DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu Fureshimani, tunaxungumzia Tanzania na sio duniani!, fani inayoongoza kwa heshima Tanzani ni
  1. Mwanasiasa
  2. Udakitari,
  3. Sheria
Usilinganishe Bongo na Ulaya.
P
You are very delusional than i even thought.

You need to take a pill bro! Panadol, preferably!

Kwa fikra hizi, si ajabu kusikia sheria inasomwa na wateule wa Kimungu.

This is indeed a mental disease.
 
Nimeanza kumdharau huyu mzee kumbe Ni mjinga ndio maana wengi wanamchukia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
😄😄😄😄😄😄 hatari
Siyo powa kabisa yani. Kama kule kwenye BAR EXAM ARUSHA, nako kulikuwa hakufai. Kuna Professor wa UDSM alienda kufanya mtihani na akawakuta wanafunzi wake ndiyo Panelists. Aisee, walimnyoosha vibaya kweli akakalia kichwa. Dada mwingine tulikuwa naye kwa AG, ni kichwa haswaa, yaani navyokwambia ni kichwa kweli namaanisha. Kufika Arusha wajuba wakala kichwa vizuri tu....

Hata yule Prof Palagamba Kabudi isingekuwa ni Jaji Mkuu kumzawadia uwakili kwenye sahani, angeenda kule Arusha kufanya BAR EXAMS wajuba wangeshakula kichwa zamani sana. Sema jamaa lina bahati, lilipewa uwakili wa heshima bila hata kutoa jasho....
 
Eti limtu Lina Soma hkl ,hgk ,hge ,nae anakuja kututambia miamba jamn mm nawangaliaga nasema HV Hawa wanajuwa mzuli ya huko tuliko sisi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha a luminary club of enlightened minds!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

A civil procedure book can not enlighten your mind, don't be a dummy!

Ndio ninasoma username yako. Wewe ni FURUSHI kweli kweli.[emoji706]
 

Hoja yako ni subjective.

Huwezi kusema moja kwa moja udaktari au uhandisi ni fani ngumu kuliko sheria. Kwasababu hujasoma zote kupima ugumu wake.

Vile vile, huwezi kusema sheria ni ngumu kuliko udaktari au uhandisi kwasababu hujasoma vyote hivi kupima ugumu.

NB : kuna article nilisoma mahali, huyo mtu alisoma both law & medicine separately. Alikuja na conclusion = law is more harder than medicine.
 
Wape dawa Leo likitu limesoma hkl nae anajihita wakili msomi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Sasa wewe FURUSHI unataka tukuite WAKILI MSOMI kwa lipi labda?

Unastahili kuitwa zwazwa tu. Kutokana na upeo wako kupembua vitu hapa.

Sheria ni fani mahiri mno duniani. Angalia watu wake. Obama, Vlamdir Putin, Xi Jinping, Mahtma Gandhi, Mandela etc.

Sio wewe ngumbaru unakaa kwa shemeji, unaleta kebehi za vijiwe vya ka hawa.
 

 
Nadhani ipo haja ifanyike namna lst waje hapa kujibu tuhuma hzi za kuwafelisha watu ili kupatikane kikundi Cha watu kadha wenye hyo shule

Hapn halikubaliki hili mkuu malcom umeleta hoja kwa usahih kbsa kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dah kumbe mwaluko nae alizawadiwa uwakili na jaji mkuu

VIP kuhusu mwakiyembe yey uwakili wake upo VIP...

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Let the young generation get the opportunities they deserve
Hiki ndicho LST inachokifanya ni kutoa fursa kwa young generations but only the smart ones, kwa vile sasa kila mtu anaweza kusoma sheria hadi vyuo vya uchochoroni, hivyo hata vilaza wana 1st class!, vilaza wanaporundikana LST ili kula dili ya kugonga mihuri!, only the smart ones ndio wata sail through!. Vilaza wata supp na ku supp na ku supp hadi wawe smart na wasipokuwa smart hakuna jonsi ni kuzungusha tuu!.
P
 
Kuna machache yanaharibu LST.

1. Siasa

2. Kujuana

3. Kutengenezea njia wale wachache au "Elites"- yaani watoto wa wenye nazo hupewa kipaumbele lazima wapitishwe kupata cheti cha kufanya "practice".

Mifano ipo na watu hao wapo hadi leo ambapo kulikuwepo tuhuma kwamba wapo vijana walosoma nje na kufanyiwa mitihani walipitishwa hapo LST na leo wazishika nafasi nyeti.

4. Rushwa iwe ngongo au pesa.

5. Fikra dhaifu yaani kukosa kufikiri kwa mapana au "poor critical thinking capacity".

6. Wizi wa fedha za wanafunzi -yaani kuchukua idadi kubwa ya wanafunzi ambao hulipa ferdha nyinig na kisha kupiga panga kali na kuyeyusha fedha.

7. Kutengeneza magenge ya kifisadi yaani kushirikiana na mafisadi ama kutengeneza mikataba (kupitia wahitimu wachache wa hapo LST) isoeleweka au kuhalalisha maamuzi mabovu ya kesi.

Suluhisho:

1. LST iwe katika kanda nchi nzima yaani Kaskazini, kusini, magharibi, mashariki, Zanzibar na Dar iwe makao makuu.

2. LST ijipambanue na iajiri pia wataalam kutoka nje khasa nchi jirani ili kuwepo na "fairness" katika maamuzi ya mitihani. Kwenye hili tukipata wanasheria kutoka hata Kenya (wale walostaafu) au wengine kufanya part-time itasaidia.

3. Kuajiri pia watalaam wa sheria (on part-time basis) ambao wapo kwenye "field" kama akina Kibatala ili wawe wasimamia mitihani na kuangalia viwango au standards na "ethical issues".

4. LST iwe wazi zaidi yaani "more open" kuruhusu ukosoaji kwa kujibu tuhuma mara moja.

Vinginevyo LST itaendelea kuongelewa "negative" na kutakuwapo na maoni na malalamiko mengi ambayo yatakiondolea sifa zake na kuonekana ni "very corrupted institution".
 
Alisoma Laws na madicine huyo alikuwa anatafuta nn haswa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
We mzee lala kesho uwai kwenye Kaz yako mpya ya kugonga mihuri fcu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
 
Huna lolote mjinga wewe. Kwanza ushazeeka hebu kwenda kajifie huko!
Uzee sio ugonjwa!, nitakufa siku yangu ikifika na wewe pia utakufa siku yako ikifika!. Kuna mtu aliwahi hadi kupiga push ups kujionyesha alivyo fit physically, na kumdharau yule Mwamba wa Kaskazi, unajua nani alitangulia?. Hivyo unaweza kutangulia wewe,
Unajifanya smart analyst kumbe uchwara tu...

Let young people have opportunities. Law is not a special profession than any others.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…