Tuiombee mungu Taifa stars,i vuke salama dhidi ya Morocco! Majirani wanatunanga kweli

Tuiombee mungu Taifa stars,i vuke salama dhidi ya Morocco! Majirani wanatunanga kweli

I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
Wapigwe tu hao kama Simba wakishinda Mo ...wakifungwa lawama kwa Mangungu.... Wakishinda Mama wakifungwa Morroco.... Wapigwe tu...
 
Stats hazitubebi kabisa
1000210296.png
 
Uganda wanapambana sana aisee..
Kenya wanajitoa kabisa uwanjani..ready to die..

Tanzania...😭😭😭😭
Ngoja tuone
 
Ivuke salama kwenda wapi? Hapo ndio mwisho wao na picha zao za chama kimoja uwanjani, na mabango ya kumnadi mtu mmoja na kumtukuza. Hii ndio sababu watu sasa hawaendi uwanjani na wanachukia mpira wa Tz
 
Ha ha ha ni utani tu ila ni ombi langu hili kombe libaki EAC maana huwa tunatukanwa sana na watu wa Nigeria na huko Afrika Magharibi.
Nchi yangu ulishindwa, nitaendelea kushabikia timu yoyote ya EAC.
We nyang'au sisi wenzio tunataka tutolewe halafu wewe unatuombea dua nzuri, HATUTAKI.
 
I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
Na tukiteleza tu basi mwelekeo mzima umepotea. Niswala la kuiandaa timu vyema kabisa hii hatua sio ya kucheza kwa majaribio nikujiandaa na kupambana sana.
 
Na tukiteleza tu basi mwelekeo mzima umepotea. Niswala la kuiandaa timu vyema kabisa hii hatua sio ya kucheza kwa majaribio nikujiandaa na kupambana sana.
Taifa star icheze kufa na kupona the way kenya did!,(strike fast and defence quickly)
 
Back
Top Bottom