Tuige hii desturi ya wachaga

Tuige hii desturi ya wachaga

Kwa hiyo magerezani wamejaa wachaga?kwa hiyo hosptal zote zimejaa mazezeta?Kwa nini na wewe usitumie hiyo mbinu!!?Hebu tuache kuwa na akili za samaki wanaofugwa kwenye chupa!!

Big up Chagaz kama mna uchawi mnatumia na unasaidia kuwafanya watoto kupata elimu, kuleta maendeleo kwa familia na kwa nchi kwa ujumla, kufanya kazi kwa bidii na kuwajengea watoto uwezo wa akili za kimaisha za kujitegemea, kunywa kwa ustaarabu kusikoathiri malengo na jamii inayokuzunguka, kukamata mashamba na kuanzisha biashara mbalimbali popote mnapotia timu. Mnastahili pongezi na kuigwa Mungu awazidishe milele aliye na sikio na asikie na aliye na jicho na aone
 
Andiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.
Unadalili ya homa ya dengue wewe,nenda kapime kabla mambo hayajaharibika.
 
Hakuna ubishi kuwa kuna mambo yanayofanywa na wachagga ambayo yanapaswa kuigwa na vivyo hivyo kuna mambo ambayo hayapaswi kuigwa. Ya kuigwa ni kama;

  • Kurithisha watoto Elimu bora popote inapopatikana,
  • Kutafuta fedha na usitawi,
  • Kujenga nyumba vijijini watokako,
  • Kukumbuka vijijini mara moja kwa mwaka,
  • Kushirikiana katika ujasiriamali wa biashara,
  • Kudumisha mila kwa kuoa mke/wake wa kichagga au wenye mchanganyiko(root) wa kichagga n.k.
Hii inaweza kuwa imesababishwa na 'kupendelewa' na wakoloni huko mwanzo-mfumo kristo??

Yasiyofaa kuigwa na yanayofanywa na baadhi yao:

  • Kufadhili/kufanya uharamia/ujambazi
  • Kufanya ufisadi nafasi inapotokea,
  • Kusafisha hela haramu,
  • Kuzima/kupiga wengine pale fursa inapotokeza,
  • Kuuwa/kusababisha mauaji pale inapobidi,
  • Ubaguzi?? wa wasio Wachagga??- (I stand to be corrected..)

Hahaha...unajua wachaga tupo wengi na tumegawanyika kutokana na sehemu tunazotokea..marangu..usomi saana,ubishoo na usistaduu,kazi ni kama kawa sema maringo hata mnyambo wa karagwe hafikii hapa,machame...wasomi pia..wapambanaji...ubabe saana na wanawake wakorofi korofi..biashara na wizi kiasi..kibosho...biashara..ukorofi haswa wanaume na wizi...wapambanaji sana...rombo...biashara...wapambanaji kuliko wachaga wengi..wizi....na ushirikina..kuna kituo kabisa kinaitwa KCMC...sio hospitali..ni kwa African chemist!...wa siha...wastaarabu sana,wapambanaji na hawana makuuu...wa uru..washamba..chapa kazi..wasomi..wizi...mchanganiko wa tabia hizi hubeba jina la wachaga kwa ujumla...sisi tunajuana wenyewe kwa wenyewe na ni ngumu ku generalise koz hata civililisation ya uchagani ilianzia sehemu flan na ikaishia sehem flani....kwa mfano uchagani kote nilikopita..mganga wa kienyeji nilimuona rombo tu...sijajua uru na siha vp..lakin marangu,machame,kibosho sijaona kabiisa..

Umesahau..generally ni wazinzi wezi na walevi kipita maelezo
 
Pale Moshi mjini kulikua na duka mwenye duka aliwapa masharti wauzaji wake kwamba isizidi saa tatu usiku duka liwe limefungwa,na ni marufuku kufungua hata kukiwa na mteja wa bilion wasifungue.
Sasa siku moja vijana walifunga duka wakasahau ufunguo wa nyumbani dukani ikawabidi warudi kufungua na ilishafika kama saa tatu na Nusu usiku.
Walipofungua tu walichokishuhudia dukani ni balaa.
Walimkuta mama wa yule tajiri wao ambae alikufa kama miaka 7 nyuma yupo zezeta dukani.
Kilichotokea baada ya hapo jamaa alifilisika mpaka chupi.
WACHAGA? Nyie waoneni hivyo hivyo tu.

una hakika na ulichokisema? Tupe ushahidi,..
 
Mim sio mchaga ila nimeoa uchagani.Acha ukweli usemwe,WACHAGA kama walivyo binadamu wanakasoro zao.Kwa uzoefu wangu wa kusoma na kufanya kazi na wachaga kuna mengi ya kujifunza kutoka kwao badala ya kuangalia kasoro. Wachaga ni washirika(marafiki wazuri) na tushukuru mungu mtandao wao ungekuwa ni wa kihaya Nchi hii ingekuwa ni sehemu mbaya kuishi.
 
Wanaaowasema wachaga vibaya wana wivu. Mimi ni shemeji kwa pande moja ya wachaga. Kimandeleo sijutii. Mnawaita wezi, niwaulize wale majambazi wa mabenki wachaga wako wangapi? Fanyeni kazi acheni wivu. Wewe goi goi unaoa kabila goigoi unategemea miujiza? Mke wangu wakati tuna watoto wadogo alikuwa anaamka saa 9 kuhakikisha watoto wanapata b/fast njema na kulisha mifugo aina tatu kabla haachia wafanyakazi hasa kuangalia kama kuna tatizo na anawahi ofisini. Mwishowe nami nikafuata nyayo. Leo hii mifugo tulitupa mbali tuko kwingine kabisa. Eti wachaga wezi!!! Asanteni wazee wangu Elibariki na Ndeonasia kwa kunizalia maendeleo, mke na mama. Wachaga hoyeeee
 
Andiko reeefu kumbe pumba tupu,
wewe wachaga huwajui unawasikia tu.
Wachaga ni wezi
wachaga majambazi
wachaga washirikina,hayo mabiashara yao ni uchawi mtupu.
NENDA kule kwao Romba kila nyumba kuna mtoto taahira ndani.

kijana fanya kazi acha ujinga bado unaamini kuna mganga anaweza kukupa utajiri? kama yupo kwa nini na wewe usimfuate akupe?? chapa kazi penda kujituma.
 
Mim sio mchaga ila nimeoa uchagani.Acha ukweli usemwe,WACHAGA kama walivyo binadamu wanakasoro zao.Kwa uzoefu wangu wa kusoma na kufanya kazi na wachaga kuna mengi ya kujifunza kutoka kwao badala ya kuangalia kasoro. Wachaga ni washirika(marafiki wazuri) na tushukuru mungu mtandao wao ungekuwa ni wa kihaya Nchi hii ingekuwa ni sehemu mbaya kuishi.

Shikamoo mkuu, nami nilipiga mshale huko huko uchagani na nilipania. Sijutiii kabia!!! Halafu kwa wanasaidiana kila mwanafamilia anajitegemea uzuri tu!!! Hakuna eti cha binamu nipe sijui hela. Yaani kule kwetu aibu tupu sema nami niliiga wachaga nikajitahidi.
 
Mleta mada kuna baadhi ya mambo inabidi uyafafanue. Ilikuaje ukae Arusha (wala sio Moshi) tena kwa wiki mbili tuu ukabaini hayo yote kuhusu wachagga hadi mambo ya urithi??

Kuhusu biashara, kweli wanafanya sana ila kwa kadri watu wanavyoamka, biashara inazidi kuwa uwanja wa wote. Hilo la elimu ni sahihi sana. Japo si kabila walilosoma sana, fananisha na wahaya, ila imewatoa sana hiyo elimu kwani wengi huwa wanatafuta ujuzi zaidi ya ile ya darasani. Wamejaa sana kwenye kuchomelea, uashi, useremala, n.k.

Hilo la watoto wenye utaahira (na mapungufu mengine kimwili) ni ukweli mchungu. Hii inatokana na ile tabia yao kama ya waarabu/wahindi kuoana wao kwa wao tena wa koo/familia za karibu. Wahindi/waarabu nao wanashutumiwa sana kugeuza ndondocha watoto/ndugu. Nadhani kuna haja ya wachagga kuoa zaidi makabila mengine au kwenda koo za mbali zaidi mfn. Mmarangu kuoa Mkibosho kuondoa hilo tatizo. Ni kubwa kuliko wengi wanavyoweza kukiri hapa japo si kwamba ni kila familia kama bandiko moja huko nyuma linavyotanabaisha!!

Ila kiukweli wanawake wengi wa kimachame majanga+. Hata kabila zingine za wachagga wenzao wanawadis! Hopefully waliozaliwa mijini, walioelimika na wa humu JF watabadilika.
 
Wanaaowasema wachaga vibaya
wana wivu. Mimi ni shemeji kwa pande moja ya wachaga. Kimandeleo
sijutii. Mnawaita wezi, niwaulize wale majambazi wa mabenki wachaga wako
wangapi? Fanyeni kazi acheni wivu. Wewe goi goi unaoa kabila goigoi
unategemea miujiza? Mke wangu wakati tuna watoto wadogo alikuwa anaamka
saa 9 kuhakikisha watoto wanapata b/fast njema na kulisha mifugo aina
tatu kabla haachia wafanyakazi hasa kuangalia kama kuna tatizo na
anawahi ofisini. Mwishowe nami nikafuata nyayo. Leo hii mifugo tulitupa
mbali tuko kwingine kabisa. Eti wachaga wezi!!! Asanteni wazee wangu
Elibariki na Ndeonasia kwa kunizalia maendeleo, mke na mama. Wachaga
hoyeeee

Ahsante umemaliza shemeji yangu..mwenye masikio na asikie.
 
Ha haa najisifu kuwa mchaga..mwenzenu ashasema hataki mwanamke wa kitanga jioni moja kanga anataka manka wa kichaga jioni anamuuliza ameingizaga shi ngap?? hamuelewi tu??
 
Uzuri wa kabila letu tunajua kutafuta hela hata tukiwa wadogo hatutegemei elimu ya darasani japo nayo tumejaliwa.
BIG UP CHAGGAS!
 
Ni ajabu na ni upeo mdogo sana mtu kujisifia kabila lako. Huna mchango wowote kuwa kabila ulilomo. Bali ulivyo kimatendo, kimali, kiupeo, n.k. ndio unavyoweza kujitanabaisha navyo. Mambo kama haya yanasabisha watu wengi wanaishi katika ufukara kwa imani kabila lao ndio walivyo...

Hii ni sawa na wale wengine wanaosema wabongo IQ ndogo, wabongo wavivu, wabongo blah blah blah... Stereotyping ni mbaya sana na maeneo mengine, imesababisha mauaji ya kimbari kisa tu, wa mbari fulani wanadhani wana haki zaidi ya wengine. Eti wahehe wanjinyongaga! Ina maana kabla ya Mkwawa hilo kabila halikuwepo?

Let us absolve ourselves of such low levels of thinking!!
 
Back
Top Bottom