Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Casus omissus is a Latin term that means "case omitted." It refers to a situation that is not covered by a statute or contract, and therefore, it is governed by case law or new judge-made lawcasus omissus
Hata mkiwa na awamu 18 na wengi wakiwa ni wazenji sio mbaya.Maswali chokonozi Sana
Mimi nauliza tu miaka 40 ijayo itauwa awamu ya ngapi maana Makamu wakishapata wanabadilisha awamu za uongozi wakati hawajachaguliwa...
Ahahaa....huo ni uchawi sasaNenda kinyume nyume utawaelewa jambo
Kabisa mdau.hahahahaaa! wengine tumeamua kuwa wshindani wa tuzo ya usomaji bora wa koments za watu na kulike tu maana hata mpango wa kuwa wanasheria binafsi haupo na tuna uhakika hata akina Kibatala hawatujui.
Anayegombea urais hawezi kugombea bila kuwa na mgombea mwenza. Makamu wa rais lazima atakuwa ameisha pigiwa kuraKuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Ee Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma, EPUSHIA MBALI mabalaa yote katika taifa letu.Casus omissus is a Latin term that means "case omitted." It refers to a situation that is not covered by a statute or contract, and therefore, it is governed by case law or new judge-made law
Mrithi wa awamu ya 5 atakatikia njiani maana pembe iliyokatika iliungwa kwa kamba na gundi kisha kiburi kikapanda kwamba pembe imetengemaa bila kutambua kilichoungwa hakiaminiki kufika mwisho wa safari.
Ndege imeshindwa kutua kutoakana na kimbunga Rafaelkimekata nguzo na nyaya za umeme
Apa nafikili lazima kuwepo serikali ya mda ,na kuitisha uchaguzi mpya ,ngoja wenye sheria zao waje tujifunzeKuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Wagalatia na chadema mna kazi, wapika sumu nyieKuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
Yaani wamekazana kama vile wao wataishi mileleWagalatia na chadema mna kazi, wapika sumu nyie
Tayari nini Mkuu?Tayari
Maajabu sanaYaani wamekazana kama vile wao wataishi milele
Kinyume nyume tembeaAhahaa....huo ni uchawi sasa
Nikili tu sina hzo D mbili
Kuna Mshangazi kapata Ndoa?Pameanza kuchangamka
View attachment 3148617
Atakayekuja kichwa kichwa ni mpumbaf.Kuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake!
Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?
Swali hili unaweza kuja kichwa kichwa kumbe kuna mambo mengi ndani ya kujifunza.
Naomba mods wasiondoe Uzi huu ni kwa ajili ya mafunzo kujua sheria za utawala na hapo baadae unaweza kufufuliwa miaka tata 40 ijayo kwakuwa maandishi uishi sana.
Britanicca
50.-(1) Isipokuwa kama atajiuzulu au atafariki mapema zaidi,
mtu aliyechaguliwa, au kuteuliwa kwa mujibu wa ibara ya 37(5),
kuwa Makamu wa Rais, bila ya kuathiri masharti mengine ya
ibara hii, atashika kiti cha Makamu wa Rais kwa muda wa miaka
mitano tangu alipochaguliwa kuwa Makamu wa Rais.
(2) Makamu wa Rais atashika kiti hicho hadi-
(a)muda wake utakapokwisha;
(b)akifariki dunia akiwa katika madaraka;
(c)atakapojiuzulu;
(d)atakapoapishwa kuwa Rais baada ya kiti cha Rais
kuwa wazi;
(e)atakapotiwa hatiani kwa kosa lolote la jinai
linaloonyesha utovu wake wa uaminifu;
(f)atakapoapishwa Rais mwingine kushika nafasi ya
Rais pamoja na Makamu wake;
(g)atakapoondolewa madarakani baada ya kushtakiwa
Bungeni kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya
(3) ya ibara hii;
(h)atakapoacha kushika kiti cha Makamu wa Rais
vinginevyo kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.
=========================================
SWALI LA MTOA HOJA NI: Ataapishwa kuwa Rais ktk mazingira gani?
Mathalani kwa huyu aliyepo sasa Dr Philip Isidory Mpango ha - fit kwenye sifa inayotajwa na ibara ya 37 (5) maana hakuwahi kupigiwa kura na Rais huyu aliyepo..?
Hauoni kuwa, katiba haina jibu sahihi kwa scenario hii iwapo itatokea...?
Kwani Katiba inatamka Makamu wa Rais aliyepigiwa kura au inatamka Makamu wa Rais tu? Hiyo haijalishi, akidanja ka Makamu kanachukua nchi!Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi yaaan hakuwa mgombea mwenza, alafu aliyekomadarakani akapoteza sifa za kuwa Rais, nani anaongoza nchi kwa mujibu wa Katiba?