Tuige hii desturi ya wachaga

Kwa hiyo magerezani wamejaa wachaga?kwa hiyo hosptal zote zimejaa mazezeta?Kwa nini na wewe usitumie hiyo mbinu!!?Hebu tuache kuwa na akili za samaki wanaofugwa kwenye chupa!!

Big up Chagaz kama mna uchawi mnatumia na unasaidia kuwafanya watoto kupata elimu, kuleta maendeleo kwa familia na kwa nchi kwa ujumla, kufanya kazi kwa bidii na kuwajengea watoto uwezo wa akili za kimaisha za kujitegemea, kunywa kwa ustaarabu kusikoathiri malengo na jamii inayokuzunguka, kukamata mashamba na kuanzisha biashara mbalimbali popote mnapotia timu. Mnastahili pongezi na kuigwa Mungu awazidishe milele aliye na sikio na asikie na aliye na jicho na aone
 
Andiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.
Unadalili ya homa ya dengue wewe,nenda kapime kabla mambo hayajaharibika.
 


Umesahau..generally ni wazinzi wezi na walevi kipita maelezo
 

una hakika na ulichokisema? Tupe ushahidi,..
 
Mim sio mchaga ila nimeoa uchagani.Acha ukweli usemwe,WACHAGA kama walivyo binadamu wanakasoro zao.Kwa uzoefu wangu wa kusoma na kufanya kazi na wachaga kuna mengi ya kujifunza kutoka kwao badala ya kuangalia kasoro. Wachaga ni washirika(marafiki wazuri) na tushukuru mungu mtandao wao ungekuwa ni wa kihaya Nchi hii ingekuwa ni sehemu mbaya kuishi.
 
Wanaaowasema wachaga vibaya wana wivu. Mimi ni shemeji kwa pande moja ya wachaga. Kimandeleo sijutii. Mnawaita wezi, niwaulize wale majambazi wa mabenki wachaga wako wangapi? Fanyeni kazi acheni wivu. Wewe goi goi unaoa kabila goigoi unategemea miujiza? Mke wangu wakati tuna watoto wadogo alikuwa anaamka saa 9 kuhakikisha watoto wanapata b/fast njema na kulisha mifugo aina tatu kabla haachia wafanyakazi hasa kuangalia kama kuna tatizo na anawahi ofisini. Mwishowe nami nikafuata nyayo. Leo hii mifugo tulitupa mbali tuko kwingine kabisa. Eti wachaga wezi!!! Asanteni wazee wangu Elibariki na Ndeonasia kwa kunizalia maendeleo, mke na mama. Wachaga hoyeeee
 
Andiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.

kijana fanya kazi acha ujinga bado unaamini kuna mganga anaweza kukupa utajiri? kama yupo kwa nini na wewe usimfuate akupe?? chapa kazi penda kujituma.
 

Shikamoo mkuu, nami nilipiga mshale huko huko uchagani na nilipania. Sijutiii kabia!!! Halafu kwa wanasaidiana kila mwanafamilia anajitegemea uzuri tu!!! Hakuna eti cha binamu nipe sijui hela. Yaani kule kwetu aibu tupu sema nami niliiga wachaga nikajitahidi.
 
Mleta mada kuna baadhi ya mambo inabidi uyafafanue. Ilikuaje ukae Arusha (wala sio Moshi) tena kwa wiki mbili tuu ukabaini hayo yote kuhusu wachagga hadi mambo ya urithi??

Kuhusu biashara, kweli wanafanya sana ila kwa kadri watu wanavyoamka, biashara inazidi kuwa uwanja wa wote. Hilo la elimu ni sahihi sana. Japo si kabila walilosoma sana, fananisha na wahaya, ila imewatoa sana hiyo elimu kwani wengi huwa wanatafuta ujuzi zaidi ya ile ya darasani. Wamejaa sana kwenye kuchomelea, uashi, useremala, n.k.

Hilo la watoto wenye utaahira (na mapungufu mengine kimwili) ni ukweli mchungu. Hii inatokana na ile tabia yao kama ya waarabu/wahindi kuoana wao kwa wao tena wa koo/familia za karibu. Wahindi/waarabu nao wanashutumiwa sana kugeuza ndondocha watoto/ndugu. Nadhani kuna haja ya wachagga kuoa zaidi makabila mengine au kwenda koo za mbali zaidi mfn. Mmarangu kuoa Mkibosho kuondoa hilo tatizo. Ni kubwa kuliko wengi wanavyoweza kukiri hapa japo si kwamba ni kila familia kama bandiko moja huko nyuma linavyotanabaisha!!

Ila kiukweli wanawake wengi wa kimachame majanga+. Hata kabila zingine za wachagga wenzao wanawadis! Hopefully waliozaliwa mijini, walioelimika na wa humu JF watabadilika.
 

Ahsante umemaliza shemeji yangu..mwenye masikio na asikie.
 
Ha haa najisifu kuwa mchaga..mwenzenu ashasema hataki mwanamke wa kitanga jioni moja kanga anataka manka wa kichaga jioni anamuuliza ameingizaga shi ngap?? hamuelewi tu??
 
Uzuri wa kabila letu tunajua kutafuta hela hata tukiwa wadogo hatutegemei elimu ya darasani japo nayo tumejaliwa.
BIG UP CHAGGAS!
 
Uzuri wa kabila letu tunajua kutafuta hela hata tukiwa wadogo hatutegemei elimu ya darasani japo nayo tumejaliwa.
BIG UP CHAGGAS!

habari yako manka,..
 
Ni ajabu na ni upeo mdogo sana mtu kujisifia kabila lako. Huna mchango wowote kuwa kabila ulilomo. Bali ulivyo kimatendo, kimali, kiupeo, n.k. ndio unavyoweza kujitanabaisha navyo. Mambo kama haya yanasabisha watu wengi wanaishi katika ufukara kwa imani kabila lao ndio walivyo...

Hii ni sawa na wale wengine wanaosema wabongo IQ ndogo, wabongo wavivu, wabongo blah blah blah... Stereotyping ni mbaya sana na maeneo mengine, imesababisha mauaji ya kimbari kisa tu, wa mbari fulani wanadhani wana haki zaidi ya wengine. Eti wahehe wanjinyongaga! Ina maana kabla ya Mkwawa hilo kabila halikuwepo?

Let us absolve ourselves of such low levels of thinking!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…