Tuifahamu Wagner Group kwa undani

Vipi libya NATO pia walikimbia baada ya wagner kuingia?
Hata Libya inasaidiwa na Wagner ndio maana unaona kuna wakati Marekani wanalalama.
Mara kwa mara BBC London, DW, voice of America, aljazeera nk huripoti kwa maumivu makali jinsi Wagner group wanavyotibua maslahi ya NATO huko Libya.

Naweka screenshot zinagoma
 
Hata Libya inasaidiwa na Wagner ndio maana unaona kuna wakati Marekani wanalalama.
Mara kwa mara BBC London, DW, voice of America, aljazeera nk huripoti kwa maumivu makali jinsi Wagner group wanavyotibua maslahi ya NATO huko Libya
Wakati gadafi anatandikwa mbona walikuwepo walisaidia nini? Kingne NATO haina maslahi tena libya lengo lao limefanikishwa hayo mengine ni porojo ulimwengu wa teknolojia kila kitu kipo wqzi danganya warusi wenzako wa tandale
Majangiri mengi wa hili kundi wamefia ukraine habari unazo?


 
Siwezi kujua labda ukaulize pale Tripoli ukitoka ukaulize tena pale Moscow
 
Hawakuwepo, walelienda baada ya uhalibifu wa nato
 
Lakini wamagharibi hapo tu ndio wananikera mimi kuchota rasilimali zetu mpaka watuletee mavurugu na mauaji. Wao wakae mezani waandae mikataba ya kurasa elfu 50, kwa kuwa waafrika wavivu wa kusoma ataangalia paragraph ya kwanza kisha ataenda pa kuweka signature basi habari imekwisha.
Wachukue rasilimali watuachie roho zetu.
 
Naulizaje huko wakati thread yenu imejaa sifa za hawa majangiri na umbea mwingi halafu fact hamuna si mpo karibu hapo kremlin unashindwaje kuleta data hizo dugu?
Najua lazima ujibu kwa hasira sababu hawa unaowatetea ndio majangili hadi walifikia kuligawanya bara la Afrika.
Urusi haijawahi kufanya ujangili sehemu yoyote isipokuwa majirani zake wakitaka kushirikiana na maadui zake huwa anawadunda na kuwaachia makovu ya kudumu.
Urusi tangu zamani amekuwa bega kwa bega katika kuyasaidia mataifa yanayoonewa na mabeberu
 
Kelele zenu zote mnajua Urusi akishawamaliza watetezi wa ushoga na usagaji mtakosa uhuru wa kufanya huo upumbavu wenu
 
Mwisho wa siku tambua hakuna raia wabaguzi kama warusi....

Ngoja mtetea Dunia anyamaze atuachie huyo mnaemuita mtetezi wa waafrika asambaze mamluki wake Afrika baadae waanze kugeukana ndipo utajua Waafrika tunatumiwa vibaya
 
Ghadafi ameuwawa 2011, PMC limeanzishwa 2014...

Hata hivyo katika vitu anajuta Putin ni kutoingilia kumlinda Ghadafi pale Libya.

Maana Ghadafi ilikuwa ni nguzo yenye nguvu iliyokuwa Africa ambayo ingemsaidia kuwanyoosha hawa mabeberu.

Hata baada ya hapo Putin hakukubali tena mabeberu kufanya ujinga kama wa Libya pale Venezuela...Ule mtiti wa Venezuela ulikuwa sio mchezo
 
Kwa nini Wakiingia sehemu NATO wanasepa au kulalamika?
 
Wagner imeundwa mwaka gani na Ghadafi kauliwa mwaka gani?? Tumia hio teknolojia yako vizuri kujitoa uzuzu,,..................na hakuna vita ambayo inakosa casualties hata kama upande wenu ndo utakaoshinda,,vita sio michezo yenu ya ki lgbt......hata majangiri wa minato wanafilimbwa huko ukraine hadi hawana hamu na hio vita
 
Mwisho wa siku tambua hakuna raia wabaguzi kama warusi....

Ngoja mtetea Dunia anyamaze atuachie huyo mnaemuita mtetezi wa waafrika asambaze mamluki wake Afrika baadae waanze kugeukana ndipo utajua Waafrika tunatumiwa vibaya
Historia ya Urusi inaeleweka kwamba hana njaanjaa za ajabu ajabu kama hawa LGBTQ. Amejitosheleza
Kingine huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi kwa kulazimisha sera zake bali Urusi inajieleza kabisa kwamba, tukishirikiana pata na mimi nipate... NATO wao ukishirikiana nao hawataki uendelee ili wakitaka kukufanya chochote wakufanye
 
Mwisho wa siku tambua hakuna raia wabaguzi kama warusi....

Ngoja mtetea Dunia anyamaze atuachie huyo mnaemuita mtetezi wa waafrika asambaze mamluki wake Afrika baadae waanze kugeukana ndipo utajua Waafrika tunatumiwa vibaya
Mtetea dunia mnafiki tu,,,,mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo.....bora dunia ianze 1 tu
 
Mbona hapa anaengoea kishabiki ni wewe, kwamba wanajeshi wa Rwansa ndo waliweza kuimudu ile stuation?

Badi hili sakata kila mtu analijua kivyake.
Ni kweli Rwanda aliweka Mambo sawa.

Kwa Nini aliweza Rwanda?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"""Huwezi tatua tatizo lililotengenezwa na watu wale wale"""huo msemo hapa ulikua kinyume chake,,,,,nadhani umenielewa hapa.
 
Fiction tupu
 
Hili kundi binafsi la ulinzi Wagner linapatikana wap, yaan makao yao hasa ni wap

Ni kwa nin Putin kaamua kuwatumia wao? Ni kwamba jeshi lake ni goigoi kuliko hawa Wagner au ikoje hii wakuu.

Nauliza kwa kutaka kujua siyo ushabiki
 
Hili kundi binafsi la ulinzi Wagner linapatikana wap, yaan makao yao hasa ni wap

Ni kwa nin Putin kaamua kuwatumia wao? Ni kwamba jeshi lake ni goigoi kuliko hawa Wagner au ikoje hii wakuu.

Nauliza kwa kutaka kujua siyo ushabiki
Dunia imebadilika tupo 4th war generation hawatumii majeshi makubwa kufanya uvamizi. Bali ni vikundi vidogo vidogo vilivyoiva na zana wezeshi ndio vinaingia front kupiga ndondo na ni kampuni binafsi ila kazi za Serikali.
Kundi limesajiliwa Agentina ila wamiliki ni Warusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…