DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mnataka kilaa mtu awe wakili kwa kulazimisha big result now ili mje muwaite mawakili wa mchongo...Ukifel law school soma postgraduate ya education ujikite na ualimu

Umesahau kuwa hakuna anayepinga kufeli kwa haki. Kuna kufelishwa pia. Au wewe hujawahi kukusikia?
 
Mnataka kilaa mtu awe wakili kwa kulazimisha big result now ili mje muwaite mawakili wa mchongo...Ukifel law school soma postgraduate ya education ujikite na ualimu
Serikali nako inaanzisha bodi ya walimu, nako kutakuwa na mchujo, nao utakuwa kama huohuo wa LST
 
haiwezi tokea hiko kitu kwanza ndio kada inayoajiriwa bila usahili wowote ule
Walimu walipinga hili, mama Samia anapoingia madarakani alitaka kuanzisha, walimu walipinga kwa kuwa waliona halina maslahi yoyote zaidi ya kuwapa hasara, maana ingewalazimu kuomba leseni za kila mwaka kufanya kazi ya ualimu, wangetakiwa kulipia uanachama nk, vitu ambavyo havina msingi wowote kwa taaluma na hata maisha yao, wakapiga kelele, ikapotezewa, ila serikali bado inalitamani hilo jambo.
 
Wengi wao ni waoga mkuu, hata leo wakisema watumishi wote wa umma waanze kulipwa mishaara kwa utenda kazi wao basi walimu watagoma tuu.Imagine mwalimu wangu mimi wa hesabu secondary tangu ameanza kazi mwaka 2007 hadi leo hajawai mpatisha mwanafunzi yoyote A au hata B na hata C kwa mwaka unakuta moja tuu, lakini nae May Mosi anadai mshaara upande.Ndio maana wengi wa graduate wanakimbilia kufanya kazi serikali kwakuwa hawako competent katika mataasisi makubwa yanayolipa vizuri.
 
Sheria yes ni sensitive mno. Daktari anapigiwa saluti au hata kuitwa mheshimiwa? Kwanini wapigiwe majaji & mahakimu?

Kila kitu dunia hii kinaendeshwa na sheria. Ukipata msala tu hata wa kusingiziwa upo mahabusu ndio utaelewa unyeti wa sheria.
Wewe kwa mfano ukiugua ugonjwa mdogo tu hata wa tumbo la kuhara kisha ukaenda kutibiwa na daktari asiye competent akupe dawa tofauti na ugonjwa wako utapata nguvu ya kwenda kusimamia kesi?
Lakini kwenye upande wa sheria tunaona madudu mengi ya kesi kupindishwa waziwazi na hatuoni mchango wako ndugu.
Au unyeti wako ni wa kwenye makaratasi tu.
Halafu unatoa mifano kama ya watoto wa shule walivyokuwa wakidanganyana kwamba nikiwa mkubwa nitakuwa Pilot.
Unatoa mfano wa Jaji kupigiwa Saluti ina maana wote mliosoma sheria mtapewa nafasi ya kuwa Jaji?
 
Akipigiwa saluti anapata Faida gani
 
Back
Top Bottom