DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa kweli hyo fani inakupaza uwe smart sna kichwani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Comment ya busara Sana
 
Au eti una mkuta mtu kasoma masoka Ana first class ya account ila kutoboa cpa hawajawai maisha yao yote sas unanikuta mm nimesoma chuo Cha serkali nimepiga advance acconta CPA nakah single siti tu nangoa paper zote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sijui kwanini hata unaniletea matokeo yao ya udahili FCO hapa kuthibitisha hoja ya akili, ilhali kwingineko EAC ulishindwa vilevile. Nikitumia mantiki ya hii hoja yako ya kufaulu udahili kama kigezo cha akili, nadhani pia itakuwa sawa nikisema kwamba, hata wewe haukupita kwenye udahili wa EAC kwasababu wenzako waliopelekwa walikuwa na uwezo na uzoefu zaidi yako. Huu ndiyo udhaifu wa hoja yako, kwamba kwasababu umeshindwa mtihani basi huna uwezo....

Kama hoja ya kufauali mitihani peke yake ndiyo kigezo unachotumia kuangalia akili ya mtu, basi nchi hii bado tuna safari ndefu sana. Bwana Pasco, kule Uingereza wana MIDDLE TEMPLE, hivi unadhani assessment zao wanafanya kama LST ??? Yaani watu wanajitanabaisha kusema wanatoa POST-GRADUATE DIPLOMA IN LEGAL PRACTICE halafu wanatumia mitihani peke yake kuangalia uwezo wa wanafunzi, watu wakifeli mnawaita wajinga baada ya kuchua pesa zao. Hii siyo sahihi kabisa.

Nasikia hata WRITTEN PRACTICAL EXAMINATION (WPE) nayo wanafungiwa masaa zaidi ya 4 wakiandika tu, wakati kwingineko duniani WRITTEN PRACTICAL EXAMINATION (WPE) mwanafunzi anafanya tafiti huku anajadiliana na wenzake, mwishowe anaenda kufanya mtihani. Kama WPE nayo ni kusoma na kuandika nini maana ya neno PRACTICAL ???
 
This is massive
 
-kazi za wenye degree ya sheria mbona nyingi tu unaweza kuwa afisa forodha,afisa tawala,afisa rasilimali watu, operation officer, afisa mambo ya nje,nk nk nk sio lazima uwe State attorney, magistrate
Hiyo LST imulikwe kwa ukaribu kuna uhuni tu unafanyika.
Ushauri mzuri ametoa Malcom. Unajua kuna mambo yanafanyika inchi hii utastaajabu kabisa kweli hawa watu wana akili?

Uhuni uhuni tu hasa huko vyuoni unaweza ukamleta Bjarne Stroustrup Tanzania akafanya mtihani huko vyuoni wa C++ na akafeli mtasema huyo hana uelewa wa programming kwa mfano.
 
Kwamba matokeo ya advance, yanaweza kusema utapata nini Chuo kikuu [emoji1]
 
Huna lolote mjinga wewe. Kwanza ushazeeka hebu kwenda kajifie huko!

Unajifanya smart analyst kumbe uchwara tu...

Let young people have opportunities. Law is not a special profession than any others.
 
We mzee huwa unadhani uko smart kichwani na ma-theories yako lakini hakuna kitu just a fake genius wannabe.
Mimi sio genious, ila pia sio kilaza!. Nimesoma Special School, Ilboru, uliza namna ya ku join special school.
LL.B yangu ni hons!, mtafute yoyote aliyesoma sheria UDSM umuulize hons ya UD sheria ina maana gani?.
Huna uspesho wowowe kama ambavyo hiyo sheria haina uspesho wowote.
Its true mimi sina u special wowote na sheria haina u special wowote ila mimi ni wakili na kuwa wakili one needs to be very very special!.
Kila mwananchi katika nchi hii anaweza kusoma sheria madhali katimiza vigezo.
Yes kila mtu anayejua kusoma na kuandika, anaweza kusoma sheria na kuwa mwanasheria, kila wakili ni mwanasheria ila sio kila mwanasheria ni wakili, ili mtu uwe wakili ni lazima upite LST.
Na likitambi lako hilo utakuwa wakili wa wapi wewe shenzi zako!
Duh...!, kama kutukana watu makes you happy, be happy, enjoy!.
Unajidanganya sana we mzee. Huna usmart wowote kama unavyodhani
Kuna usmart wa aina mbili, inward and outward, inward smatness ni ile ya wewe mwenyewe kujitambua na kujijua uko smart.
Outward smartness ni jinsi wengine wanavyokuona. Unaweza kujidhania you are smart kumbe watu wanakuona wewe ni kilaza fulani tuu!.

Galileo Galilei baada ya kuvumbua telescope, aliposema dunia ni duara!, aliuliwa kwa kunyongwa kwa kosa la kimkufuru Mungu wakiamini Mungu aliumba dunia bapa.

Hivyo unaweza kujidhana uko smart kumbe sii lolote, sii chochote.
P
 
Hizo statistics za kufaulu, kudisco, na kusupp kwa maoni yangu ni sahihi kabisa.
Niseme tu kwamba uelewa wa masomo wanayofundishwa kwa wanafunzi wengi kwenye mashule na vyuo vyote ni wa kiwango cha chini sana
Elimu yetu kwa sasa ni janga
 
Stop nonsense we mzee.....

What is Ilboru... what have you done so far zaidi ya kupiga porojo tu...

Let the young generation get the opportunities they deserve na sio kutuletea stori za ujima za Divisheni one ya Kabudi na blah blah za ajabu ajabu.

Ujima ujima tu...
 
Join September 2022 halafu comments zako ni kutukana watu huyu unaemuita mpumbavu kakuzidi Kila kitu kuanzia akili mpaka elimu
 
Huo ndo uhalisia usipanic pale hapataki mchezo achana na vyuo vingine ,pale ni pagumu unafeli nje nje ukileta usanii...Kuna nondo za maana uwe na uwe wa kuchambua sana scenario ujue uhalisia na kuhandle masomo kibao ndani ya mda mfupi..

Usiwe kama kama uncivilized elelewa pascal kakupa uhalisia ivyo vyuo vinatia first class kibao za kiboya na wakifika pale wanakutana na nondo za maana lazima waangukie pua.
 
Join September 2022 halafu comments zako ni kutukana watu huyu unaemuita mpumbavu kakuzidi Kila kitu kuanzia akili mpaka elimu
Hii sio hoja BWANA MDOGO. Acha ubabaishaji.

Ukileta upumbavu nakutandika tu makwenzi. Sivumilii ujinga mimi.

Akili zake abaki nazo na mkewe huko, akiandika upumbavu tutamjibu upumbavu mara mbili zaidi.

I like to fight with fools!
 
Hii sio hoja BWANA MDOGO. Acha ubabaishaji.

Ukileta upumbavu nakutandika tu makwenzi. Sivumilii ujinga mimi.

Akili zake abaki nazo na mkewe huko, akiandika upumbavu tutamjibu upumbavu mara mbili zaidi.

I like to fight with fools!
Jf imevamiwa na vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…