mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Intermittent explosive disorder ! IED !Inaonekana una stress za maisha, mtu yoyote mnapojadili kitu akakimbilia kutukana lazima atakuwa na matatizo kichwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Intermittent explosive disorder ! IED !Inaonekana una stress za maisha, mtu yoyote mnapojadili kitu akakimbilia kutukana lazima atakuwa na matatizo kichwani.
Siwezi kuendelea kulishangaa wazo lako hilo.Uliwahi kutueleza kwamba Waarabu hawajawahi kumchukua mtu yoyote akawa mtumwa.Nani alikudanganya kulikuwa na ukabila na ukanda kabla ya kuja Nyerere?
Unakosaje stress kwenye nchi ambayo hata bandari imeuzwa?? Wewe kama ni mnufaika wa ufisadi na wizi endelea kutokuwa na stress. Lkn utakufa tu. Jinga kabisa.Inaonekana una stress za maisha, mtu yoyote mnapojadili kitu akakimbilia kutukana lazima atakuwa na matatizo kichwani.
Jinga wewe ambaye ni sexlessUnakosaje stress kwenye nchi ambayo hata bandari imeuzwa?? Wewe kama ni mnufaika wa ufisadi na wizi endelea kutokuwa na stress. Lkn utakufa tu. Jinga kabisa.
Kuna juhudi zilofanywa na mwalimu kueneza kiswahili na kuyaungqnisha makabila 125. Haikutokea kama ndoto tu.Nani alikudanganya kulikuwa na ukabila na ukanda kabla ya kuja Nyerere?
Kwa kuandika maneno ya kiingereza unadhani ndiyo hoja yako itaonekana bora? Umeandika matope tu.Intermittent explosive disorder ! IED !
Umevimbiwa Maharage kiasi cha kuufanya ubongo wako usifabye kazi tena. Unawaza kwenda chooni tu. Angalia usije kujamba mbele za watu.Huna adabu. Huna adabu.
Huna adabu. Huna adabu.
Jamii forums kenge kama huyu wa nini humu?
Huu ni mtazamo finyu kutoka kwako mtoa mada japo una uhuru wa kutoa maoni.Nyerere alifanya jambo moja tu zuri ktk taifa hili, nalo ni kuondoa ukabila na ukanda, hivyo kuwafanya watanzania kuwa wamoja. Lakini mengine yote alikosea.
Hivyo kuendelea kumuenzi mwalimu Nyerere ni sawa na kusema tuendelee kuyakumbatia mabaya yake yote. Ambayo ni:-
1. Muungano.
Lengo lilikuwa zuri lakini aina ya muungano ndiyo tatizo. Huu muungano wetu umejaa utata mtupu. Haueleweki, hauelezeki na hautekelezeki lakini tumeukumbatia tu ili kumuenzi mwalimu.
2. Katiba yetu.
Katiba yetu ya Sasa iliundwa enzi za Nyerere 1977. Ktk katiba hii Nyerere alijitwika mamlaka na madaraka yote ya nchi. Kwa katiba hii rais yuko juu ya katiba. Sasa tukiendelea kumuenzi Nyerere maana yake tuendelee na hii katiba. Kwasabb tukiibalisha hata muungano utabadilka.
3. Mwenge.
Hiki kitu hakuna mwenye majibu ya nia, malengo, na umuhimu wake. Lakini kila mwaka mabilioni ya shilingi yanateketezwa ili kuuzungusha nchi nzima. Tunamuenzi Nyerere.
4. Ujamaa.
Wajuvi wanasema watanzania hawajitumi na hawana uthubutu ktk utafutaji kwasabb ya haka kaugonjwa ka ujamaa. Watu wengi wamebweteka kwasabb wanajua watasaidiwa na majirani , ndugu na jamaa. Mifano:-
*Huandai fedha ya harusi/sendoff kwasababu unajua utachangiwa.
*Huandai fedha ya jeneza na mahala pa kuzikiwa kwasbb unajua utachangiwa.
*Watu wengi wamejiunga na vikundi vya kijamii (vikoba, kwaya, jumuiya, soka legends, makanisa, jogging, misikiti, n.k) vinavyowapotezea muda
mwingi ili tu wakipatwa na shida wasaidiwe na vikundi hivyo.
My take: Hii siku ifutwe. Kumbukumbu za Nyerere ziwekwe makumbusho ya taifa huko. Ili tuweze kutekeleza fikra mbadala.
Kisahili kakikuta hata yeye alipoytoka kwao Kiswahili alikuwa anakijuwa, au alikuja Dar Kiswahili hakijuwi?Kuna juhudi zilofanywa na mwalimu kueneza kiswahili na kuyaungqnisha makabila 125. Haikutokea kama ndoto tu.
Kweli kabisa hilo, walinunuwa watumwa kutoka kwa machifu waliokuwa wanuza watu wao.Siwezi kuendelea kulishangaa wazo lako hilo.Uliwahi kutueleza kwamba Waarabu hawajawahi kumchukua mtu yoyote akawa mtumwa.
Ulitaka iweje?Wameichafua siku hii kuchanganya na mataputapu mengine
Naunga Mkono hojaNyerere alifanya jambo moja tu zuri ktk taifa hili, nalo ni kuondoa ukabila na ukanda, hivyo kuwafanya watanzania kuwa wamoja. Lakini mengine yote alikosea.
Hivyo kuendelea kumuenzi mwalimu Nyerere ni sawa na kusema tuendelee kuyakumbatia mabaya yake yote. Ambayo ni:-
1. Muungano.
Lengo lilikuwa zuri lakini aina ya muungano ndiyo tatizo. Huu muungano wetu umejaa utata mtupu. Haueleweki, hauelezeki na hautekelezeki lakini tumeukumbatia tu ili kumuenzi mwalimu.
2. Katiba yetu.
Katiba yetu ya Sasa iliundwa enzi za Nyerere 1977. Ktk katiba hii Nyerere alijitwika mamlaka na madaraka yote ya nchi. Kwa katiba hii rais yuko juu ya katiba. Sasa tukiendelea kumuenzi Nyerere maana yake tuendelee na hii katiba. Kwasabb tukiibalisha hata muungano utabadilka.
3. Mwenge.
Hiki kitu hakuna mwenye majibu ya nia, malengo, na umuhimu wake. Lakini kila mwaka mabilioni ya shilingi yanateketezwa ili kuuzungusha nchi nzima. Tunamuenzi Nyerere.
4. Ujamaa.
Wajuvi wanasema watanzania hawajitumi na hawana uthubutu ktk utafutaji kwasabb ya haka kaugonjwa ka ujamaa. Watu wengi wamebweteka kwasabb wanajua watasaidiwa na majirani , ndugu na jamaa. Mifano:-
*Huandai fedha ya harusi/sendoff kwasababu unajua utachangiwa.
*Huandai fedha ya jeneza na mahala pa kuzikiwa kwasbb unajua utachangiwa.
*Watu wengi wamejiunga na vikundi vya kijamii (vikoba, kwaya, jumuiya, soka legends, makanisa, jogging, misikiti, n.k) vinavyowapotezea muda
mwingi ili tu wakipatwa na shida wasaidiwe na vikundi hivyo.
My take: Hii siku ifutwe. Kumbukumbu za Nyerere ziwekwe makumbusho ya taifa huko. Ili tuweze kutekeleza fikra mbadala.
Kukosa human resources ndo atuachie likatiba linalomtukuza!?Kuwa na Heshima...Mwl hakuwa na human resources za kutosha akianza kazi.
Sio kweni ni kawaida ya Madikteta wa Kiafrika kuwaweka watu wa maeneo yao kwenye Jeshi na Ukuu wa JeshiWengine waliogopa kufa.😀
Hivi unajua kwamba "Wakurya" walitaka kufanya mapinduzi/uasi na kuanzisha dola/nchi yao wakati huohuo wa Nyerere?Sio kweni ni kawaida ya Madikteta wa Kiafrika kuwaweka watu wa maeneo yao kwenye Jeshi na Ukuu wa Jeshi
Magufuli pia alimuweka Msukuma mwenzake.
Sijawahi kusikia ila nilisikia Wachaga kutaka kuanzisha Chaga RepublicHivi unajua kwamba "Wakurya" walitaka kufanya mapinduzi/uasi na kuanzisha dola/nchi yao wakati huohuo wa Nyerere?
Basi,kujifunza hakuishi.Sijawahi kusikia ila nilisikia Wachaga kutaka kuanzisha Chaga Republic