ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,154
- 4,184
Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu;
Nakuelewa sana as person and as a woman na unajitahidi sana kufanya kazi ila kwa hili ambalo wanasema Umeruhusu Sasa Madaktari wafanye "Tuition ya Kitabibu" Kwa kweli hiki ni Kituko PRO MAX.
Hata kama lengo ni kututoa kwenye Mjada wa DP world Basii SISI tunahisi Hii ni mbinu ya kutaka KUWAPA DP WORLD Hospitali ZETU pia.Labda Nikuulize;
www.jamiiforums.com

- Hospitali zinapaswa kuwa wazi 24/7 sasa huo muda wa ziada na facilities za ziada za kufanya hiyo TUTION ya KItabibu watautoa wapi?
- Muda wa kazi tu wameelemewa.Nguvu ya Kufanya Tution watatoa wapi
Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa ruhusa rasmi kwa Madaktari nchini walioajiriwa na serikali kufanya kazi Binafsi kwenye Hospitali za serikali baada ya muda wa kazi kuisha. Waziri Ummy ametangaza uamuzi huo leo Mkoani Simiyu, wakati akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa...