- Thread starter
- #181
Waendelee hivyo hivyo.
Hatutaki vilaza kwenye practice.
Maswala ya kupeana marks za bure kama mlivyozoea huko kwenye vyuo vyenu hakuna.
Asante mwananchi:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waendelee hivyo hivyo.
Hatutaki vilaza kwenye practice.
Maswala ya kupeana marks za bure kama mlivyozoea huko kwenye vyuo vyenu hakuna.
Mtoa mada hutetea ujinga
First Class ya Prof. Kabudi sio porojo, tena sasa tunasherehekea 60 years of UDSM, a record GPA ya 4.9 ya Kabudi bado haijavunjwa!.
Kama Sheria kule nyuma zilitoka 1st Class kadhaa, halafu the last one ni 30 years back, hii inamaanisha wanafunzi wa sasa ni vilaza kuliko 30 years back, na UDSM sheria ndio huwa ina pick the top layer ya ufaulu, my son ana Div.1 ya 10 points amekosa nafasi UDSM sheria kwasababu cut of point ni Div 1 ya 8 points. Baada ya UDSM kuanua huo utando wa Top layer, hao wengine ndio vyuo vikuu vingine vinagawana!.
Law is a conservative profession kama ulivyo udakitari, there is no compromise kushusha ufaulu ili kuwapa fursa vijana, hao vijana they have to be smart to study law or medicine!, bora wafeli hata darasa zima kuliko kupasisha vilaza!, tutajenga taifa la majanga!.
P
Waendelee hivyo hivyo.
Hatutaki vilaza kwenye practice.
Maswala ya kupeana marks za bure kama mlivyozoea huko kwenye vyuo vyenu hakuna.
Sio kuwa yupo kwenye hatua za kuishtaki LST, amekwisha washtaki mara kadhaa na hivi sasa alifungua kesi ya kikatiba Misc. Civil Cause No. 11 of 2022 pale Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Kuu), imetajwa tarehe 07.10.2022 na itakuja kutajwa tarehe 28.10.2022 ili kupanga tarehe ya kuisikiliza au la ingawa tayari mahakama imeanza kuonesha upendeleo kwa kuona kama kijana hastahili kufungua hiyo kesi (mahakama imeibua hoja yenyewe). Kwa hiyo mapambano ameyaanzisha kijana, ni kuunga mkono juhudi zake, akifutiwa kesi yeye mwanafunzi mwingine afungue mpaka mahakama isikilize jambo in merit na sio kuondoa kesi kwa technicalities. Kesi ipo tarehe 28 Oktoba 2022 mbele ya majaji watatu ukiweza fika mahakamani saa 8 mchanaKuna kijana anaitwa Alexander Barunguza, nimeona yupo kwenye hatua za kuishitaki LST mahakamani.
Sio kuwa yupo kwenye hatua za kuishtaki LST, amekwisha washtaki mara kadhaa na hivi sasa alifungua kesi ya kikatiba Misc. Civil Cause No. 11 of 2022 pale Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Kuu), imetajwa tarehe 07.10.2022 na itakuja kutajwa tarehe 28.10.2022 ili kupanga tarehe ya kuisikiliza au la ingawa tayari mahakama imeanza kuonesha upendeleo kwa kuona kama kijana hastahili kufungua hiyo kesi (mahakama imeibua hoja yenyewe). Kwa hiyo mapambano ameyaanzisha kijana, ni kuunga mkono juhudi zake, akifutiwa kesi yeye mwanafunzi mwingine afungue mpaka mahakama isikilize jambo in merit na sio kuondoa kesi kwa technicalities. Kesi ipo tarehe 28 Oktoba 2022 mbele ya majaji watatu ukiweza fika mahakamani saa 8 mchana

Hizi GPA za makaratasi zimesaidia nini nchi? unaonekana unapenda sana kuabudu maksi ndio maana umejaa ma-theories ya kisiasa siasa ya enzi za ujima.First Class ya Prof. Kabudi sio porojo, tena sasa tunasherehekea 60 years of UDSM, a record GPA ya 4.9 ya Kabudi bado haijavunjwa!.
my son ana Div.1 ya 10 points
Vilaza na mburulas wanavamia fani
Law is for smart people!.
P
Nitakuwa nimekosea mimi ni 1 ya 9 cut of points ya UD ni 8 pointsHalafu pia hakuna DIVISHENI ONE POINT KUMI, hiyo ni DIVISHENI TWO.
Acha ushamba.
Nchi inahitaji skills na sio hizo stori zako mfu za GPA ya kabudi miaka 60 iliyopita.Nitakuwa nimekosea mimi ni 1 ya 9 cut of points ya UD ni 8 points
P
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanasheria sio watu wa kuonewa huruma ni fani ya kitapeli, iliyojaa rushwa, Dhuluma, hawana utu ni washenzi tupu, wanajikuta sana hao mende. Acha wakulane wenyewe kwa wenyewe.
Hao mende maeneo yao ya kazi na huduma zao ni miungu hao.
Wateseke zaidi na zaidi.
First Class ya Prof. Kabudi sio porojo, tena sasa tunasherehekea 60 years of UDSM, a record GPA ya 4.9 ya Kabudi bado haijavunjwa!.
Kama Sheria kule nyuma zilitoka 1st Class kadhaa, halafu the last one ni 30 years back, hii inamaanisha wanafunzi wa sasa ni vilaza kuliko 30 years back, na UDSM sheria ndio huwa ina pick the top layer ya ufaulu, my son ana Div.1 ya 10 points amekosa nafasi UDSM sheria kwasababu cut of point ni Div 1 ya 8 points. Baada ya UDSM kuanua huo utando wa Top layer, hao wengine ndio vyuo vikuu vingine vinagawana!.
Law is a conservative profession kama ulivyo udakitari, there is no compromise kushusha ufaulu ili kuwapa fursa vijana, hao vijana they have to be smart to study law or medicine!, bora wafeli hata darasa zima kuliko kupasisha vilaza!, tutajenga taifa la majanga!.
P
Wewe ungekuwa smart ungekuwa unaliwa kiboga na yule jamaa mstaafu wa ATCL?
Hahahaa![]()
![]()
![]()
![]()
Huu ni uzushi ulioibukia PPF ya enzi hizo, I was sponsored by PPF kwenye US trip, The cost of sponsorship was huge and to be paid in US $, maofisa malipo wakawa wanachelewesha ilipobaki 2 days before Boss akatoa order lazima hizi dola zipatikane that very day, hivyo idara nzima ya malipo wakaanza kukimbizana na kujiuliza huyu jamaa ni nani?, ndipo hilo likabuniwa na humu jf lililetwa na nilalijibia!.Jibu hiyo we Pascal Mayalla usijifanye hujaona.![]()
Kwanini unaliwa kiboga na boss mstaafu wa ATCL?
Jitetee. Ati smart!! Una usmart gani wewe!![]()
Wewe ungekuwa smart ungekuwa unaliwa kiboga na yule jamaa mstaafu wa ATCL?
Hahahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu ni uzushi ulioibukia PPF ya enzi hizo, I was sponsored by PPF kwenye US trip, The cost of sponsorship was huge and to be paid in US $, maofisa malipo wakawa wanachelewesha ilipobaki 2 days before Boss akatoa order lazima hizi dola zipatikane that very day, hivyo idara nzima ya malipo wakaanza kukimbizana na kujiuliza huyu jamaa ni nani?, ndipo hilo likabuniwa na humu jf lililetwa na nilalijibia!. Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.Jibu hiyo we Pascal Mayalla usijifanye hujaona. [emoji1787]
Kwanini unaliwa kiboga na boss mstaafu wa ATCL?
Jitetee. Ati smart!! Una usmart gani wewe! [emoji1787]
Nitakuwa nimekosea mimi atakuwa ni points 8, cut off point ni 7.point 10 sio division 1, ni division 2, labda kama necta wamebadili utaratibu wa points.. division 1 inaanzia point 3 mpaka point 9 mwisho. division 2 inaanzia point 10 mpaka points 12
Okay.Huu ni uzushi ulioibukia PPF ya enzi hizo, I was sponsored by PPF kwenye US trip, The cost of sponsorship was huge and to be paid in US $, maofisa malipo wakawa wanachelewesha ilipobaki 2 days before Boss akatoa order lazima hizi dola zipatikane that very day, hivyo idara nzima ya malipo wakaanza kukimbizana na kujiuliza huyu jamaa ni nani?, ndipo hilo likabuniwa na humu jf lililetwa na nilalijibia!.
Huu ni uzushi ulioibukia PPF ya enzi hizo, I was sponsored by PPF kwenye US trip, The cost of sponsorship was huge and to be paid in US $, maofisa malipo wakawa wanachelewesha ilipobaki 2 days before Boss akatoa order lazima hizi dola zipatikane that very day, hivyo idara nzima ya malipo wakaanza kukimbizana na kujiuliza huyu jamaa ni nani?, ndipo hilo likabuniwa na humu jf lililetwa na nilalijibia!. Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.
P
Duuuuuuuu nmecheka SanaIla LST changamoto.
Kuna Lecturer wa chuo fulani anatufundisha degree ya sheria. Ni kipanga balaa ana GPA kubwa kuliko wenzake.
Kuna wakati alienda hapo LST, walimkalisha chini kwa sup, amechomoa mwaka jana ndio ameingia kwenye rolls of advocate after strenuous hustle.
Nikajiuliza kama mwalimu wangu alishindwa kukiepuka kikombe mimi itakuwaje 2024 ? [emoji23]
A clear distinction must be levelled, superstructures zote in every society ,be it economics,tech,pharmaceuticals,engineering ,politics ,social iterations ,Yaani kila sector ya maisha ikona substructure,foundation if you will on legal grounds , STEM though respected on its own merits ,huwezi fika level uilinganishe na law , hao wajumbe wanaofeli sio kwamba ni wajinga ,there is a deficit in analyzing and opining a question along legal principles , problem ni kuwa wanasoma Sana Ila understanding how to apply the law ndio lacking na LST and every other bar exam globally hawafunzi hili, hapa kwa application it's upon you ,read cases ,obiter za judges uelewe reasoning ya legal scholars ,only then utajuwa kuapply the law ,ss hapa ndo uzembe wa wanafunzi wengi ndo ulipoPaschal leo umepuyanga..
Elimu ya juu inayoheshimika duniani zama hizi ni (STEM degree)
Hizo havard, oxford, zinaheshimika sababu ya STEM Courses
Stem inamaanisha Science , Technlogy, Engineering Na Mathematics
Kama unabisha fanya research kisha ulingainishe fani za STEM na sheria zipi ni fani ngumu na zenye heshima duniani zama hizi