Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Mlaruka,
Mi sioni sababu ya kuliondoa maana naona linatusaidia kuiona rangi halisi ya mleta mada aliyejinasinu kuwa mtu neutral kumbe ni;
1.Mnafiki
2.Mkabila
3.Mroho

Ni rahisi kujifunika joho la kinyume na matatu haya. Walau 99% ya wanadamu wanaingia na kutoka kwenye "zones" hizi kila siku za maisha yao. Yaani wana-play "outsider" na "insider" roles kwenye hizi zone. Kwa kujua ama kutojua.

Vita ya ukabila na udini ni ngumu. Mapambano yaendelee.
 
Bahati mbaya sana kuna watu wanajaribu kuwaamsha waliolala.

Siku ukabila ukishika hatamu nchi hii ni wasukuma ndiyo watakuwa na kura ya Turufu juu ya urais wa nchi.
 
Hizi sio lugha za kutumia, kwani huwezi kujenga hoja bila kutukana?.
P
 
Huu unaoshauri hapa ni ukabila mbaya, kabisa, Wasukuma sio wakabila ndio maana Usukumani tumechagua wabunge kibao ambao sio Wasukuma!.
Magufuli atachaguliwa na Watanzania kwasababu amekubalika kwa uchapakazi wake na sio kwasababu ni Msukuma!.
P
 
Pascal Mayalla nyie Wasukuma ni watu hatari sana, mna ukabila na ni wabaguzi sana.
Bora kura yangu ipotee kuliko kumpa Gwajima
Unatuonea bure, sio kosa letu bali ndio tulio wengi!.

Kati ya Wagombea 176 wa Kawe, kulikuwa na Wasukuma zaidi ya 40!.
Kwenye top 20 tumeingia Wasukuma zaidi ya 10!, yule No. 1 wa Kawe, Furaha Dominic ni wetu, Gwajima, Benjamin Sita, Paul Mashauri, Francis Nanai, just to mention but few!.
P
 

Si vizuri na busara na haki;NGEDERE KUAMUA KESI INAYOMKABILI TUMBILI.
 
Kwa nini wasukuma sasa hivi wamejaa kiburi na dharau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…