Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!


usisahau ni katika term hii ambapo watu wakiona mtu mwenye asili ya kwao kapata uteuzi, wanaona ni neema imewashukia

pathetic, sijui tumefikaje huku
 
Na una citation yoyote ya ku prove hoja yako kwamba chama cha chadema kimeleta ukanda maana kama mnajifariji fulani hivi. Maana huyo late ndio aliyeanza mambo ya ukanda.na ujiulizi kwanini utawala wa bwana yule mambo ya topic za ukabila ,ukanda zimeshamiri ...embu kuwa mkweli
 
Maswala ya Kanda ya Kaskazini Vs Kanda ya Ziwa limetokea CHADEMA ndipo likaenea. Hata sera yao ya majimbo ni kutokana na hilo la ukanda! Hilo halihitaji proof ya aina yoyote: not by induction nor by contradiction nor by construction nor by contraposition nor by anything else! It is obvious.
 
mi siungi mkono hili ila kwa unachofanya wewe ni kuchochea zaidi moto. Hao watu wapuuzwe tu na hili litapita
hukumbuki enzi za Kikwete Wakwere walivyokuwa wakisemwa?
 
usisahau ni katika term hii ambapo watu wakiona mtu mwenye asili ya kwao kapata uteuzi, wanaona ni neema imewashukia

pathetic, sijui tumefikaje huku
Wanataka kujisahaulisha
 
usisahau ni katika term hii ambapo watu wakiona mtu mwenye asili ya kwao kapata uteuzi, wanaona ni neema imewashukia

pathetic, sijui tumefikaje huku

Binafsi sijaona mabadiliko makubwa sana katika distribution ya madaraka. Ni kwa vile watu tulianza kuhoji makabila ya watu jambo ambalo zamani tulikuwa hatufanyi.
 
Ukabila mliuanza wenyewe na kuutekeleza mlipopewa madaraka. Licha ya kutowateua pamoja na kuwa na sifa, hata walebwaliokuwepo kwenye nafasi mmewaundia zengwe na mkawatoa wa makabila ya kaskazini.
Hebu tizameni hii serikali na teuzi za miaka 5 iliyopita. Ina maana ninyi ndo wenye sifa peke yenu?
ACHA UCHOKOZI
 
Kwa taarifa yako mipango ya muda mrefu ya serikali ya Tanzania ni kwamba, hakuna mtu yeyote kushinda kiti cha urais kwa kupitia kura za wengi wape!

Umeelewa au niongeze sauti?
 
Apo kweli amechemka mkuu[emoji23][emoji23]
 
Dhana ya hovyo kabisa. Ebu tuletee daftari la wapiga kura hapa tuone. Bila shaka Dar ndio mkoa wenye wapiga kura wengi kuliko pengine popote. Hata hivyo kuleta hoja ya namna hii hasa wakati huu ambao tumeondokea na raisi msukuma ni dhahiri kwamba kuna watu wengi walikuwa kwenye mgongo wake kwa sababu ya usukuma. Huu ndio ukabila wenyewe. Magufuli hili ni jambo moja baya sana aliloliacha na ni bahati mbaya kwamba itachukua muda mrefu kutibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…