Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Facts ? Hayo ya zamani kuyataja ni useless lakini pia ahasante kwa kuyakumbusha. Kwa ufupi hayo kuanzia mweme chai nk kweli hayakufanywa na magufuli lakini thank ku admit yalikua ni mauaji. Hayo yalifanywa na serikali hii hii ya Ccm. Wote hawa ni sawa tu kwenye masuala ya uvumilivu.
ila haya ya sasa yanayo fanyika kama kutekwa kwa watu mbali mbali.
kupotea kwa watu mbali mbali.
maiti za watu ndani ya viroba kuokotwa hovyo mpaka sasa zaidi ya 25 huku raia wasio hatia wakichukuliwa huko kibiti bila kujulikana wako wapi na nila kesi.
waumini kutekwa 14 msikiti wa ali mchumo huko mkuranga ambapo walishambiliwa na kumwaga damu msikitini na baada ya waislam kupiga kelele wakaachiwa mmoja amekufa na mmoja katolewa jicho wengine vilema. Ni aibu
vitendo vya kupigwa mabomu IMMA offices.
vitendo vya hovyo kukamata vijana wanao daiwa kwa makosa ya mtandao huku wale wa ccm wakitukana na kutishia mpaka kuua bila kuguswa
vitendo vya wabunge kufatwa fatwa na wengine kutishwa wasijaribu kusogelea jiji la Dar
kutishiwa kupigwa risasi hadharani Nape masaa tu alipo achishwa uwaziri.
na sasa hili la Lissu kuripoti kuwa anafatwa bila kuchukuliwa hatua za kiusalama hatimae wakamfata dodoma na kumdhindilia risasi. ....my friend haya ya sasa ni too far and too extreme too dangerous ...lakini wanao fanya they dont care about the consequences...they just want this umma to be quite na tushangirie tu hata kama tunatumbukizwa chooni.
mimi nikushauri kama wewe una amini in straight talk anzisha Mada ya kusapoti vitu viwili
mosi perliamentary enquiry kuhusu mauaji ya kibiti.
pili independent enquiry ya jaribio la kumuua Tundu Lissu...tuwaite Scotland yard...
anzisha mada hio kwenye blogu yako na social media na vijana kwa mamilioni wata kusapoti kuishinikiza serikali ili tupate ukweli usio na chenga.
ila kwa sasa no body will trust anybody from the authority as you said tayari wao wananyoishewa vidole....let straigh talk not bla bla.... siku zote ukiwa upande wa wanao dhulumu basi nawe dhulati....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumbu wanahangaika kujitetea hata mambo ambayo hawajaulizwa
 

Yaani hiyo sio siri..ndio sabab huyu gasho watu humuogopa kama ukoma hapa mjini. Just we fikiria ni watu gani ulishasikia wamemzungumzia huyu takataka kama rafiki.

of all my life in social media mpaka media zingine sijawai sikia any one anamtaja huyu boya rafiki.

mama yake katesa sana huyu pimbi akipakuliwa huku mjini na vibosile. Yule mama unaambiwa ata hela ya ugoro alikuwa ana kosa.

Yaani huyu puNga si riziki. Ndio sabab ndugu mpaka baba zake huwez kusikia wamezungumzia hili bwawa.. analaaaaana huyu.
 
Kiukweli huu sio wakati wa kukaa na kujadili hili suala ila kwa maoni yangu cha kwanza cha kufuatilia katika uchunguzi ni kumuangalia kwanza mtu wa karibu yake then mengine yafuate hapo ndipo tutakapopata chanzo cha uchunguzi wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona leo unahangaika sana kama kuku mtetea kuitetea serikali, mwenzako Le mutuz kakushauri tuiachie serikali ifanye uchunguzi.

Kwa kadri unavyobabaika wachunguzi wa mambo watakuhizi au unayemtetea anahusika.
 
Nilichoelewa ni kwamba ccm mnataka kumsingizia dereva ndiye aliyempiga lissu risasi
 
Mbona serikali ilikataa Scotland yard kufanya uchunguzi kupotea kwa Ben Sanane? Nadhani tulipofikia tuite vyombo vya nje vije vitusaidie kufanya uchunguzi tuachane na jeshi letu la polisi limeishashindwa matukio mengi yametokea na mengine yamemaliza zaidi ya miaka 5 uchunguzi haujakamilika. Kwa sasa hatuna imani na jeshi letu la polisi katika kufanya uchunguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo matukio ulioyataja, serikali iliyachunguza na kutoa ripoti dhidi ya wahusika Wa mauaji hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unalia sana msibani na uko too defensive? Wewe ndo mchawi, policcm waanze nawewe
 
Lowassa yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi ukaisaidie Polisi kwani unaonekana unawajua wahusika waliyempiga risasi Tundu Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..hili linafanya Lisu kuonekana kapigwa risasi na maafisa usalama wa serikali jambo ambalo sio kweli...
Unaonaje ukireport kwa RPC wa Dodoma ukawasaidie info? Thread zako zote leo umeshupalia jambo moja tu na mchango wako muhimu unaweza kutoa mwanga kwa police wetu.
 
Hivi viroba bado vingali mtaani jamani[emoji54]
Sio kwa juhudi hizi za kujaribu kutakasa mioyo na akili zetu....
Haitatakata si kwa jiki wala OMO...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta Uzi ni wa hovyo sana! Atakuwa anaitwa kilaza na anafikiria kwa kutumia masaburi style!
Kamwambie DAB!
 
Guys ni MAWAZO yake, msimdharau wala kumforce awaze kama nyinyi.
Op nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…