Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

wewe ndio umesema, wasukuma ni wakabila mno, sema Mungu aliwanyima akili na uwezo.
Uwezo gani ? Nyinyi wenye uwezo mnawazidi nini ha wasukuma? Biashara, Kilimo, Ufugaji ,Madini,Elimu wanafanya vizuri kama nyinyi na hata kuwazidi pia! Akili ninayoijua mimi kama ndo hiyo unaiongelea basi wewe ndo mwenye matatizo!
Nyinyi mnaokula mbege huko migombani na kudanganyana kuwa ndo mna akili peke yenu na kuwa mnajua hela na maendeleo nyinyi tu endeleeni kujifariji!
 
Unawasema wajomba kaka.
 
Mtu yeyote anayesema Wasukuma hawana akili ya maisha au hawana pesa basi hajatembea nchi hii. Anaongelea upenuni mwa nyumba ya wazazi wake.
 
Hapo TRC anayekaimu ukurugenzi wa MASANJA KADOGOSA kwa sasa ni Eng.MACHIBYA MASANJA.
 
akili mzee, coconut. ni kitu muhimu mno.
 
akili mzee, coconut. ni kitu muhimu mno.
Sasa wewe na Erick Shigongo au King Msukuma nani ana akili?
Njoo huku Kanda ya ziwa ndo utajua una akili au hauna akili!
Tena wewe vijana wadogo tu Kahama na Katoro hapo wanakutoa ulimi nje!
Nyinyi mnasumbuliwa sana na Ukabila na kutopenda mafanikio ya wengine!
Lakini zama zimebadilika lazima mkubali matokeo!
 
Kweli wasukuma siyo wakabila ila kule chato alikuwa mkabila

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Duh ...! I'd like to differ!

P
 
Wasukuma kwa ufisadi Tanzania ndio wanaongoza, ili ukabila binafsi sija-experience.

Halikadhalika wapiga deal za hela nyingi serikalini kwa upande wa Bantu’s wengi ni watu wa kanda ya ziwa wahaya na wasukuma.

Kuna msukuma mmoja fisadi niliwahi kutana nae huku kijijini kwetu katika deal zake; jamaa ni mtumishi wa umma.

Hapo Magufuli keshakata, Samia ndio raisi. Salaleh katika watu niliokutana nao live ambao nimewasikia awampendi Magufuli jamaa anaongoza.

Yaani ukilitaja hilo jina la Magufuli jamaa anaweza tapika; hataki ata kulisikia. Umuelezi lolote Magufuli hana zuri hata moja as far as he is concerned.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…