Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Umesoma bandiko hili mwanzo?.
Kulisaidia

"

Ukabila Mzuri Katika Uteuzi.
Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa kabisa nchini Tanzania, ndilo kabila lenye watu wengi zaidi, hivyo automatically, tukifuata principals of proportionality, Wasukuma ni lazima wawe wengi kila mahali, hii ni halali yao na sio upendeleo!.

Ukitokea wewe ni mteuzi, ukaletewa majina matatu wote wenye sifa sawa na mmoja wao ni Msukuma, jee utaogopa kumteua huyo Msukuma kwa sababu ya kuchelea utaonekana ni mkabila?, zikitokea nafasi, halafu kati ya walioomba wote, wenye sifa zaidi ni Wasukuma, then let it be, hata Wasukuma wakijazana sana, as long as ndio wenye sifa, then huu ni ukabila mzuri, hivyo natoa wito kwa JPM, endelea kuteua Wasukuma, wajaze kila mahali as long as ni watu wenye sifa na ni wachapa kazi, then wewe teua tuu, wanaosema waache waseme, watasema mchana msiku watalala.

Na ikitokea wewe ni Msukuma, ukakuta kuna home boy wako alishateuliwa na mtangulizi wako, inapotokea anazingiziwa au kutuhumiwa, kuna ubaya kumsaidia kama hapa?
Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya ...

Ukabila Mbaya Katika Uteuzi.

Ikitokea kuna nafasi za uteuzi, then ukaamua kwa makusudi kutafuta mtu wa kabila lako, ambaye hana sifa, lakini kwa vile ni kabila lako, unampandisha haraka haraka ili kumjengea sifa, kisha unamteua. Huu ni ukabila mbaya!.

Au kunatokea nafasi ya uteuzi, wewe unatafuta mtu wa kabila lako, ukimkosa, unakasirika, unaamua nafasi hiyo huteui mtu, bali unaikaimisha na kusubiria hadi mtu wa kabila lako atokee!. Huu ni ukabila mbaya.

Facts Kuhusu Dominant Tribes. Wasukuma The Biggest Tribe, The Best, The Kindest!
Pamoja na kuwepo kwa ukabila mzuri na ukabila mbaya, kuna kitu kinaitwa dorminabt tribes, hii ni fact, hatuwezi kuipuuzia, Wasukuma ndilo kabila kubwa kuliko makabila yote nchini Tanzania, na wamesambaa katika mikoa mingi kuliko kabila jingine lolote, na ukiwemo Mkoa mmoja tuu Tanzania nzima, ambao mkoa wote ni kabila moja tuu, Mkoa wa Shinyanga, hakuna mkoa mwingine wowote ambao ni mkoa mzima una watu wa kabila moja!.

Sababu ya Wasukuma Kuwa Wengi Zaidi Kuliko Makabila Yote.
Wingi wa watu unatokana na kitu kinachoitwa population growth, Wasukuma ndio wanaoongoza kwa highest population growth, sisi nyumbani kwetu kwa mama yangu tumezaliwa 8!, hivyo mwanamke wa Kisukuma kuzaa watoto 10-12 its normal, na hapa mama hakuwa peke yake!. Sababu ya uwepo wa chakula bora, kingi na cha kutosha, ndio maana unaiona miili ya Wasukuma sio miili ya njaa njaa, wanaume wa Kisukuma wana nguvu sana za ku service zaidi ya mwanamke mmoja, elimu duni maeneo mengi, kuoa wanawake wengi, kuzaa watoto wengi bado ni sifa kwa Wasukuma, mimi mwenyewe ninao watoto 8 na sio mwisho!, na kufuatia kuwepo kwa lishe bora, rate ya procreation iko juu, watoto wanazaliwa sana, infant mortality rate iko chini, watoto hawa hawafi, deathrate Usukumani iko low, na kuishi maisha marefu kutokana na kula vyakula vya asili, kunafanya Wasukuma kuishi maisha marefu sana. Ingefanywa sensa ya wazee Tanzania, tungekuta ni Wasukuma pia ndio wanaoongoza kwa maisha marefu!

Kati ya watu milioni 50 walio Tanzania, Wasukuma ni milioni 10, hivyo hii ni asilimia 20% ya Watanzania wote, hivyo tungefuata haki bin haki kwenye kila ofisi yenye watu watano, mmoja ilipaswa lazima awe Msukuma, hivyo piga hesabu ya kila sekta ulinganishe na idadi ya Wasukuma waliopaswa kuwepo, mkimuita jamaa ni mkabila kwa sababu tuu ya kuteua Wasukuma wawili watatu, huko kutakuwa ni kumuonea".
P
Wasukuma siyo wakabila full stop haya yanaoibuliwa sasa hivi yanaibuliwa na wanasiasa mufilisi wasio na hoja za msingi.

Kama wasukuma wangekuwa wakabila wasingeweza kuishi pamoja na makabila mengi hivyo mikoa mbalimbali nchini bila vurugu.

Mpaka sasa western part of tanzania ni wao tu
Shinyanga
Mwanza
Geita
Tabora
Kigoma
Rukwa
Katavi
Simiyu.

Ukitaka kulithibitisha hili angalia mikoa ya kaskazini ina wasukuma wachache sana sababu kubwa mikoa hii ina elements za ukabila.
 
Na maeneo yoyote ya Usukumani, mtu wa kabila lolote asiye Msukuma, ambaye ni mhamiaji tuu wa maeneo hayo, anaweza kuchaguliwa diwani au Mbunge, lakini mtu wa kabila jingine athubutu kwenda kugombea chochote maeneo ya makabila yenye ukabila, uone kama utaambulia kitu!.

Watu wanaomshambulia rais juu ya ukabila ni watu walioishiwa hoja.

Kuna wengine ambao wanadai kanda ya ziwa inapiga kura kwa mgongo wa ukabila bila kujua kuwa kanda ya ziwa ndiyo kanda pekee toka vyama vingi vimeruhusiwa imekuwa ikichagua objectively sana.

95 waliibeba NCCR

2000 wakawabeba TLP CUF na CHADEMA

2005 pia hawakuvitupa vyama vya upinzani

2010 wao ndiyo walikuwa chachu ya upinzani nchini

2020 ccm walioutsmart upinzani kanda ya ziwa but still hawakuwatupa.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni .

Wasukuma hawana ukabila hata kidogo.
 
Makabila yenye ukabila m-baya yanafahamika, na baadhi yao, lucha ya ukabila m-baya wa makabila yao, ni ukabila m-baya kwenye baadhi tuu ya mambo, lakini baadhi yao ndio wanaoongoza kwa kufanya wema kwenye mambo mengine, na mimi ni miongoni mwa wafaidika wa wema wao, hivyo nisije kuwataja humu, wakakasirika nikajikuta najiponza kwa kunyimwa huo wema ninaofanyiwa na baadhi yao!.
P

Unazunguka sana ngoja tutaje, Wahaya, Wanyakyusa, Wahehe, Wachaga, Wapare
 
Kwakuwa umekosa uteuzi kutoka kwa pot wako?
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...

Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.

Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.

Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali
 
Na maeneo yoyote ya Usukumani, mtu wa kabila lolote asiye Msukuma, ambaye ni mhamiaji tuu wa maeneo hayo, anaweza kuchaguliwa diwani au Mbunge, lakini mtu wa kabila jingine athubutu kwenda kugombea chochote maeneo ya makabila yenye ukabila, uone kama utaambulia kitu!.
P

Wakabila wanajulikana hata kiwanja kwao hupati wakati kwetu wanajimwambafy tu watakavo tena wasitusababishie hasira
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!, mimi binafsi japo ni Msukuma lakini sio mkabila, na huu ni uthibitisho wa jinsi ninavyopinga ukabila, hata kama ni ukabila wa Wasukuma na 'Wasukuma'.
Wito Kwa Bunge Letu Tukufu: Mkithibisha Hii Nepotism ya Ajabu na ...

Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.

Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.

Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali
Imagine Hapo ndio population ya Wamachame(A.K.A
Wapalestina) ingekuwa km ya Wasukuma hapa Tz
 
Ndio maana Baba wa Taifa alishauri tusiwape uongozi wa taifa hili, wachaga, wahaya na wasukuma. Na wanajidhihirisha hivyo. Angalia teuzzi zote za magufuli, na wasaidizi wake . Wasukuma hawawezi kuwa wengi kuzidi watanzania waaliobaki. Watanzania ni wengi kuliko wasukumaa
 
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila mbaya!.... Paskal nadhani ni kwa vile wasukuma siyo wasomi, hawako katika makabila yenye wasomi; hawakuwa na opportunity ya kufanya ukabila. Now the opportunity has offered itself! One is making an effective use of it.
Tembelea ofisi yoyote ya umma sasa hivi iwe ya kijiji, kata, tarafa, wilaya, manispaa, mkoa au jiji kama utatukosa.
 
Mkuu Bagamoyo, kwanza naomba kukiri hiyo 20% ya Wasukuma imepatikana by assumption ya covered area ya maeneo ya Wasukuma, tukifanya survey ya kisayansi, kitakwimu, mathematically, socially, tukijumlisha na biological factors kama sexuality Wasukuma wanaongoza katika maeneo mengi hivyo percentage inaweza kupanda hado 30 %.
Tuanzie kwenye coverage area, kati ya mikoa 26 ya Tanzania bara, mikao pekee ambayo mkoa mzima ni kabila moja tuu ni mikoa ya Wasukuma
Mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Geita ndio mikoa pekee Tanzania yenye kabila moja tuu mkoa mzima hadi kwenye public transport, madukani, sokoni ni Kisukuma kwa kwenda mbele. Na mikoa yenye mix ya Wasukuma na makabila mengine kama Mwanza, ni Wasukuma, Wakerewe na Wakara, Wasukuma ni dominant tribe, Wakerewe ni kidogo tuu wako kisiwa cha Ukerewe na Wakara ni kiduchu tuu wako kisiwa cha Ukara. Mkoa wa Katavi pia umechanganya lakini Wasukuma ndio dominant tribe.

Kufuatia climatic factors na biological factors za fertility, Wasukuma wana uzazi sana, familia yenye watoto wachache ni 6!, most families wako 8, sisi kwetu tumezaliwa 8 kwa mama mmoja, hapo sijawahesabu wale wa wamama wadogo!, mimi mwenyewe hapa nilipo tayari nina watoto 8 officially hapo sijahesabu mipira ya kona na offside tricks, hivyo koo za Kisukuma ni koo kubwa na extended families zetu ni kubwa.

Lakini tukija kwenye literacy levels, usomi na special skills, nakiri Wasukuma sio wasomi kivile na hatuna special skills, ila kwenye macular jobs, manual labour, Wasukuma ni wachapakazi sana, na katika uongozi wa juu, kwasababu haikuwahi kutokea kabla, kwa Msukuma kuwa kiongozi mkuu, lakini baada ya Msukuma kuwa kiongozi Mkuu, tumeona utendaji wake na uchapakazi wake, hivyo sasa ndio tumewajua Wasukuma, hivyo nikashauri

Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...

P
Bagheshi 30% ndogo tuko 50% kabisa.
Sehemu gani sisi hatupo? Ofisi gani hatupo?
.
Mikoa mingi imeshakuwa mali yetu, , na sio kwamba tulikotoka tunaacha wageni wapatawale na huko tupo tumejaa
 
Sawa Mayalla mwambie tu moja kwa moja watu wanakereka na kukwazika sana na ukabila unaokuwa kwa kasi wakati huu na kwamba awe hata na aibu kidogo kwani nchi inaharibika kwa hili.
Hakuna ukabila ila kwa vile ndio walio wengi na hamkuzoea kuwaona kule juu, then wakitokea kuwepo hata wawili tuu, then mnawaona ni wengi!, na wakiteuliwa kwa merits mnadhani ni ukabila, hivi ikitokea nafasi ya CDF iko wazi, mtu mwenye sifa za kuwa CDF with merits ni mtu wa kabila lako!, utaogopa kumteua eti tuu kwasababu ni kabila moja?.

Au imetokea nafasi ya Jaji Mkuu iko wazi na IGP pia iko wazi, ikatokea watu wenye sifa ni kutoka Kanda ya Ziwa, jee huta wateaua kwasababu ni kutoka Kanda moja?.
Acheni hizo!.

Sijui ni akina nani siku hizi wanateuliwa kwa upendeleo, ilikuwa zamani kidogo wamasai, waadzabe lakini sio wasukuma tena siku hizi. Chapa kubwa sana ya awamu hii ni upendeleo na hili ni doa. Namheshimu Nyerere sana kwa jinsi ambavyo alishinda kihunzi cha ukabila vinginevyo alikuwa na haki za kuwapa upendeleo wazanaki ambao ni moja kati ya makabila madogo zaidi Tanzania. Ukiweka hesabu ya mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya na wanakotoka utaona ninachomaanisha. Hata sisi wakinga hatukupatiwa upendeleo wowote pamoja na uchache wetu, kwanini upendeleo kwa wasukuma?
 
Kiukweli hawa jamaa ni wengi, na wengi wape!.

Shuhudia mwenyewe

CCM MWANZA.JPG
 
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila mbaya!.... Paskal nadhani ni kwa vile wasukuma siyo wasomi, hawako katika makabila yenye wasomi; hawakuwa na opportunity ya kufanya ukabila. Now the opportunity has offered itself! One is making an effective use of it.

Pascal Mayala naomba ujibu hii cooment ili utusaidie.
 
Mlaruka,
Mi sioni sababu ya kuliondoa maana naona linatusaidia kuiona rangi halisi ya mleta mada aliyejinasinu kuwa mtu neutral kumbe ni;
1.Mnafiki
2.Mkabila
3.Mroho
Ukabila ni topic nyeti sana hasa wakati huu ambapo tuna kiongozi mwenye kuonesha ukabila.
 
Ukabila wa Sasa Ni wa kimfumo . Kila sekta nyeti lazima awepo Msuku na akikosekana wa haraka Basi atatoka Kyerwa au Geita
 
Back
Top Bottom