BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
-ona usivyo na akili, kama unaita affidavit document uchwara hapa ndio umeonesha jinsi gani ulivyo na uwezo mdogo wa kutafakari mambo, ndiyo maana Pasco kakubomoa huko juuNdio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-ona usivyo na akili, kama unaita affidavit document uchwara hapa ndio umeonesha jinsi gani ulivyo na uwezo mdogo wa kutafakari mambo, ndiyo maana Pasco kakubomoa huko juuNdio.
Hakuna tatizo lolote. Sheria haihitaji ufala. Mwaka 2019 hapo Kenya kulikuwa na petition kuhusu Kenya law school kufuatia wanafunzi wengi kufeli. Zambia nako mwaka 2021 kati ya 395 alifaulu mmoja. Vijana wakomae[emoji81][emoji81] hili nalo mka liangalie
Disco na sup zote hizo afu pass 26 seriously. Na hao wote wame toka Secondary. High level wengne diploma na wali faulu iweje wa fail kwa kiwango icho .kuna tatizo hapa
-eti ufala 😀Hakuna tatizo lolote. Sheria haihitaji ufala. Mwaka 2019 hapo Kenya kulikuwa na petition kuhusu Kenya law school kufuatia wanafunzi wengi kufeli. Zambia nako mwaka 2021 kati ya 395 alifaulu mmoja. Vijana wakomae
Yet Zambia is one of the most shithole countries in Africa!Zambia alifaulu mwanafunzi mmoja tu kwenye 395 waliofanya mitihan
Aisee! Umekuaje wakili bila kupitia law school?Sii kweli, sii kila anayesoma sheria, anasoma ili awe wakili, kuna wanasheria kibao wamesoma sheria na sasa wanafanya shughuli nyingine sio za uwakili.
Mfano mzuri ni mimi, nimefanya LL.B ikaishia kabatini na sasa ni wakili na wala sikupita LST na wala silimi nyanya!.
P
Anibomoe wapi huyo kilaza wa enzi za ujima [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndiyo maana Pasco kakubomoa huko juu
Jomba haya malalamiko ni karibu kila nchi.. nimeona Kenya na Zambia wanalia kinoma. Kwa upande wangu naona sawa tu ili tupate wanasheria wenye viwango. Tukisema tuwaonee huruma kisa wametoka familia maskini tutapunguza ubora wa elimu ya sheria. Mimi nasimama na Law School.. wakaze tupate mawakili wenye viwangoMkuu suti ni uniform tu kwa mujibu wa utaratibu wa chuo chenyewe.
Kumbuka pana wazazi maskini hapa wamepoteza:
265 x 1,570,000 = 416,050,000/- kwenye disco hizo hapo juu. Ambapo bila shaka LST wanahesabu kuwa ni faida kwao.
Wanafunzi hawa itakuwa kuwaonea kudhani kuwa hujiona wametoka. Hawa ni wahanga kama ilivyo kwa wengine wote ambao haki zao zinakiukwa wazi wazi na hawana namna.
Kiswanglish kingi halafu pumba tupu. Unatetea upumbavu. Hata hapo Kenya suala la Law School yao lilifika bungeni kufuatia wanafunzi wengi kufeli. Vijana wajikaze.Yet Zambia is one of the most shithole countries in Africa!
Na unaweza kukuta malengo sio kukuza ubora wa taaluma, isipokuwa ni ku-monopolize taaluma kwa ajili ya maslahi fulani.
Haiwezekani afaulu mtu mmoja kati ya watu mia tatu, that is a crazy joke!
We must revise the system of enrollment and see if it serves for the greater good of the people.
Unakuta tu ni mafisadi machache yameatamia taaluma kwa hofu ya kutunza hadhi ya wao kuitwa MAWAKILI WASOMI.
I don't believe in such nonsense of MAWAKILI WASOMI.
Hii inazalisha ugonjwa wa akili.
Yes. Sheria inahitaji umakini na kujitoa-eti ufala 😀
Ndio hivyo tena, watu hatufanani!. Mawakili wanaopita LST ni hawa madogo wa juzi, mimi ni wa longi, sisi wa longi, hatupiti LST.Aisee! Umekuaje wakili bila kupitia law school?
Kenya sio SI Unit.Kiswanglish kingi halafu pumba tupu. Unatetea upumbavu. Hata hapo Kenya suala la Law School yao lilifika bungeni kufuatia wanafunzi wengi kufeli. Vijana wajikaze.
Aisee Pascal kapata mwiba mkali Safi sna mnk huyu bwana kashindikna kwa kujiona mwerevu kupita watz wengine asnte sna akae akijuwa kuwa kufeli mitiani syo kigezo Cha kuto kuwa na akiliSijui kwanini hata unaniletea matokeo yao ya udahili FCO hapa kuthibitisha hoja ya akili, ilhali kwingineko EAC ulishindwa vilevile. Nikitumia mantiki ya hii hoja yako ya kufaulu udahili kama kigezo cha akili, nadhani pia itakuwa sawa nikisema kwamba, hata wewe haukupita kwenye udahili wa EAC kwasababu wenzako waliopelekwa walikuwa na uwezo na uzoefu zaidi yako. Huu ndiyo udhaifu wa hoja yako, kwamba kwasababu umeshindwa mtihani basi huna uwezo....
Kama hoja ya kufauali mitihani peke yake ndiyo kigezo unachotumia kuangalia akili ya mtu, basi nchi hii bado tuna safari ndefu sana. Bwana Pasco, kule Uingereza wana MIDDLE TEMPLE, hivi unadhani assessment zao wanafanya kama LST ??? Yaani watu wanajitanabaisha kusema wanatoa POST-GRADUATE DIPLOMA IN LEGAL PRACTICE halafu wanatumia mitihani peke yake kuangalia uwezo wa wanafunzi, watu wakifeli mnawaita wajinga baada ya kuchua pesa zao. Hii siyo sahihi kabisa.
Nasikia hata WRITTEN PRACTICAL EXAMINATION (WPE) nayo wanafungiwa masaa zaidi ya 4 wakiandika tu, wakati kwingineko duniani WRITTEN PRACTICAL EXAMINATION (WPE) mwanafunzi anafanya tafiti huku anajadiliana na wenzake, mwishowe anaenda kufanya mtihani. Kama WPE nayo ni kusoma na kuandika nini maana ya neno PRACTICAL ???
😄😄😄😄😄😄 hatariMkuu, unashangaa hilo tu. Kuna mtu kasoma LLB, LLM, PhD Uingereza halafu LST walimkamata na akadisco. Akaachana nao akaenda kusoma Uingereza akafaulu vizuri kwelikweli, ndiyo akarudi tena hapa BONGO. Mpaka leo hana hamu..
Wewe utakuwa ulifeli Law School. Una hasira sana.Kenya sio SI Unit.
Jifunze kujitegemea kimawazo, usiniambie habari za Kenya.
You must be a very weak minded fella, to begin with.
Huwezi kujenga hoja, unarukia habari za Kenya.
Mkuu Fureshimani, tunaxungumzia Tanzania na sio duniani!, fani inayoongoza kwa heshima Tanzani niPaschal leo umepuyanga..
Elimu ya juu inayoheshimika duniani zama hizi ni (STEM degree)
Hizo havard, oxford, zinaheshimika sababu ya STEM Courses
Stem inamaanisha Science , Technlogy, Engineering Na Mathematics
Kama unabisha fanya research kisha ulingainishe fani za STEM na sheria zipi ni fani ngumu na zenye heshima duniani zama hizi
Mimi binafsi sijaona umuhimu kabisa wa hii shule, ulicho ongea ni kweli Kwa asilimia Mia, Nina mengi ya kuchangia, ngoja niishie hapa, Nita amka na huu Uzi asubuhiKumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusiana ukiwamo utahini kwenye chuo hiki cha umma.
Takwimu hizi za matokeo ya hivi karibuni zinajionyesha:
View attachment 2381450
Hii ndiyo ilivyo hali ya pale LST kwa miaka nenda rudi.
Ada ni 1,570,000/- kwa mwaka inayotakiwa kulipwa yote kabla ya kuanza masomo.
Chuo hiki hakitambui hali halisi za watanzania na kuwa ni kwa kujinyima mno kwa wazazi kuwasomesha watoto wao kuishia kwenye siasa uchwara za hapo chuoni kwao.
Mitihani supplementary huwa haina ukomo ikilipiwa 30,000/- kwa component baada ya supplimentary ya kwanza. Course moja Ina components 3. Hivyo supplementary ni 90,000/- kwa course.
Vitabu vya walimu husika ni lazima wanafunzi kuvinunua kwa mzengwe wa kutosha. Photocopy za vitabu hivyo vinavyoruhusiwa kwenye mitihani ni batili.
Kuna pass mark 'dash'(-) zisizojulikana kwenye matokeo ya wanafunzi. Ambapo mtu mmoja katika course mbili, moja anaweza pata 'dash' kafaulu na nyingine akapata 'dash akawa kafeli.
Wanafunzi wawili pia somo hilo hilo, mmoja anaweza pata 'dash' kafaulu na mwingine 'dash' kafeli.
"Inawezekana namna gani?"
Malalamiko yako mengi yenye kuashiria fursa za rushwa za aina zote katika kujaribu kujinasua na vitanzi vya wazi vilivyopo chuoni hapo.
Ikumbukwe wanafunzi LST ni wahitimu wa shahada za kwanza, uzamili na hata uzamivu. Bila ya cheti Cha LST uhitimu wowote wa sheria ni kazi bure.
Kuna tuhuma za undugunization na ukabila. Kuna kujuana na connections. Katika wafanyakazi takribani 50 waliopo pale, wapo kadhaa wa kutokea familia moja (baba mmoja, mama mmoja) kama waajiriwa.
Wanafunzi wanaopata nafasi zaidi za kufaulu ni wale wenye unasaba na vigogo wa serikali wakiwamo mawaziri, majaji nk. Wenzangu na miye utakata rufaa katika mahakama ipi kwenye hali hii.
Chuo kimekuwa kama si taasisi ya serikali bali mali ya watu binafsi.
Kama kwa kufeli wanafunzi ni uhakikisho wa waendeshaji kujipatia mapato zaidi, watafaulu vipi wanafunzi kwa halali?
Kama walimu ni miungu watu kiasi hiki, ukimwi utakwisha kweli Tanzania hii?
"Hiki ni chuo cha umma, wenye dhamana hawawezi kuchagua kukaa kimya."
Bahati mbaya, ya namna hii si kwa LST peke yake.
Vimullikwe vyuo vyote vya elimu ya juu. Kutenganisha watunga mitihani, wasahihishaji na walimu wa course husika kuwa ni jambo la dharura sana.
Nina hasira sana ndio.Wewe utakuwa ulifeli Law School. Una hasira sana.
Vijana hawawezi kujikaza kwenye CORRUPT SYSTEM.Vijana kazeni. Hata kwa majirani kilio kinafanana kuhusu Law School
Jomba haya malalamiko ni karibu kila nchi.. nimeona Kenya na Zambia wanalia kinoma. Kwa upande wangu naona sawa tu ili tupate wanasheria wenye viwango. Tukisema tuwaonee huruma kisa wametoka familia maskini tutapunguza ubora wa elimu ya sheria. Mimi nasimama na Law School.. wakaze tupate mawakili wenye viwango
Naona mmekuja kupiga siasa, na binafsi nadhani wengi mnahubiri msichokifahamu. Mtu yoyote makini huwezi kulinganisha kati ya shule ya sheria ya Tanzania iliyoanzishwa mwaka 2007 na ile ya Kenya iliyoanzishwa mwaka 1963. Utofauti, upo na mkubwa sana, kuanzia mbinu za ufundishaji (Pedagogical Methods), mbinu za kumpima mwanafunzi (Mode of Assessment) na Masomo yanayofundishwa.Hakuna tatizo lolote. Sheria haihitaji ufala. Mwaka 2019 hapo Kenya kulikuwa na petition kuhusu Kenya law school kufuatia wanafunzi wengi kufeli. Zambia nako mwaka 2021 kati ya 395 alifaulu mmoja. Vijana wakomae