Tuijue Katiba: Rais akifia madarakani, basi makamu wake aliyegombea naye akapigiwa kura anarithi. Je, vipi kama makamu hakupigiwa kura?

Ramli ramli ..................vipi bado tu.................???tuandae sepetunga zetu
 
casus omissus
Casus omissus is a Latin term that means "case omitted." It refers to a situation that is not covered by a statute or contract, and therefore, it is governed by case law or new judge-made law

Mrithi wa awamu ya 5 atakatikia njiani maana pembe iliyokatika iliungwa kwa kamba na gundi kisha kiburi kikapanda kwamba pembe imetengemaa bila kutambua kilichoungwa hakiaminiki kufika mwisho wa safari.

Ndege imeshindwa kutua kutoakana na kimbunga Rafaelkimekata nguzo na nyaya za umeme
 
Anayegombea urais hawezi kugombea bila kuwa na mgombea mwenza. Makamu wa rais lazima atakuwa ameisha pigiwa kura
 
Ee Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma, EPUSHIA MBALI mabalaa yote katika taifa letu.
 
Apa nafikili lazima kuwepo serikali ya mda ,na kuitisha uchaguzi mpya ,ngoja wenye sheria zao waje tujifunze
 
Wagalatia na chadema mna kazi, wapika sumu nyie
 
Atakayekuja kichwa kichwa ni mpumbaf.

Hakuna hata mmoja aliyewahi kuwaza jambo hili, hata hili neno 'Rais kupoteza sifa' namna lilivyowekwa bila uzito, ingawa kupoteza sifa ni pamoja na kuwehuka, ama kulambwa impechment, lakini kilicholengwa hasa hapo ni ' Rais kufia madarakani'.

Waliotunga katiba hii kuhusu kufia madarakani, waliona ni jambo gumu lisilowezekana kirahisi,vinginevyo jambo hilo lingeandikwa kwa tafakuri kubwa na kwa uzito.

Sasa kwa mfano leo Mungu akiamua ugomvi, unadhani itakuwaje kweli!

Maana aliyepo ni wa kukamata barabarani tu na siyo mwenza.

Kwa swali hili, hakuna atakayekujibu vya maana zaidi ya kusema 'busara itatumika', maana kwa kweli 'pwenti' hiyo muhimu haipo kwenye 'msahafu'.
 

1. Hiyo habari ya kwamba "...Makamu wa Rais ili arithi kiti cha Urais ni sharti kwanza awe alipigiwa kura za uchaguzi wa pamoja na Rais aliyepo..." umeipata wapi?

2. Soma tena vizuri Ibara ya 37 (5); kisha

3. Soma tena kwa kutulia Ibara ya 50 (1) & (2) (d).

-Kaveli-
 
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Kwani Katiba inatamka Makamu wa Rais aliyepigiwa kura au inatamka Makamu wa Rais tu? Hiyo haijalishi, akidanja ka Makamu kanachukua nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…