Tuifute Nyerere day ili nchi ipate mabadiliko ya kweli ya kiuchumi na kisiasa

Kuendelea kumlaumu JKN mtu aliyeondoka madarakani zaidi ya miaka 35 iliyopita ni proof watanganyika wanan uwezo finyu wa kufikiri na kutafuta matatizo yao. Mlitaka JKN asolve matatizo yenu ya miaka yote ya mbeleni ili nyie mfanye nini? Waliomfuata walifanya nini? Tuseme alikosea sana hao wengine wameshindwa kurekebisha? This speaks volume about us than him.
 
Una matatizo ya kiakili nenda mirembe
 
Nchi inaongozwa na waliokuwepo wakati wa uongozi wa Nyerere ama walikuwa sehemu ya uongozi wa Nyerere:- Mwinyi (1925), Mkapa (1938), Kikwete (1950, Magufuli (1959), Samia (1960,). Kwahiyo vichwani mwao kumejaa fikra na mitazamo ya Nyerere tu.

Hata baadhi ya wasaidizi wa Nyerere bado wako ofisini hadi leo:- Mkuchika yupo, Wasira amekuwemo mpk awamu ya Kikwete. Unategemea nn?

Hao vijana unaowasema hawana sauti wala maamuzi. Kazi yao ni kuendesha bodaboda na bajaji tu. Hata taarifa za habari hawaangalii kwasabb ya kukosa muda ama kukosa TV.
 
Hivi unajua kwamba siasa ni Imani kama ilivyo Imani ya dini? Unadhani ni nini kinazuia katiba kubadilisha?

Hao walioko madarakani wanaona kuibadili katiba ni sawa na kwenda kinyume na Imani zao!
 
Hivi unajua kwamba siasa ni Imani kama ilivyo Imani ya dini? Unadhani ni nini kinazuia katiba kubadilisha?

Hao walioko madarakani wanaona kuibadili katiba ni sawa na kwenda kinyume na Imani zao!

Kwahiyo Hapo kosa ni la Nyerere au hao wasio na guts za kufanya mabadiliko? Nani aliwaweka hapo kwanza in the first place?
 
Bibi acha ulimbukeni,wasukuma na wamasai walikua na uadui mkubwa sana wa kuibiana mifugo na kuuana huo ni mfano tu. Huwezi dharau juhudi za JKN kuliunganisha taifa hili. Utakua ni mpumbafu na mwenye chuki binafsi.
 
Kwani wameacha lini?

Umelala?
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…