Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
Mkuu, huyu mk24 ni mkenya so kakomenti kitu kizuri tuUnataniwa wewe au waliojimilikisha nchi? Wewe ni mpangaji tu , tuliza mshono bwashee.
Hapo tulipofika tunashukuru tupite tusipite ndio mpiraHao taifa stars shuhuli yao imeshaisha
Tunashukuru ??Hapo tulipofika tunashukuru tupite tusipite ndio mpira
Kumbe ni mkenya😅 nikajua ni kusadikikaMkuu, huyu mk24 ni mkenya so kakomenti kitu kizuri tu
Timu ya Mama yenu, ikishinda anaimbiwa pambio yeye...Tutoke tu hamna namna.I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
Ha ha ha ni utani tu ila ni ombi langu hili kombe libaki EAC maana huwa tunatukanwa sana na watu wa Nigeria na huko Afrika Magharibi.
Nchi yangu ulishindwa, nitaendelea kushabikia timu yoyote ya EAC.