Tuhuma za ufisadi zinazodaiwa kumpelekea Dkt. Ryoba kubwaga manyanga

TISS si malaika ni wanadamu tu na wao. Pia wana tamaa ya pesa. Uzalendo umetuishia.
 
Sasa hapa Ryoba hahusiki vipi wakati yeye masuuli? Inakuwaje watu wanapiga yeye anakaa kimya? Waswahili tunasema mkamatwa na ngozi ndiye mwizi.
 
Mkuu huenda mleta mada ndo Ryoba mwenyewe kwa namna anavyojisafisha ila kwa vyovyote yeye ni mtuhumiwa wa kwanza
 
Ofisi ya CAG ina wataalamu wa Aina zote ulizotaja. Mbali ya kukagua procurement procedures pia wanakagua value for money Kwa kulinganisha BOQ na market price. Ukiona hakijaonekana kitu ujue si ujisefu wa wataalamu Bali ni ongezeko la maelekezo toka juu.
 
Vitu nilivyogundua ni kwanza matatizo ya TBC tunayoona kwenye TV chanzo chake ni utawala wa shirika,pili huu waraka una agenda ya kumsafisha Ayubu Ryoba
 
Migambo wanaruka na kukanyagana, kaazi kweli kweli.
 
Vitu nilivyogundua ni kwanza matatizo ya TBC tunayoona kwenye TV chanzo chake ni utawala wa shirika,pili huu waraka una agenda ya kumsafisha Ayubu Ryoba
ni kweli uongozi wa Shirika una mapungufu. ukitaka kujua nenda kaangalie bajeti ya AZAM na ya TBC, ya TBC iko juu with poor quality, hata TV za mtaani zenye very low bajeti kuwa zina ubora na zinafanya biashara kuliko TBC, what a shame.
 
Kumbe ndo maana kila siku ni vipindi vya kusifu na mapambio kumbe wana yakwao wanayoyafanya gizani.Shirika lenyewe ata halieleweki pamoja na ukongwe wake.
 
This is a political hit job. Angekuwa fisadi mngesubiri hadi atangaze kuacha kazi ndo muanze kumchafua?

TBC is a vital installation. Kuna watu wa TISS wamejazana pale. Giving you benefit of doubt, huo "ufisadi" uliwezekanaje under their watch?
Tss gani hiyo unayoizungumzia. kwan we huoni nchi ilivyo ovyo kila mahali.
 
Hapa kwenye kununua Ist 10 na kuingiiza uber mie sijaona ubaya wake......vijana wa mtaani si wameshapata ajira 😳😳😳
 
Hayo yote weka pembeni, vipi sasa kuna nafasi za kazi zilizoachwa na hao watu wabaya? Tujulishe.
 
Kama ningekuwa mie kwenye mamlaka ya serikali,ningeinunua tu kama itv ama wasafi ndio ikawa radio na channel ya Taifa tu ,yaani ubunifu wa vipindi vya wasafi radio ni bora zaidi kuliko tbc taifa
 
Mkuu huenda mleta mada ndo Ryoba mwenyewe kwa namna anavyojisafisha ila kwa vyovyote yeye ni mtuhumiwa wa kwanza

Kwa jinsi alivyoanisha point lazima ni yeye au andiko lake kampa mtu, who can take all that trouble?
 
Imekaa vizuri lakini kuna mengi hayajaandikwa, yamefichwa au hayajatolewa ufafanuzi wa kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…