DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
[emoji81][emoji81] hili nalo mka liangalie



Disco na sup zote hizo afu pass 26 seriously. Na hao wote wame toka Secondary. High level wengne diploma na wali faulu iweje wa fail kwa kiwango icho .kuna tatizo hapa
Hakuna tatizo lolote. Sheria haihitaji ufala. Mwaka 2019 hapo Kenya kulikuwa na petition kuhusu Kenya law school kufuatia wanafunzi wengi kufeli. Zambia nako mwaka 2021 kati ya 395 alifaulu mmoja. Vijana wakomae
 
Hakuna tatizo lolote. Sheria haihitaji ufala. Mwaka 2019 hapo Kenya kulikuwa na petition kuhusu Kenya law school kufuatia wanafunzi wengi kufeli. Zambia nako mwaka 2021 kati ya 395 alifaulu mmoja. Vijana wakomae
-eti ufala πŸ˜€
 
Zambia alifaulu mwanafunzi mmoja tu kwenye 395 waliofanya mitihan
Yet Zambia is one of the most shithole countries in Africa!

Na unaweza kukuta malengo sio kukuza ubora wa taaluma, isipokuwa ni ku-monopolize taaluma kwa ajili ya maslahi fulani.

Haiwezekani afaulu mtu mmoja kati ya watu mia tatu, that is a crazy joke!

We must revise the system of enrollment and see if it serves for the greater good of the people.

Unakuta tu ni mafisadi machache yameatamia taaluma kwa hofu ya kutunza hadhi ya wao kuitwa MAWAKILI WASOMI.

I don't believe in such nonsense of MAWAKILI WASOMI.

Hii inazalisha ugonjwa wa akili.
 
Aisee! Umekuaje wakili bila kupitia law school?
 
Jomba haya malalamiko ni karibu kila nchi.. nimeona Kenya na Zambia wanalia kinoma. Kwa upande wangu naona sawa tu ili tupate wanasheria wenye viwango. Tukisema tuwaonee huruma kisa wametoka familia maskini tutapunguza ubora wa elimu ya sheria. Mimi nasimama na Law School.. wakaze tupate mawakili wenye viwango
 
Kiswanglish kingi halafu pumba tupu. Unatetea upumbavu. Hata hapo Kenya suala la Law School yao lilifika bungeni kufuatia wanafunzi wengi kufeli. Vijana wajikaze.
 
Kiswanglish kingi halafu pumba tupu. Unatetea upumbavu. Hata hapo Kenya suala la Law School yao lilifika bungeni kufuatia wanafunzi wengi kufeli. Vijana wajikaze.
Kenya sio SI Unit.

Jifunze kujitegemea kimawazo, usiniambie habari za Kenya.

You must be a very weak minded fella, to begin with.

Huwezi kujenga hoja, unarukia habari za Kenya.
 
Aisee Pascal kapata mwiba mkali Safi sna mnk huyu bwana kashindikna kwa kujiona mwerevu kupita watz wengine asnte sna akae akijuwa kuwa kufeli mitiani syo kigezo Cha kuto kuwa na akili

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, unashangaa hilo tu. Kuna mtu kasoma LLB, LLM, PhD Uingereza halafu LST walimkamata na akadisco. Akaachana nao akaenda kusoma Uingereza akafaulu vizuri kwelikweli, ndiyo akarudi tena hapa BONGO. Mpaka leo hana hamu..
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ hatari
 
Mkuu Fureshimani, tunaxungumzia Tanzania na sio duniani!, fani inayoongoza kwa heshima Tanzani ni
  1. Mwanasiasa
  2. Udakitari,
  3. Sheria
Usilinganishe Bongo na Ulaya.
P
 
Mimi binafsi sijaona umuhimu kabisa wa hii shule, ulicho ongea ni kweli Kwa asilimia Mia, Nina mengi ya kuchangia, ngoja niishie hapa, Nita amka na huu Uzi asubuhi
 
Vijana kazeni. Hata kwa majirani kilio kinafanana kuhusu Law School
Vijana hawawezi kujikaza kwenye CORRUPT SYSTEM.

Mafisadi yameatamia taaluma yana hofu ya kulinda hadhi yao ya UWAKILI MSOMI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio chanzo cha hii mass failure. Ati anafaulu mtu mmoja kati ya watu mia tatu .... that's stupid.

Kwa elimu gani? Hayo ma-HKL?

Come on [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna tatizo lolote. Sheria haihitaji ufala. Mwaka 2019 hapo Kenya kulikuwa na petition kuhusu Kenya law school kufuatia wanafunzi wengi kufeli. Zambia nako mwaka 2021 kati ya 395 alifaulu mmoja. Vijana wakomae
Naona mmekuja kupiga siasa, na binafsi nadhani wengi mnahubiri msichokifahamu. Mtu yoyote makini huwezi kulinganisha kati ya shule ya sheria ya Tanzania iliyoanzishwa mwaka 2007 na ile ya Kenya iliyoanzishwa mwaka 1963. Utofauti, upo na mkubwa sana, kuanzia mbinu za ufundishaji (Pedagogical Methods), mbinu za kumpima mwanafunzi (Mode of Assessment) na Masomo yanayofundishwa.

The Law School of Kenya, mwanafunzi anapimwa kwa mfumo wa 20/20/60/. Ambapo Group Project Work anapewa alama 20, Oral Examination anapewa alama 20, na mitihani ya kuandika anapewa alama 60. The Law School of Tanzania, mwanafunzi anapimwa kwa mfumo wa 100, ambapo ni kuandika tu, mwanzo mwisho huku mwishoni akimaliza na Oral Examination. LST ni vurugu tupu na uhuni, siyo elimu ile.

Kama mtoto anafeli, basi afeli kiuhalali, lakini siyo kuhuni-huni tu. Lile la watu kulamba pesa na kugeuza watoto wetu miradi, hatulitaki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…