Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Kwa wazungu wala hili lisingekuwa hoja, lkn kwetu hapa ni issue kwa sababu "Political Appointment" means a lot".
 
HADI LEO...... wasukuma siyo wasomi, wako mmoja mmoja na siyo katika higher level of learning! Hayas, Chagas, to a lesser extent Nyakyusas
You dnt know them bcs they dont show up as those tribes you mentioned! hata shule nzr wakati wa ukoloni unajua kule zilijengwa..hawakujenga Tabora Boys kwa sababu watu wa huko hawakupenda kusoma! jiulize vzr
 
Attitude na character ni sifa muhimu sana kwa dunia ya leo kama unataka kuendelea..kipaji, nguvu, akili nyingi kama attitude ni mbovu..mwizi, muongo, mvivu, mbinafsi, mgomvi nk hufai kupewa fursa!!! pigia mstari..
 
Wasukuma wakabilaa sana wanakuja vyuoni wakiwa washamaa balaa wanakaa room moja udom pale wasukuma watupu wanarud kwao mwaka wa mwisho wakiwa washama vile vilee
 
Nakujibu kwa machache tu. UKWELI NI KWAMBA wasomi wengi wa Tanzania ni wahaya na wachagga so kuna sio ubaguzi kwa nini aende kuchukua usukumani tu wakati kuna makabila yamesoma kuliko hao WASUKUMA?
Nini ? Wewe wasukuma tumesoma bwana, acha uongo hapa.
 
Wachaga wengi wapo sekta binafsi, hao wasukuma kama wanapendelewa kama unavyodai hawataweza kuajiriwa wote,

waziri fulani msukuma kuteuliwa sidhani kama italeta overall yoyote impact kwa wasukuma zaidi ya yeye na wachache wanaomzunguka, kuna mikoa imetoa mawaziri wengi kama Kigoma, ipo wapi? Katavi ya pinda iko wapi? Manyara ya Sumaye, huko Umasaini kwa Lowasa nako vipi kwani? Mtwara kwa Mkapa kuna maendeleo gani?

Hao wachaga mnawaowaandama maendeleo yao hayahusiani na uteuzi serikalini, hata hao mnaodai walipendeleana kikabila walinufaisha familia zao na sio jamii ya kichaga
Mbona jamii za kihindi zina maisha bora licha ya kutotoa mawaziri, jibu ni kufanya kazi na elimu tu

Sasa kama jamii msipofanya kazi kwa weledi na bidii mkitegemea maendeleo yatawashukia kisa waziri ni kabila lenu...you are in for a big suprise
 
You dnt know them bcs they dont show up as those tribes you mentioned! hata shule nzr wakati wa ukoloni unajua kule zilijengwa..hawakujenga Tabora Boys kwa sababu watu wa huko hawakupenda kusoma! jiulize vzr
Voter, tungeliwakuta maofisini kama hawataki kujionyesha. Majaji wa mahakama kwa mfano kama kuna wasukuma miaka ya nyuma watajulikana.... hata wasipojitutumua, kwa position zao watajulikana.
Mfano mwingine kuwa kama wapo lazima wajulikane... look here, hawa wanajulikana kwa vile walikuwa na nafasi nyeti. Kama wangelikuwa wasukuma wangelikuwemo.

Profs at International levels

A. Harvard University- Justinian Rweyemama 1970's

B. Mwesiga Baregu , Harvard University,

C. Fransis Kateka Oxford

D. Prof Kaijage , University of Birmingham

E. Mark Rweyemamu director of GALV


TOFAUTISHA: SIO KUWA WASUKUMA HAWANA AKILI, HAPANA, KUSOMA KWAO HAIKUWA PRIORITY... NG'OMBE ALIKUWA ANATOSHA KWA KILA KITU
 
Hapa Bwana Mayala uyasemayo kwa kiasi kidogo yana ukweli. Isipokuwa kwa suala la ukabila liko wazi, katika makabila matatu yenye ukabila Tanzania Wasukuma wamo ndo maana Baba wa Taifa hakupenda hata sikumoja mtu kutoka makabila haya matatu awe raisi, kwani angekuza ukabila na angetuletea shida. Watanzania hatukumsikiliza tukafanya yetu sasa matokeo yake ndo haya. ukabila mbele kwa mbele. Tutafika tu wengine pia walifika
 
Wasukuma wangekuwa na tabia kama hii ya kwako, kujisifu, kujionyesha km umesoma na uko bora kuliko wengine pengine ugewajua mapema kuwa wamesoma kuliko hao wengine unaodhani wana wasomi wengi, wasukuma hawako hivyo..they r quite not vocal, hawajui ulalamishi..jiulize kina kasanga Tumbo, Kasela bantu na wengine wengi wapi walitoka na mchango wao kwa democrasia ya nchi hii ni nini labda utapata mawili matatu ya kujifunza, kama wasukuma wangekuwa na tabia hizo mnazopigia kelele hapa na kwa rasilimali walizopewa nchi isingekuwa salama, shukuru Mungu kwa kuwapa moyo huo walio nao km vile Pascal alivyowaelezea!
 
Nijualo, kuna siku rais wetu atatambua kuwa amezungukwa na wanafiki wasiomwambia ukweli, na kwamba watu kama Lissu ni msaada mkubwa kwake.
Urais wetu una madaraka makubwa sana na hauachi nafasi yamshauri yeyote kuthubutu kumshauri rais kile asichokipenda. Maneno aliyoyasema Lissu mengi ameambiwa na watu walioko huko jikoni lakini hawana pa kusemea. Watu kama Lissu ni hazina. Mwache afungwe. Ni bora kufungwa kusema ukweli kuliko kufungwa kwa kuiba.
 
Yapo mengi yakuongea kuhusu hii thread yako, lakini ngoja tukae kimya maana tunashukuru wengine ugali tunaupata. Siku watanzania wakijielewa basi kwa wingi wetu tunafanya mabadiriko na Wazalendo wa kweli ndio watapatikana..
 
Ni "Nyasaka" au "Chasaka"?
 


May Allah bless Me and You
 
The late Nyalali..
Rupias..
Bomanis..
Ofisi gani unaongelea, unamtambuaje mtu km hakuna kinacholeta attention umtambue??? wasukuma hawana majivuno na mikogo kama wengine that why you dont pay attention to know about their presence.
 
SWALI LA KUJIULIZA MAGUFULI JE NI MSUKUMA?
Jana hukumsikia ? Yeye mwenyewe kasema kwenye hotuba zake huko Kaliua ni Msukuma. Magufuli ni pure msukuma, ni vile tu kabla ya uchaguzi alificha maana alijua sumu mliyolishwa na Nyerere ya kutochagua kabila kubwa ingemuathiri.
 
The late Nyalali..
Rupias..
Bomanis..
Ofisi gani unaongelea, unamtambuaje mtu km hakuna kinacholeta attention umtambue??? wasukuma hawana majivuno na mikogo kama wengine that why you dont pay attention to know about their presence.
Well said.
 
The late Nyalali..
Rupias..
Bomanis..
Ofisi gani unaongelea, unamtambuaje mtu km hakuna kinacholeta attention umtambue??? wasukuma hawana majivuno na mikogo kama wengine that why you dont pay attention to know about their presence.
Voter, hujanielewa, nasema wakiwa wengi (sisemi hawapo) hata kama hawana majivuno, by their high numbers in various high positions utawajua tu. Ni hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…