Tuiombee mungu Taifa stars,i vuke salama dhidi ya Morocco! Majirani wanatunanga kweli

Taifa stars ni kama England, mdomo mwingi kwenye vyombo vya habar ila kazi ni zero.
hasa kule mbele ukiacha clement haaland mzize.
 
Ha ha ha ni utani tu ila ni ombi langu hili kombe libaki EAC maana huwa tunatukanwa sana na watu wa Nigeria na huko Afrika Magharibi.
Nchi yangu ulishindwa, nitaendelea kushabikia timu yoyote ya EAC.

Hii ndio spirit...

Haiwezekani timu zote tatu, yaani hata moja isibebe kombe...si sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…