Hivi DNA ya kiyahudi inakuwaje, nimejaribu kuwaza na kuwazua hapa sipati jibu kamili.
Nadhani ana maana, mwanamke akidai huyo ni mwanao (assuming wewe ni Myahudi ) then ndio wanapima DNA ya baba na mtoto.
Back to the story; kwa Waarabu bro umedanganya, waarabu tunapigaga tu, hawana restrictions kiviiile kama Wahindi, kwa Wahindi naelewa sana. Watoto waliozaliwa kwa mama wa Kiafrica majority mama zao walibakwa hasa wakiwa wanafanya kazi huko kwenye majumba yao, huaga pia hawatambuliki kwenye familia zao tofauti na Wayahudi.
Kama kuna kitu tulikikosea Waafrica hasa black people ni kitendo cha kuachana na mila na tamaduni zetu, kwa bongo nawasifu kidogo Wahaya na Wamasai, wao walau wame maintain culture yao hata kama wamesoma. The rest ni shida sana, tazama wahamiaji waliokwenda nje ya mabara yao, weusi wote walibadiri hadi majina yao ya ukoo but Wahindi, na waasia kwa ujumla wao wame maintain majina yao hadi lugha zao. Kina Tyson, P. Diddy hawajui sio tu lugha zao bali hata hawajui wanatoka pande zipi za Africa na hata majina yao ni ya Kizungu from majina hadi ukoo wao, njoo hapa Africa as well, kuvaa kwetu, vyakula vyetu, full uzungu or Uarabu; very interesting. Wenzetu hata wakibadiri dini, say Msaudia akiwa Mkristo still atavaa mavazi yao na kile kilemba chekundu atavaa cause kwao yale mavazi sio ya Kiislam, ni mavazi yao. Hapa kwetu kosea uvae kanzu mwezi wa Ramadhani halafu ukapita say mitaa ya Magomeni na ukaingia hotel kula, Waislam watakushangaa na huenda baadhi wanaweza kukudhuru cause kwao kanzu ni vazi la Kiislam. Ni blacks pakee yake duniani ndio wanaweza kuiba mali na fedha za nchi zao na kwenda kuficha nje ya mabara yao; ngumu sana kwa watu wa race zingine kufanya hivo. Ukiona wamefanya hivo then labda wana mgogoro wa kisiasa, nje ya hapo ni ngumu. Fikiria wakati wa mgogoro wetu wa bandari yetu wakati serikali inawapa DP world, waislamu waliona kama Wakristo eti hawawapendi, nikajiuliza kwani Karamagi wa TICKS ni dini gani? Sio mwislamu yule? Kwamba Wakristo walikua wanamtaka Karamagi (mwislam ) na TICKS yake lakini Waislamu wanamtaka mwarabu na Uislamu wake? Nikagundua, shida sio dini, shida ni kwamba, ukianza kubagua watu kwa dini zao, huwezi kuishia hapo, utaendelea tu. Sorry kwa maandishi yangu marefu