bopwe
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 1,773
- 1,460
Facts ? Hayo ya zamani kuyataja ni useless lakini pia ahasante kwa kuyakumbusha. Kwa ufupi hayo kuanzia mweme chai nk kweli hayakufanywa na magufuli lakini thank ku admit yalikua ni mauaji. Hayo yalifanywa na serikali hii hii ya Ccm. Wote hawa ni sawa tu kwenye masuala ya uvumilivu.EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!
....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
ila haya ya sasa yanayo fanyika kama kutekwa kwa watu mbali mbali.
kupotea kwa watu mbali mbali.
maiti za watu ndani ya viroba kuokotwa hovyo mpaka sasa zaidi ya 25 huku raia wasio hatia wakichukuliwa huko kibiti bila kujulikana wako wapi na nila kesi.
waumini kutekwa 14 msikiti wa ali mchumo huko mkuranga ambapo walishambiliwa na kumwaga damu msikitini na baada ya waislam kupiga kelele wakaachiwa mmoja amekufa na mmoja katolewa jicho wengine vilema. Ni aibu
vitendo vya kupigwa mabomu IMMA offices.
vitendo vya hovyo kukamata vijana wanao daiwa kwa makosa ya mtandao huku wale wa ccm wakitukana na kutishia mpaka kuua bila kuguswa
vitendo vya wabunge kufatwa fatwa na wengine kutishwa wasijaribu kusogelea jiji la Dar
kutishiwa kupigwa risasi hadharani Nape masaa tu alipo achishwa uwaziri.
na sasa hili la Lissu kuripoti kuwa anafatwa bila kuchukuliwa hatua za kiusalama hatimae wakamfata dodoma na kumdhindilia risasi. ....my friend haya ya sasa ni too far and too extreme too dangerous ...lakini wanao fanya they dont care about the consequences...they just want this umma to be quite na tushangirie tu hata kama tunatumbukizwa chooni.
mimi nikushauri kama wewe una amini in straight talk anzisha Mada ya kusapoti vitu viwili
mosi perliamentary enquiry kuhusu mauaji ya kibiti.
pili independent enquiry ya jaribio la kumuua Tundu Lissu...tuwaite Scotland yard...
anzisha mada hio kwenye blogu yako na social media na vijana kwa mamilioni wata kusapoti kuishinikiza serikali ili tupate ukweli usio na chenga.
ila kwa sasa no body will trust anybody from the authority as you said tayari wao wananyoishewa vidole....let straigh talk not bla bla.... siku zote ukiwa upande wa wanao dhulumu basi nawe dhulati....
Sent using Jamii Forums mobile app