nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,935
Nimekaa na wasukuma, nilichokiona kwa Hawa watu ni kwamba, msukuma hata asome amalize elimu yote duniani na apindue elimu upande usiojulikana nako amalize usukuma haumtoki.Pasco umeamka na akili za usingizini.
Yaani mtu anateua wapwa zake wawili kwenye wizara moja, tena vyeo vya juu kabisa tumnyamazie tu kisa eti wana sifa??
Hao wote wanaounga mkono hoja ya mayalla ni wasukuma.Unashauri wamakonde waendelezwe kwenye stadi za kuchonga vinyago na Wairaqw/Wabarbaig waendelezwe kwenye riadha hata kama wanataaluma za kutosha lakini wasukuma ambao kimsingi ni wakulima wa majaruba ya mpunga/pamba na wafugaji wasiendelezwe katika secta hizo badala yake wawe wanateuliwa katika nafasi zote nyeti serikali kwa kuwa tu Rais ametokea ukanda huo? Real? Kwanini na wao wasiendelezwe kwenye ufugaji na kilimo?
Brother hayo makabila uliyotaja Kama wasomi zaidi kuliko wengine ilikuwa zamani enzi za Nyerere na Mwinyi kwa sababu elimu ilianzia kwao kwa maana ya mashirika ya dini ( Wamissionari) yalianzia huko, kwa hiyo shule nyingi na vyuo vilipatikana ukanda wao.HADI LEO...... wasukuma siyo wasomi, wako mmoja mmoja na siyo katika higher level of learning! Hayas, Chagas, to a lesser extent Nyakyusas
Mkuu kimsboy , jee para hii, uliiona?Sishangai hata kina pasco,nyaningabu,gwajima na wengine kama 15 hivi kuunga mkono juhudi na kugeuka ghafla na kumuunga mkono jpm kisa ni msukuma mwenzao
PMnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika
Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Paskali
Sii kweli, ingekuwa ni hivyo, then serikali nzima wangejaa wao!. Maadam kabila la mtu, sio miongoni mwa sifa za uongozi, na ikitokea wenye sifa wote ni watu wa kabila moja, then let it be!. Huwezi kushindwa kuteua wenye sifa eti kwa sababu ni watu wa kabila lako!. JPM, endelea kututeulia viongozi wachapa kazi, bila kutazama makabila yao, na hata ikitokea wote wakawa ni kutoka kabila moja, let it be, maana ndio wachapa kazi, na uteuzi wao, umezingatia sifa, vigezo na uchapa kazi wao!.Ukiona teuzi sio msukuma jua Hakuna msukuma mwenye vigezo takwa
Mbona gafla mnapoteza ile imani ya kutembea kifua mberee, na kugeuka wanyonge kama yatima,jipeni moyo maisha hayanabudi kusonga mbele,ila muwewasikivu na wapenda haki.popote mtakubalika.Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.
Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.
Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Acha kukwepesha maneno watu hao wenye chuki ni wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro na baadhi wa arusha..Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.
Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.
Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Ukanda ni sumu kubwa sana iliyoingizwa nchini na CHADEMA. Nyerere alijitahidi kujenga nchi kama kitu kimoja, lakini hii issue ya Ukanda ililetwa na CHADEMA. Mleta mada yuko sahihi: ukisema wasukuma unajikuta umechanganya siyo wasukuma tu, bali hata washashi, wanyantuzu, wanyamwezi, wakonongo na wasumbwa! Hiyo ni block kubwa sana ya kura. Katika mgawanyo sawa wa madaraka, siyo jambo la ajabu kukuta watu hao ni wengi kwenye madaraka.Hili tatizo lilianza kwa viongozi huko juu . kupandikiza chuki za ukanda...sasa tatizo limeanza kuonekana kwenye jamii ndio maana ume observe ukaleta hii mada. Kwa watalaam wa maswala ya sayansi ya jamii wanaita tragedy of the commons.
Na pia kuna sense inaniambia wewe utakuwa mtu wa kanda ya ziwa kwa hiyo hii mada umeleta technically kwa maslahi yako fulani fulani hivi. Na unavyosema kwamba sijui kanda ya ziwa ni kura ya turufu..una uhakika gani hiyo kanda yote ni ccm?