Tuhuma za wizi wa Hayati Magufuli haziniumizi, kinachoniumiza kwanini alizaliwa kwenye nchi hii?

..Magufuli alitakiwa aongoze wakati nchi ina Katiba Bora, na mfumo wa imara, na uliokomaa, wa Demokrasia.
 
alikuacha vibaya tena na mimba! waliozaliwa tanzania wanakuletea ugali mezani.
 
Nazijua vizuri tu, JK alimwaga pesa zakutosha kwaajili ya njia kuu za kimkakati zilizo unganisha nchi nzima.
Na huyo John Pombe Joseph Magufuli ndio alikuwa site kama waziri wa ujenzi, kusimamia huwo mpango uliofanikiwa vizuri.
jk hana pesa
 
Unafikiri miradi inatatia tatizo la ajira. We ndo akili kisoda kabisa. Miradi ni sector ndogo sana ya kuajiri si chini ya elfu 10 na pia temporary ikiisha tu na ajira zinayeyuka. Unataka kusema mwalimu au dactari ataenda kufanya kazi kwenye bwawa la nyerere au sgr?
 
Akili huna!

Unadai miradi haitengenezi wala kutoa ajira?

Daktari bila majengo ya hospital na vifaa vyake angemtibu nani kibwengo wewe?
 
Huna akili.
 
Akili huna!

Unadai miradi haitengenezi wala kutoa ajira?

Daktari bila majengo ya hospital na vifaa vyake angemtibu nani kibwengo wewe?
Kelele kibao tumiradi twenyewe tuwili tutatu. Jk kafanya mamiradi mangapi mangapi mbona hatukusikia makelel na mapambio ya kujisifu eti kufzindua mara kufungua mara mbilimbili. Kajenga daraja la bahari la kigambaoni, katandaza mabarabara nzima, kajenga mashule ya kata nchi nzima, kaajiri walimu na madaktari kila mwaka kwa mamia na maelfu karibu wote labda ukatae mwenyewe. Kapandisha madaraja ya watumishi kila mwaka lakini hatukusikia makelel ya Uzinduzi na kipindi kama kile Cha jpm kwenye tbc eti kishindo Cha awamu ya tano. Kubali jpm alikuwa mshamba na mpuuzi na hakustahili kuwa raisi kabisa.


Jk ndo alianzisha kitengo Cha MOI pale muhimbili lakini hatukusikia makelel kama ya yule mshamba
 
Andika na wewe miradi ya JK
 
Hizi ni sifa za mtu asiye na akili.Kwa hiyo kila unayejibizana naye unadhani ana jinsia kama ya mama yako mzazi?Huna akili hadi keshokutwa.Nuna tena.
Umesahau kwamba unagawa nyuma? Unashindwaje kuitwa mama?

😂
 
Narudia tena, si kila mtu waweza kumtukana?

Na nikuulize, baada ya kunitukania hata wasioandika hapa, umepata faida bibie?
Acha ujinga tulia.Ukianzisha utoto utapata utoto zaidi.Jifunze kuwa mstaarabu.Kwangu maneno machafu ninayo mapya.Jaribu tena unune!
 
Acha utoto!
Daah!

Nimeandika nikajikuta naogopa! Sikutukani tena mkuu!

Ila acha kufika tu una quote mtu kwa mitusi

Unisamehe sana iwapo nimekosa! Sirudii kamwe kusema chochote kibaya kwako! Ila wewe waweza sema, sijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…