Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Wasukuma siyo wakabila full stop haya yanaoibuliwa sasa hivi yanaibuliwa na wanasiasa mufilisi wasio na hoja za msingi.

Kama wasukuma wangekuwa wakabila wasingeweza kuishi pamoja na makabila mengi hivyo mikoa mbalimbali nchini bila vurugu.

Mpaka sasa western part of tanzania ni wao tu
Shinyanga
Mwanza
Geita
Tabora
Kigoma
Rukwa
Katavi
Simiyu.

Ukitaka kulithibitisha hili angalia mikoa ya kaskazini ina wasukuma wachache sana sababu kubwa mikoa hii ina elements za ukabila.
 
Na maeneo yoyote ya Usukumani, mtu wa kabila lolote asiye Msukuma, ambaye ni mhamiaji tuu wa maeneo hayo, anaweza kuchaguliwa diwani au Mbunge, lakini mtu wa kabila jingine athubutu kwenda kugombea chochote maeneo ya makabila yenye ukabila, uone kama utaambulia kitu!.
P
 
Watu wanaomshambulia rais juu ya ukabila ni watu walioishiwa hoja.

Kuna wengine ambao wanadai kanda ya ziwa inapiga kura kwa mgongo wa ukabila bila kujua kuwa kanda ya ziwa ndiyo kanda pekee toka vyama vingi vimeruhusiwa imekuwa ikichagua objectively sana.

95 waliibeba NCCR

2000 wakawabeba TLP CUF na CHADEMA

2005 pia hawakuvitupa vyama vya upinzani

2010 wao ndiyo walikuwa chachu ya upinzani nchini

2020 ccm walioutsmart upinzani kanda ya ziwa but still hawakuwatupa.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni .

Wasukuma hawana ukabila hata kidogo.
 

Unazunguka sana ngoja tutaje, Wahaya, Wanyakyusa, Wahehe, Wachaga, Wapare
 
Kwakuwa umekosa uteuzi kutoka kwa pot wako?
 

Wakabila wanajulikana hata kiwanja kwao hupati wakati kwetu wanajimwambafy tu watakavo tena wasitusababishie hasira
 
Imagine Hapo ndio population ya Wamachame(A.K.A
Wapalestina) ingekuwa km ya Wasukuma hapa Tz
 
Ndio maana Baba wa Taifa alishauri tusiwape uongozi wa taifa hili, wachaga, wahaya na wasukuma. Na wanajidhihirisha hivyo. Angalia teuzzi zote za magufuli, na wasaidizi wake . Wasukuma hawawezi kuwa wengi kuzidi watanzania waaliobaki. Watanzania ni wengi kuliko wasukumaa
 
Tembelea ofisi yoyote ya umma sasa hivi iwe ya kijiji, kata, tarafa, wilaya, manispaa, mkoa au jiji kama utatukosa.
 
Bagheshi 30% ndogo tuko 50% kabisa.
Sehemu gani sisi hatupo? Ofisi gani hatupo?
.
Mikoa mingi imeshakuwa mali yetu, , na sio kwamba tulikotoka tunaacha wageni wapatawale na huko tupo tumejaa
 
Sawa Mayalla mwambie tu moja kwa moja watu wanakereka na kukwazika sana na ukabila unaokuwa kwa kasi wakati huu na kwamba awe hata na aibu kidogo kwani nchi inaharibika kwa hili.
Hakuna ukabila ila kwa vile ndio walio wengi na hamkuzoea kuwaona kule juu, then wakitokea kuwepo hata wawili tuu, then mnawaona ni wengi!, na wakiteuliwa kwa merits mnadhani ni ukabila, hivi ikitokea nafasi ya CDF iko wazi, mtu mwenye sifa za kuwa CDF with merits ni mtu wa kabila lako!, utaogopa kumteua eti tuu kwasababu ni kabila moja?.

Au imetokea nafasi ya Jaji Mkuu iko wazi na IGP pia iko wazi, ikatokea watu wenye sifa ni kutoka Kanda ya Ziwa, jee huta wateaua kwasababu ni kutoka Kanda moja?.
Acheni hizo!.
P
 
Sijui ni akina nani siku hizi wanateuliwa kwa upendeleo, ilikuwa zamani kidogo wamasai, waadzabe lakini sio wasukuma tena siku hizi. Chapa kubwa sana ya awamu hii ni upendeleo na hili ni doa. Namheshimu Nyerere sana kwa jinsi ambavyo alishinda kihunzi cha ukabila vinginevyo alikuwa na haki za kuwapa upendeleo wazanaki ambao ni moja kati ya makabila madogo zaidi Tanzania. Ukiweka hesabu ya mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya na wanakotoka utaona ninachomaanisha. Hata sisi wakinga hatukupatiwa upendeleo wowote pamoja na uchache wetu, kwanini upendeleo kwa wasukuma?
 

Pascal Mayala naomba ujibu hii cooment ili utusaidie.
 
Mlaruka,
Mi sioni sababu ya kuliondoa maana naona linatusaidia kuiona rangi halisi ya mleta mada aliyejinasinu kuwa mtu neutral kumbe ni;
1.Mnafiki
2.Mkabila
3.Mroho
Ukabila ni topic nyeti sana hasa wakati huu ambapo tuna kiongozi mwenye kuonesha ukabila.
 
Ukabila wa Sasa Ni wa kimfumo . Kila sekta nyeti lazima awepo Msuku na akikosekana wa haraka Basi atatoka Kyerwa au Geita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…