chung cho
Senior Member
- Mar 16, 2014
- 191
- 42
Kwa hiyo magerezani wamejaa wachaga?kwa hiyo hosptal zote zimejaa mazezeta?Kwa nini na wewe usitumie hiyo mbinu!!?Hebu tuache kuwa na akili za samaki wanaofugwa kwenye chupa!!
Big up Chagaz kama mna uchawi mnatumia na unasaidia kuwafanya watoto kupata elimu, kuleta maendeleo kwa familia na kwa nchi kwa ujumla, kufanya kazi kwa bidii na kuwajengea watoto uwezo wa akili za kimaisha za kujitegemea, kunywa kwa ustaarabu kusikoathiri malengo na jamii inayokuzunguka, kukamata mashamba na kuanzisha biashara mbalimbali popote mnapotia timu. Mnastahili pongezi na kuigwa Mungu awazidishe milele aliye na sikio na asikie na aliye na jicho na aone