Tuige Mfumo wa Kifamilia kama Waarabu na Wahindi, Tutafanikiwa kama Familia na Taifa kwa Ujumla

Tuige Mfumo wa Kifamilia kama Waarabu na Wahindi, Tutafanikiwa kama Familia na Taifa kwa Ujumla

Mbona wazungu wamefanikiwa na hawana hizo mambo za

Mbona wazungu wamefanikiwa na hawana hizo mambo za kubaguana?
Sio wazungu wote mkuu
Italians unajua kwanini kwenye Corona walikufa sana
Kwa sababu wanakaa familia yote pamoja mpaka babu unamkuta hapo
Ila waingereza ni tofauti kabisa
Wao wameamua mtoto akifika miaka 18 au kamaliza shule aanze kulipia bills home hataki aanze
Ndio maana hata mirathi hawana Habari nazo
Aliondoka wazee wanaweza kutoa mirathi kwenye Charities wanazozitaka wao
 
Sio wazungu wote mkuu
Italians unajua kwanini kwenye Corona walikufa sana
Kwa sababu wanakaa familia yote pamoja mpaka babu unamkuta hapo
Ila waingereza ni tofauti kabisa
Wao wameamua mtoto akifika miaka 18 au kamaliza shule aanze kulipia bills home hataki aanze
Ndio maana hata mirathi hawana Habari nazo
Aliondoka wazee wanaweza kutoa mirathi kwenye Charities wanazozitaka wao
Huwa nakutana na Mwanamlke
Ndio maana huwa nasisitiza nidhamu kwenye familia
Dini pia zina mchango mkubwa sana katika maisha ya kila siku yaani mambo yote mazuri na mabaya tumefundishwa ila wengi wako mbali sana na maadili

Duniani nchi nyingi sana zinafuata misingi ya Imani hata far east wako hivyo na hata jirani wasomali ni hivyo hivyo
Tatizo la waafrika wengi ni Imani za kishirikina
Unaamini kabisa kuwa Shangazi yako kakuroga ndio maana huna maendeleo seriously
Yaani fala mmoja kijijini anakuzidi akili na kuku unamuachia?

Kama hakuna nidhamu na upendo katika familia hapo lazima umtafute mchawi?
Waswahili wana roho mbaya na matapeli sana
Ndio maana mpaka vijana wanakataa ndoa kisa wanaona mke anaiba kwa mume anapeleka kwao akijua fika hawa watoto wake ndio mali zao hizo anazochuma baba
Heheheee
 
Tuige? Mbona tuko tunafanya hivyo muda mrefu. Ukoo uwe wa watu weusi watupu matokeo yake ndio unapata specie zilizopo bungeni kule
 
Nimeishi kwenye jamii za Hawa watu Takriban miaka 8 sasa. Nimefanya nao kazi za Maofsini na za Nje ya ofisi yaani za kijamii na Uchumi.

Pamoja na changamoto nilizoona ktk familia zao na mfumo mzima wa maisha yao lakini bado kuna nafuu sana ukilinganisha na ya kwetu sisi watu weusi.

Hizi jamii mbili ziko serious sana na Swala la Kifamilia, Ukoo na Generation( geneology).

Hawana masihara hata kidogo na hivyo imepelekea wanafanikiwa kifamilia, kiuchumi na hata mataifa yao.

Hawapendi kuchanganya.
Hawahendekezi hisia bali wanatanguliza Akili.

Muhindi au Mwarabu Babu wa Babu yake amezaliwa Tanzania lakini bado Vitukuu vyake haviko tayari kuchanganya Damu. Ikitokea basi ni bahati mbaya sana kwa upande wao.

Mimi naunga mkono mira na desturi zao

Tufika mahali tuache ujanja ujanja kwenye Mambo Muhimu ya Kifamilia.

Mfano mwingine Israeli kokote unakozaa mtoto lazima apimwe DNA kwanza ujua kama Myahudi.

Kama hauko serious kwenye swala la familia utakuwa serious kwenye Nini?

Wahindi na Warabu wamejizatiti hakuna kuzaa hovyo hovyo na mtu mweusi kwa sababu watu weusi hawajali mstakabali wa Maisha yao.

Kwa Muhindi utaoa au kuolewa tu na yule ambaye familia imeridhia uwe unampenda au humpendi lazima utii Wazazi.

Na kwakweli tunaona wanafanikiwa sana kwenye maswala ya kifamilia na Uchumi Pia.

Kwetu sisi ambao sote ni Weusi na tunaoana sisi kwa sisi bado hatuko serious na vimisemo kama Ktanda hakizai haramu.

Hii ni misemo ya jamii isyozingatia mustakabali wa maisha yao na kuhendekeza uhuni, kuzaa hovyo hovyo na maadili mabovu.
MJINGA SIKU ZOTE HUHANGAIKA SANA AKIDHANI KUA ANA MAPUNGUFU kumbe tatizo ni akili

Waarabu gani wamefanikiwa mkuu
Hukosi kusema UAE,QATAR na saudi waarabu hawa utajili ni mafuta wala si kingine wakipata vihela ndio wanakuja kuwekeza huku kwetu we unadhan labda wameanza kutoka chini.

Plus waarabu wangekua wafanyabiashara wangekua ni matajiri duniani lakini si kweli nenda ulaya au marekani kama utaona muarabu ana biashara kubwa .
Wahindi sawa ni wapambanaji


Sehemu pekee muarabu anatamba ni huku Africa kwa wajinga huku kila mtu akija anatajirika maana wenyeji akili hamna
 
Hivi DNA ya kiyahudi inakuwaje, nimejaribu kuwaza na kuwazua hapa sipati jibu kamili.
Nadhani ana maana, mwanamke akidai huyo ni mwanao (assuming wewe ni Myahudi ) then ndio wanapima DNA ya baba na mtoto.

Back to the story; kwa Waarabu bro umedanganya, waarabu tunapigaga tu, hawana restrictions kiviiile kama Wahindi, kwa Wahindi naelewa sana. Watoto waliozaliwa kwa mama wa Kiafrica majority mama zao walibakwa hasa wakiwa wanafanya kazi huko kwenye majumba yao, huaga pia hawatambuliki kwenye familia zao tofauti na Wayahudi.
Kama kuna kitu tulikikosea Waafrica hasa black people ni kitendo cha kuachana na mila na tamaduni zetu, kwa bongo nawasifu kidogo Wahaya na Wamasai, wao walau wame maintain culture yao hata kama wamesoma. The rest ni shida sana, tazama wahamiaji waliokwenda nje ya mabara yao, weusi wote walibadiri hadi majina yao ya ukoo but Wahindi, na waasia kwa ujumla wao wame maintain majina yao hadi lugha zao. Kina Tyson, P. Diddy hawajui sio tu lugha zao bali hata hawajui wanatoka pande zipi za Africa na hata majina yao ni ya Kizungu from majina hadi ukoo wao, njoo hapa Africa as well, kuvaa kwetu, vyakula vyetu, full uzungu or Uarabu; very interesting. Wenzetu hata wakibadiri dini, say Msaudia akiwa Mkristo still atavaa mavazi yao na kile kilemba chekundu atavaa cause kwao yale mavazi sio ya Kiislam, ni mavazi yao. Hapa kwetu kosea uvae kanzu mwezi wa Ramadhani halafu ukapita say mitaa ya Magomeni na ukaingia hotel kula, Waislam watakushangaa na huenda baadhi wanaweza kukudhuru cause kwao kanzu ni vazi la Kiislam. Ni blacks pakee yake duniani ndio wanaweza kuiba mali na fedha za nchi zao na kwenda kuficha nje ya mabara yao; ngumu sana kwa watu wa race zingine kufanya hivo. Ukiona wamefanya hivo then labda wana mgogoro wa kisiasa, nje ya hapo ni ngumu. Fikiria wakati wa mgogoro wetu wa bandari yetu wakati serikali inawapa DP world, waislamu waliona kama Wakristo eti hawawapendi, nikajiuliza kwani Karamagi wa TICKS ni dini gani? Sio mwislamu yule? Kwamba Wakristo walikua wanamtaka Karamagi (mwislam ) na TICKS yake lakini Waislamu wanamtaka mwarabu na Uislamu wake? Nikagundua, shida sio dini, shida ni kwamba, ukianza kubagua watu kwa dini zao, huwezi kuishia hapo, utaendelea tu. Sorry kwa maandishi yangu marefu
 
Naunga hoja.

WaTZ Wengi wameshaharibikiwa kwenye suala zima la kujenga Familia Bora.

WATZ WENGI HAWANA MISIMIMAMO NA PIA NI WAONGO ONGO SANA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mjanja mmoja umeandika kitu ambacho nimekuwa nikikigusia mara kwa mara Kila ninapokutana na mada kama hii.

Watanzania na waafrika wote kwa ujumla ni jamii dhaifu sana, kwa sababu wamekubali kupoteza tamaduni na asili yao na kuamua kuchukua tamaduni za wazungu na kuona ndio zinafaa.

Mwarabu na muhindi wamestick kwenye tamaduni zao na ndio maana mpaka leo hii Bado Wana family stability... Walichomuiga mzungu wao ni model za kukuza uchumi wao tu basi.

Njoo kwa muafrika Sasa, tumefanya kinyume Chake. Sisi tumeshindwa kumuiga mzungu namna ya kufanya maendeleo, ila tumemuiga tamaduni zake na ndio maana hata matatizo ya kijamii aliyonayo mzungu ndio hayo hayo tunayopitia sisi huku, mzungu mpaka hapa Hana Tena family stability na sisi huku Sasa hivi family stability imeshapotea, tunaishi kwa visasi, kuchukiana na kuachana ovyoo..

Na pia pia vile baada ya mzungu jamii inayofuata kuwa na watu wengi wa LGBTQ ni jamii ya watu weusi.

So tunaweza kuona ni jinsi gani tulivyokuwa ni jamii dhaifu.
 
Back
Top Bottom