Tuifahamu Wagner Group kwa undani

Waende Nigeria wakawang'oe Boko kharam!
 
Waende Nigeria wakawang'oe Boko kharam!
 
Jeshi la urusi linasubiri mashoga waingie direct ili liwapelekee moto vizuri saivi pambaneni na Wagner
 
Mkuu, uwe na hakika usemacho si tu kusema kinachokufurahisha.

Imesemwa hili kundi liliundwa 2014, Gaddafi ameuliwa 2011, nawe unahoji kwanini halikuweza kumlinda Gadaffi. How?
 
Hili kundi binafsi la ulinzi Wagner linapatikana wap, yaan makao yao hasa ni wap

Ni kwa nin Putin kaamua kuwatumia wao? Ni kwamba jeshi lake ni goigoi kuliko hawa Wagner au ikoje hii wakuu.

Nauliza kwa kutaka kujua siyo ushabiki
Pengine labda ni kwasababu Wagner ni Wapiganaji wakulipwa na hawafuati utaratibu wa kivita wa kimataifa wanapamba kwa mbinu zozote zile wanazoona wao zitawapa mafanikio(kanyaga twende) wakati Jeshi la serikali ni waajiriwa na wanabanwa na sheria (yaani kuna utaratibu wanaopaswa kuuzingatia wawapo vitani)kwahiyo wanakuwa na tahadhari kwa kila hatua wanayochukua!
 
Hii imeandikwa na nani? Na ghost of Kieve?
 
Daaaah..... Huwa ni nani anawadanganya nyie watu? Sometimes mpaka mnatia huruma.
 
Wapi umeona kuna vita na hawatumii majeshi??
 
Wale wazee wa upinde wakisikia Wagner Group suruali zinanuka kinyesi..

Wagner Group ni kikundi kilianzishwa na makomando wastaafu wa urusi. Wao hukodiwa kwenda kupigana vita sehemu yoyote duniani. Hawa wanaume wakitimba mahali marekani na vibaraka wake wanakacha chap. Maana hawanaga show ndogo. Mfano kuna kipindi mwaka juzi huko Venezuela, marekani walitaka kumpindua Maduro. Maduro akavuta waya, mara zikaonekana kuna ndege 2 zimeingia na wanajeshi wa kirusi, mpaka leo husikii tena story ya kumpindua Maduro. Syria marekani alijifanya anapigana na Islamic State miaka 2, wahuni walivyoingia wiki 2 tukasikia marekani anatoa milio na magaidi wakapoteana, ndo ikawa mwisho wa vita vya Allepo na Syria kwa ujumla.

Sasa hivi dunia nzima walishajua mwanaume wa kweli kivita ni mrusi, ukiangalia hata nchi zilizokuwa marafiki wakubwa wa marekani kama Saudia Arabia, Qatar nk wameanza kujisogeza kwa mrusi baada ya kuona mziki wa Wagner Group sehemu mbalimbali za dunia. Unawaona wanamualika Putin kwa mapokezi ya kihistoria. Wagner Group wameiheshimisha sana urusi.
 
Hahahaaa!! Eti mwanaume wakati anakodi NDONDO
 
Ficha ujinga wako basi... Hata kama unapenda mambo ya upinde na kupinda usipitilize hivyo. Facts ni
1) Vita vya Libya vilipiganwa mwaka 2011 na Wagner group limeanzishwa mwaka 2014
2) Ghadaf ametolewa madarani wakati Putin sio rais wa Urusi, angewanyoosha wanaupinde na hamna kitu mnaweza fanya kama anavyowanyoosha huko Ukraine. Ukraine kila siku anapigwa mabomu, lakin huwezi kusikia mashoga wa NATO waliojaa huko Ukraine wakarusha bomu likaangukia Moscow likaua watu.. wanajua kitakachofata ni kushikishwa ukuta
 
Vipi Ukraine naye akiamua kutoa oda ya askari Wagner Group, itakuwaje? Maana umesema hawana mafungamano na serikali ya Russia wao ni mshiko tu then wanatoa ulinzi na military actions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…