DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Imeshakuwa corrupt institution chakufanya ni kubadili structure nzima kama wadau wanavyoshauri humu kuna ushauri mzuri huu utasaidia.
Wale waliohusika kwa tuhuma na kashfa hizo wawajibishwe iwe funzo kwa wengine bila hivyo haya mambo yanakua kama sifa vile watu wanafanya uhuni tu wanavyotaka wanajua wataondolewa hapa watateuliwa pale wanarudia uhuni vilevile sababu hakuna kuwajibika kwa ushenzi uliofanya.

Najiuliza tutakuja kufikia level za wenzetu kweli kama hali ni hii vyuo kama Massachusetts Institute of Technology (MIT) taasisi zetu za elimu pamoja na mifumo yake imeoza kabisa.

Ukitazama elimu ya MIT ulinganishe na huu upuuzi unaoendelea kwenye taasisi za elimu Tanzania hakika huezi kufahamu ulie au ucheke.
 
Nakuunga mkono. Vijana wanataka shortcut za kupata mhuri. LST izidi tu kukaza ili pumba na mchele vijitenge.
 
Hii sio hoja BWANA MDOGO. Acha ubabaishaji.

Ukileta upumbavu nakutandika tu makwenzi. Sivumilii ujinga mimi.

Akili zake abaki nazo na mkewe huko, akiandika upumbavu tutamjibu upumbavu mara mbili zaidi.

I like to fight with fools!
We jamaa una utoto mwingi sana. Unakimbilia kutukana kama kahaba flani hivi. Acha ujinga.
 
Huna ishu wewe ushajichokea, zama zako za ujima zilishapita.

Zile porojo zako za kale za divisheni one ya kabudi hazina nafasi.

Ati rekodi sijui ya profesa majamba! What the FukC?!

Lazima vijana wapewe nafasi kwa kadiri ya mazingira ya sasa na uhalisia uliopo.
 
Mkuu kitaaluma Mimi sio mwanasheria lakini umeshusha nondo hatari umeshuka vizuri sana yaani wahusika wakiipata hii itawasaidia sana. Umetoa vikwazo na usuluhishi ni wachache sana wanafanye hivyo big up bro.
Hapa Malcolm at his BEST!
 
Huna ishu wewe ushajichokea, zama zako za ujima zilishapita.

Zile porojo zako za kale za divisheni one ya kabudi hazina nafasi.
First Class ya Prof. Kabudi sio porojo, tena sasa tunasherehekea 60 years of UDSM, a record GPA ya 4.9 ya Kabudi bado haijavunjwa!.
Ati rekodi sijui ya profesa majamba! What the FukC?!
Kama Sheria kule nyuma zilitoka 1st Class kadhaa, halafu the last one ni 30 years back, hii inamaanisha wanafunzi wa sasa ni vilaza kuliko 30 years back, na UDSM sheria ndio huwa ina pick the top layer ya ufaulu, my son ana Div.1 ya 8 points amekosa nafasi UDSM sheria kwasababu cut of point ni Div 1 ya 7 points!. Baada ya UDSM kuanua huo utando wa Top layer, hao wengine ndio vyuo vikuu vingine vinagawana!.
Lazima vijana wapewe nafasi kwa kadiri ya mazingira ya sasa na uhalisia uliopo.
Law is a conservative profession kama ulivyo udakitari, there is no compromise kushusha ufaulu ili kuwapa fursa vijana incompetent!, hao vijana they have to be smart to study law or medicine!, bora wafeli hata darasa zima kuliko kupasisha vilaza!, tutajenga taifa la majanga!.
P
 
Baeleze baelewe!.
P
 
Come with facts. I know I had hit where it hurts, zombie. [emoji16]
Keep hitting hard where it hurts most.
Vilaza na mburulas wanavamia fani ili wapige pesa, vichwani weupe wanataka kuwa mawakili kwa ubwete!.
Law is for smart people!.
P
 
Thanks for this!. Kila mtu rukhsa kusoma sheria, ila kuwa waklli ni only ,for the smart ones.
P
 
Simple psychology. Ulitamani kuwa kwenye noble profession ukaangukia pua.

Hutoweza kuwa Lawyer hadi unaingia kaburini, you don’t belong to the luminary club of enlightened minds.

Get over it, zombie! [emoji16]
Mkuu Amon Lisa usimkatishe tamaa!, he just needs to be smart upstairs
P
 

Pascal Mayalla anapendekeza matumizi zaidi ya condom kuzuia maambuizi zaidi ya ukimwi. Tumefikia huko?



NInakazia:

"Sita,
hivi inawezekanaje mwanafunzi ambaye amefauli vizuri shahada yake afeli vibaya kwa kiwango cha DISCONTINUE pale LST ??? Ina maana huyu mwanafunzi hafahamu kitu chochote kabisa ??? Lakini, kubwa zaidi ni hili la wanafunzi 600 kuanza pamoja, lakini wanaofaulu ni watu 30, huku nusu ingine ikiwa inafanya SUPPLEMENTARY au DISCONTINUED. Sijui kwanini hili haliwastui Majaji na Wizara. Watu hufeli, lakini siyo kwa kiwango hicho ambacho kinafanyika pale Law School.

Pia, pale pana rushwa sana ya ngono, kukomoana na kubadilishiana matokeo. Kuna jamaa niliwahi kuwa naye mahakamani aliwahi niambia kwamba kuna rafiki zake wanafundisha pale walimuahidi kwamba watamfaulisha, na kweli alifauri vizuri hadi tukashangaa. Alikuwa na maswali hata kabla mitihani haijaanza. Nikasema HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII..."

Cc: BALENSIAGA
 

Pascal Mayalla anapendekeza matumizi zaidi ya condom kuzuia maambuizi zaidi ya ukimwi. Tumefikia huko?



NInakazia:

"Sita, hivi inawezekanaje mwanafunzi ambaye amefauli vizuri shahada yake afeli vibaya kwa kiwango cha DISCONTINUE pale LST ??? Ina maana huyu mwanafunzi hafahamu kitu chochote kabisa ??? Lakini, kubwa zaidi ni hili la wanafunzi 600 kuanza pamoja, lakini wanaofaulu ni watu 30, huku nusu ingine ikiwa inafanya SUPPLEMENTARY au DISCONTINUED. Sijui kwanini hili haliwastui Majaji na Wizara. Watu hufeli, lakini siyo kwa kiwango hicho ambacho kinafanyika pale Law School.

Pia, pale pana rushwa sana ya ngono, kukomoana na kubadilishiana matokeo. Kuna jamaa niliwahi kuwa naye mahakamani aliwahi niambia kwamba kuna rafiki zake wanafundisha pale walimuahidi kwamba watamfaulisha, na kweli alifauri vizuri hadi tukashangaa. Alikuwa na maswali hata kabla mitihani haijaanza. Nikasema HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII..."
 
Waendelee hivyo hivyo.

Hatutaki vilaza kwenye practice.

Maswala ya kupeana marks za bure kama mlivyozoea huko kwenye vyuo vyenu hakuna.
 


Ndivyo alivyokwambia yule nduguyo. Au ni ule utetezi wako tokea gizani? Hoja ziko wazi tupe majibu kama unayo.

Jibu hoja zilizopo. Kwani dash (-) ni marks ngapi?

Au hata unaujua tofauti ya kufeli na mass failures?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…