina uspesho wowote.

Kila mwananchi katika nchi hii anaweza kusoma sheria madhali katimiza vigezo.

Na likitambi lako hilo utakuwa wakili wa wapi wewe shenzi zako!

Unajidanganya sana we mzee. Huna usmart wowote kama unavyodhani [emoji1787]
Join September 2022 halafu comments zako ni kutukana watu huyu unaemuita mpumbavu kakuzidi Kila kitu kuanzia akili mpaka elimu
 
Huo ndo uhalisia usipanic pale hapataki mchezo achana na vyuo vingine ,pale ni pagumu unafeli nje nje ukileta usanii...Kuna nondo za maana uwe na uwe wa kuchambua sana scenario ujue uhalisia na kuhandle masomo kibao ndani ya mda mfupi..

Usiwe kama kama uncivilized elelewa pascal kakupa uhalisia ivyo vyuo vinatia first class kibao za kiboya na wakifika pale wanakutana na nondo za maana lazima waangukie pua.
 
Join September 2022 halafu comments zako ni kutukana watu huyu unaemuita mpumbavu kakuzidi Kila kitu kuanzia akili mpaka elimu
Hii sio hoja BWANA MDOGO. Acha ubabaishaji.

Ukileta upumbavu nakutandika tu makwenzi. Sivumilii ujinga mimi.

Akili zake abaki nazo na mkewe huko, akiandika upumbavu tutamjibu upumbavu mara mbili zaidi.

I like to fight with fools!
 
Jf imevamiwa na vilaza
 
Back
Top Bottom