Tuhuma za wizi wa Hayati Magufuli haziniumizi, kinachoniumiza kwanini alizaliwa kwenye nchi hii?

Mpe credit sasa na Waziri wa JPM aliyesimamia barabara kipindi cha utawala wake.
Nazijua vizuri tu, JK alimwaga pesa zakutosha kwaajili ya njia kuu za kimkakati zilizo unganisha nchi nzima.
Na huyo John Pombe Joseph Magufuli ndio alikuwa site kama waziri wa ujenzi, kusimamia huwo mpango uliofanikiwa vizuri.
 
Badala uwaze mambo ya baba yako mzazi unawaza mambo ya watu wengine. Wajinga na wenye ulemavu wa akili ni wengi nchi hii. Hasara kabisa mzazi kuzaa wapumbavu kama wewe.
Nakuacha kwa sababu leo ni J.pili! Mungu umrehemu huyu binti
 
Amezaliwa katikati ya vilaza ila katusaidia kiasi chake kutufungua macho.

Mungu hakosei.
 
Ndiyo,

Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao?
Ningekuwa Samia ningeweka hadharani Ile ripoti ya ukaguzi wa benki kuu, na fedha za plea bargain.
 
Ndiyo,

Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao?
Daah! Pole zako.
Inaelekea si ajabu ile siku inakaribia na usishangae kumfuaata aliko!! Nawaza tu!!
 
Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii kutaka nijue ni kivipi azaliwe katikati yao?
Hili britanicca atakujibu
Na iliwezekanaje yeye JPM akubali kuzaliwa katika nchi hii ngumu
Mtoto haamui azaliwe wapi!.
Kwa nini ulikubali uzaliwe katika nchi Hii! Mama mzazi wa JPM utusamehe sana,
Mtoto haamui azaliwe wapi!.
Asante kwa maisha yako katika nchi usiyoistahili uzaliwe! Asante kwa uliyotuachia!

Huko uliko JPM utusamehe sana wenyeji wa nchi hii
Japo huyu Mwamba yuko peponi, Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani lakini kiukweli sijalipenda bandiko hili kwasababu lina ukweli fulani mchungu sana kumeza!, muulize Mkuu britanicca akuelezee kuhusu mtoto mmoja mdogo kwa jina la Katto, alizaliwa wapi?, baba yake halisi huyo Katto ni nani?, aliingia nchini lini?, akiwa na umri gani?, akitokea wapi?, alikuja na nani, na walifikia wapi?.

Kitu ambacho sitaki umuulize britanicca ni usimuulize kuhusu what then happened kwa huyo Katto kwasababu Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
P
 
JPM alikuwa anajua kusukuma kazi na matokeo ukayaona, tatizo udikteta wake umeharibu sana legacy yake, ndio maana kwa wengine atabaki kuwa one of the best kutokea TZ na wengine atabaki kuwa the worst of the worst, unaweza kuona mwenyewe maoni ya watu humu yalivyogawanyika (to the extreme)
 
Ndiyo,

Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao?
Mkuu ngoja tuendelee kunywa Supu nyama ziko chini nchi ya ahadi hii🥲
 
Amen !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…