Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Swali Wasukuma wameanza kuwa wengi na kabila kubwa kwenye awamu hii ya Magufuli?Mkuu PASKALI
Andiko lako pamoja na makosa madogo madogo ya fact, linastahili kupata alama 95 asilimia.
Roho mtakatifu aendelee kukupigania kama anavyowapigania wana wa Israeli.
Tangu tupate uhuru hii nchi imetawaliwa na ccm, kama hilo tatizo lipo kweli lawama ni kwa ccm, na ufumbuzi hauwezi kuletwa na watu haohao walioleta tatizo, dawa ni kuiondowa ccm madarakani hiki chama ni mkosi kwa Taifa letu.Unajua Paskal kuna kanda flani imeendesha siasa za ukanda na ukabila kwenye Nafasi za kazi kwa muda mrefu Sana, Sasa revolution ya serikali ya awamu ya Tano inaondoa hicho kitu, hivyo wanapata maumivu Sana.
Kwani mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu.
Sasa basi wawe wapole kidogo.
Sasa wameamua kumtumia Lissu kama kichaka cha kufikisha salam zao kwa Rais Magufuli. Pia Lissu akijua kabisa Magufuli ana Neutralise hiyo kitu ilio dumu kwa muda mrefu lakini anajitoa ufahamu ili aridhishe mabwana waliomtuma.
Lakini Paskal nakuhakikishia udhalimu huu hautashinda na kupenya popote ndani ya serikali hii.
Wananchi taratibu wanaanza kuelewa dhamira ovu ya Baadhi ya wanasiasa waovu waliojificha kwenye kichaka cha demokrasia.
Sent using Jamii Forums mobile app
TATIZO kubwa la Wasukuma lilikuwa ni kuwa WENGI walikuwa Watu wa MIFUGO sana na hawakujali mambo ya masomo.. WAZAZI walijali Ng'ombe kuliko elimu hiyo ikawafanya ku kubaki nyuma.Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila mbaya!.
Sisi wanamitandao ya kijamii lazima tufanye a responsible social networking ikiwemo kulisaidia taifa lisiangamizwe na sentiments zozote za ubaguzi au kibaguzi ziwe ni za Ukanda, Ukabila au Udini.
Kwanza tukubaliane sote in principle kuwa siasa zozote za Ukanda, Ukabila na Udini ni tatizo na ni detrimental, ni ugonjwa mbaya Kabisa kwa taifa letu and infact ni sumu!, a very poisonous Vernon!.
Watu wanaizungumza sasa kwa vile imezungumzwa na Lissu, lakini tukubali tukatae, ukanda upo, ukabila upo na udini upo na ni tatizo.
Hatua ya kwanza ya kuondokana na ubaguzi huu, kwanza ni by acceptance kwa kulikubali tatizo na kuwa ni kweli lipo na sio by denial, kama siku zote tunavyofanya. Dawa ya tatizo ni kulikabili kwa kulichimba kiini chake hadi kwenye mizizi kisha kuling'oa.
Mimi naomba kukiri wazi kabisa kuwa ni miongoni mwa wana jf ambao tulibaini tangu siku nyingi kuwa taifa letu linanyemelewa na sumu za siasa za ukanda, udini na ukabila na nilisema wazi hapa.
Mwezi August Mwaka 2014, nilipotajiwa kwa mara ya kwanza, jina la mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015, kuna kitu kama nilikisikia na nikakisema hapa
Hivyo ni kweli kabisa kuna udini mzuri na udini mbaya, kuna ukanda mzuri na ukanda mbaya na pia kuna ukabila mzuri na ukabila mbaya, lets make good use ya ukanda mzuri, ukabila mzuri na udini mzuri kwa maendeleo ya taifa letu.
Mfano, kabila la Wamakonde ndio mabingwa wa kuchonga vinyago, wachongaji mabingwa kabisa ni Wamakonde walioko Tanzania, Wakenya, Waganda, Rwanda na Burudi, wanakuja kununua vinyago Tanzania na kuvi export, hivyo kama tunataka kumiliki soko la vinyago, tuwaendeleze Wamakonde, na sio kabila jingine lolote!.
Miaka ya 70s Tanzania ilisifika sana kwa kutoa wakimbiaji bora, wakimbiaji wazuri ni watu wa makabila ya wafugaji na wawindani wa milimani, hivyo kina Filbert Bayi, Suleiman Nyambui, Gidamish Shahanga, Juma Ikangaa, Zebedayo Bayo, Zakaria Barie, John Steven Akwaari, Restituta Joseph, Simon Naali etc, wote hawa ni watu wa kabila moja au jamii za wafugaji wa milimani, hivyo Tanzania tukitaka kujenga timu imara ya riadha, timu ya ushindi, lazima tuwaendeleze watu wa kabila hilo au jamii hizo.
Wakati wa Nyerere, watu wa makabila fulani walifanya vizuri kwenye maeneo fulani kuliko makabila mengine, mfano Jeshini na polisi ni watu wa Musoma/Mara.
Ukabila Mzuri Katika Uteuzi.
Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa kabisa nchini Tanzania, ndilo kabila lenye watu wengi zaidi, hivyo automatically, tukifuata principals of proportionality, Wasukuma ni lazima wawe wengi kila mahali, hii ni halali yao na sio upendeleo!.
Ukitokea wewe ni mteuzi, ukaletewa majina matatu wote wenye sifa sawa na mmoja wao ni Msukuma, jee utaogopa kumteua huyo Msukuma kwa sababu ya kuchelea utaonekana ni mkabila?, zikitokea nafasi, halafu kati ya walioomba wote, wenye sifa zaidi ni Wasukuma, then let it be, hata Wasukuma wakijazana sana, as long as ndio wenye sifa, then huu ni ukabila mzuri, hivyo natoa wito kwa JPM, endelea kuteua Wasukuma, wajaze kila mahali as long as ni watu wenye sifa na ni wachapa kazi, then wewe teua tuu, wanaosema waache waseme, watasema mchana msiku watalala.
Ukabila Mbaya Katika Uteuzi.
Ikitokea kuna nafasi za uteuzi, then ukaamua kwa makusudi kutafuta mtu wa kabila lako, ambaye hana sifa, lakini kwa vile ni kabila lako, unampa
Inaendelea....
akina nani hao? wapo wizara moja na wapwa zake ?isije ikawa ni uchochezi, au tupe linkPasco umeamka na akili za usingizini.
Yaani mtu anateua wapwa zake wawili kwenye wizara moja, tena vyeo vya juu kabisa tumnyamazie tu kisa eti wana sifa??
Paskali ni sawa kwamba ukichukulia only population tribal proportions lakini si kweli kwamba katika uteuzi lazima wajitokeze wengi katika uteuzi kwasababu uteuzi unakuwa na vigezo, na vigezo hivi ndivyo vinavyo ondoa usahihi wa hoja yako.ukweli mwingine kwa jicho la tatu naliona tatizo la msingi Naona unajalibu kutetea Usukuma kwa maana ileile kwe vile nawe ni msukuma vinginevyo usingejitokeza na hoja dhaiifu kama hii,wasukuma kuwa wengi haina uhusiano na wasomi wengi ni wa kabila la wasukuma.Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila mbaya!.
Sisi wanamitandao ya kijamii lazima tufanye a responsible social networking ikiwemo kulisaidia taifa lisiangamizwe na sentiments zozote za ubaguzi au kibaguzi ziwe ni za Ukanda, Ukabila au Udini.
Kwanza tukubaliane sote in principle kuwa siasa zozote za Ukanda, Ukabila na Udini ni tatizo na ni detrimental, ni ugonjwa mbaya Kabisa kwa taifa letu and infact ni sumu!, a very poisonous Vernon!.
Watu wanaizungumza sasa kwa vile imezungumzwa na Lissu, lakini tukubali tukatae, ukanda upo, ukabila upo na udini upo na ni tatizo.
Hatua ya kwanza ya kuondokana na ubaguzi huu, kwanza ni by acceptance kwa kulikubali tatizo na kuwa ni kweli lipo na sio by denial, kama siku zote tunavyofanya. Dawa ya tatizo ni kulikabili kwa kulichimba kiini chake hadi kwenye mizizi kisha kuling'oa.
Mimi naomba kukiri wazi kabisa kuwa ni miongoni mwa wana jf ambao tulibaini tangu siku nyingi kuwa taifa letu linanyemelewa na sumu za siasa za ukanda, udini na ukabila na nilisema wazi hapa.
Mwezi August Mwaka 2014, nilipotajiwa kwa mara ya kwanza, jina la mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015, kuna kitu kama nilikisikia na nikakisema hapa
Hivyo ni kweli kabisa kuna udini mzuri na udini mbaya, kuna ukanda mzuri na ukanda mbaya na pia kuna ukabila mzuri na ukabila mbaya, lets make good use ya ukanda mzuri, ukabila mzuri na udini mzuri kwa maendeleo ya taifa letu.
Mfano, kabila la Wamakonde ndio mabingwa wa kuchonga vinyago, wachongaji mabingwa kabisa ni Wamakonde walioko Tanzania, Wakenya, Waganda, Rwanda na Burudi, wanakuja kununua vinyago Tanzania na kuvi export, hivyo kama tunataka kumiliki soko la vinyago, tuwaendeleze Wamakonde, na sio kabila jingine lolote!.
Miaka ya 70s Tanzania ilisifika sana kwa kutoa wakimbiaji bora, wakimbiaji wazuri ni watu wa makabila ya wafugaji na wawindani wa milimani, hivyo kina Filbert Bayi, Suleiman Nyambui, Gidamish Shahanga, Juma Ikangaa, Zebedayo Bayo, Zakaria Barie, John Steven Akwaari, Restituta Joseph, Simon Naali etc, wote hawa ni watu wa kabila moja au jamii za wafugaji wa milimani, hivyo Tanzania tukitaka kujenga timu imara ya riadha, timu ya ushindi, lazima tuwaendeleze watu wa kabila hilo au jamii hizo.
Wakati wa Nyerere, watu wa makabila fulani walifanya vizuri kwenye maeneo fulani kuliko makabila mengine, mfano Jeshini na polisi ni watu wa Musoma/Mara.
Ukabila Mzuri Katika Uteuzi.
Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa kabisa nchini Tanzania, ndilo kabila lenye watu wengi zaidi, hivyo automatically, tukifuata principals of proportionality, Wasukuma ni lazima wawe wengi kila mahali, hii ni halali yao na sio upendeleo!.
Ukitokea wewe ni mteuzi, ukaletewa majina matatu wote wenye sifa sawa na mmoja wao ni Msukuma, jee utaogopa kumteua huyo Msukuma kwa sababu ya kuchelea utaonekana ni mkabila?, zikitokea nafasi, halafu kati ya walioomba wote, wenye sifa zaidi ni Wasukuma, then let it be, hata Wasukuma wakijazana sana, as long as ndio wenye sifa, then huu ni ukabila mzuri, hivyo natoa wito kwa JPM, endelea kuteua Wasukuma, wajaze kila mahali as long as ni watu wenye sifa na ni wachapa kazi, then wewe teua tuu, wanaosema waache waseme, watasema mchana msiku watalala.
Ukabila Mbaya Katika Uteuzi.
Ikitokea kuna nafasi za uteuzi, then ukaamua kwa makusudi kutafuta mtu wa kabila lako, ambaye hana sifa, lakini kwa vile ni kabila lako, unampa
Inaendelea....
Asante Pasco kwa hoja nzito. Kwa maoni yangu, neno UKABILA peke yake haliwezi kuwa na maana nzuri, kwa hiyo hakuna kitu kama UKABILA MZURI. Ukiisha kusema tu hapa pana UKABILA, maana yake kuna upendeleo kwa misingi ya ukabila. na hiyo siyo nzuri asilani. ni kweli kwamba tunatakiwa hasa kuangalia uwezo wa utendaji, kustahili kwa mtu kwa maana ya kuwa na vyeti vinavyothibitisha elimu ya kiwango cha kutosha, nk. lakini katika kujenga taifa, katika kuimarisha utangamano na umoja wa kitaifa, na katika kuleta amani na utulivu wa nchi, huwa kuna mambo inatakiwa kuyazingatia.Wanabodi,
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila mbaya!.
Sisi wanamitandao ya kijamii lazima tufanye a responsible social networking ikiwemo kulisaidia taifa lisiangamizwe na sentiments zozote za ubaguzi au kibaguzi ziwe ni za Ukanda, Ukabila au Udini.
Kwanza tukubaliane sote in principle kuwa siasa zozote za Ukanda, Ukabila na Udini ni tatizo na ni detrimental, ni ugonjwa mbaya Kabisa kwa taifa letu and infact ni sumu!, a very poisonous Vernon!.
Watu wanaizungumza sasa kwa vile imezungumzwa na Lissu, lakini tukubali tukatae, ukanda upo, ukabila upo na udini upo na ni tatizo.
Hatua ya kwanza ya kuondokana na ubaguzi huu, kwanza ni by acceptance kwa kulikubali tatizo na kuwa ni kweli lipo na sio by denial, kama siku zote tunavyofanya. Dawa ya tatizo ni kulikabili kwa kulichimba kiini chake hadi kwenye mizizi kisha kuling'oa.
Mimi naomba kukiri wazi kabisa kuwa ni miongoni mwa wana jf ambao tulibaini tangu siku nyingi kuwa taifa letu linanyemelewa na sumu za siasa za ukanda, udini na ukabila na nilisema wazi hapa.
Mwezi August Mwaka 2014, nilipotajiwa kwa mara ya kwanza, jina la mgombea urais wa CCM kwa mwaka 2015, kuna kitu kama nilikisikia na nikakisema hapa
Hivyo ni kweli kabisa kuna udini mzuri na udini mbaya, kuna ukanda mzuri na ukanda mbaya na pia kuna ukabila mzuri na ukabila mbaya, lets make good use ya ukanda mzuri, ukabila mzuri na udini mzuri kwa maendeleo ya taifa letu.
Mfano, kabila la Wamakonde ndio mabingwa wa kuchonga vinyago, wachongaji mabingwa kabisa ni Wamakonde walioko Tanzania, Wakenya, Waganda, Rwanda na Burudi, wanakuja kununua vinyago Tanzania na kuvi export, hivyo kama tunataka kumiliki soko la vinyago, tuwaendeleze Wamakonde, na sio kabila jingine lolote!.
Miaka ya 70s Tanzania ilisifika sana kwa kutoa wakimbiaji bora, wakimbiaji wazuri ni watu wa makabila ya wafugaji na wawindani wa milimani, hivyo kina Filbert Bayi, Suleiman Nyambui, Gidamish Shahanga, Juma Ikangaa, Zebedayo Bayo, Zakaria Barie, John Steven Akwaari, Restituta Joseph, Simon Naali etc, wote hawa ni watu wa kabila moja au jamii za wafugaji wa milimani, hivyo Tanzania tukitaka kujenga timu imara ya riadha, timu ya ushindi, lazima tuwaendeleze watu wa kabila hilo au jamii hizo.
Wakati wa Nyerere, watu wa makabila fulani walifanya vizuri kwenye maeneo fulani kuliko makabila mengine, mfano Jeshini na polisi ni watu wa Musoma/Mara.
Ukabila Mzuri Katika Uteuzi.
Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa kabisa nchini Tanzania, ndilo kabila lenye watu wengi zaidi, hivyo automatically, tukifuata principals of proportionality, Wasukuma ni lazima wawe wengi kila mahali, hii ni halali yao na sio upendeleo!.
Ukitokea wewe ni mteuzi, ukaletewa majina matatu wote wenye sifa sawa na mmoja wao ni Msukuma, jee utaogopa kumteua huyo Msukuma kwa sababu ya kuchelea utaonekana ni mkabila?, zikitokea nafasi, halafu kati ya walioomba wote, wenye sifa zaidi ni Wasukuma, then let it be, hata Wasukuma wakijazana sana, as long as ndio wenye sifa, then huu ni ukabila mzuri, hivyo natoa wito kwa JPM, endelea kuteua Wasukuma, wajaze kila mahali as long as ni watu wenye sifa na ni wachapa kazi, then wewe teua tuu, wanaosema waache waseme, watasema mchana msiku watalala.
Ukabila Mbaya Katika Uteuzi.
Ikitokea kuna nafasi za uteuzi, then ukaamua kwa makusudi kutafuta mtu wa kabila lako, ambaye hana sifa, lakini kwa vile ni kabila lako, unampa
Inaendelea....
Kabudi - Singida.Makamu wa Rais - Zenje
Waziri Mkuu - Lindi
Spika - Dodoma
Naibu Spika - Mbeya
Mawaziri wandamizi ;
Lukuvi - Iringa
Mwakyembe - Mbeya
Simbachaweni - Dodoma
Makamba - Tanga
Ummy Mwalimu - Tanga
Maghembe - Kilimanjaro
Kairuki - Kilimanjaro
Mpango - Kigoma
Ndalichako - Kigoma
Mwigulu - Singida
Mbarawa - Zenji
Kabudi - ???
Nape - alikuwa Lindi
Muhongo - Mara
Mahiga - Iringa
Lwenge - Iringa
Mhagama - Ruvuma
Mwinyi - Zenji
Huu ukabila na ukanda upo wapi hapo, Lissu atavuna tu chuki anayopanda 2020
Msukuma anayewatetea wasukuma.Ivi nawe Pasco ni kabila gani vile?
Huo ni uongo, hajawahi sema hicho kituNyerere aliwahi sema maraisi ni vyema watoke makabila madogo na siyo haya makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app