Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Habari zenu wakuu.
Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF.
Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari jema.
Ni kawaida kuona kijana wa kiume ana mtaka kimapenzi binti sasa kulingana na hali ya maisha ya kijana wa kiume anaamua kufake life ili akubalike. Brothers tunajikomoa wenyewe.
Vile vile kwa wadada nao akipata kijana wa kiume anaemtaka anaanza kumgeuza kitega uchumi chake ili apate hela za kuishi maisha yake ya maigizo😜😜😜.
Malalamiko mengi siku hizi ni ya vijana wakiume wakidai wadada wanapenda saana hela na wadada nao wanalalamika wanaume hawajatulia. Hivi watatuliaje ikiwa mnawauzia upendo wenu.
Pesa ikiwa mbele ya utu kuaminiana na kuvumiliana ni kidogo mno. Ila tusiache kuitafuta pesa maana ni suluhisho la mengi😂😂😂.
Dada unaependa hela ujue kuzitafuta sio kutichuna na kaka unaependa wadada wazuri ujue kutulia na huyo mzuri ukimpata.