Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

Ujue kuna jamaa yangu kitaa kaniomba smartphone aende nayo weekend kwa demu wake hahahah nikaona niandike haka kauzi daah haya maisha haya Mungu mwenyewe anajua
Bora usingempa hiyo simu ukamchana ukweli kuliko kuja kumsimanga huku Jf
 
Kwa sababu wao wanacho angalia ni hela na wakisha gundua kuwa hauna hela wana kukataa.Kwanini usi fake kusudi ukubaliwe???
 
Sio utanibadilikia sema nikubadilishe sahivi huo mdomo niutoe meno,nikudunde hadi make up idondoke ubaki ukiwa chausiku na sio chakorii..😎😊
Kichwa chako kibovu.
Labda meno makeup huko nitoe maana si mahali pangu
 
Ujue kuna jamaa yangu kitaa kaniomba smartphone aende nayo weekend kwa demu wake hahahah nikaona niandike haka kauzi daah haya maisha haya Mungu mwenyewe anajua
Hapo akisha maliza yake ana kurudishia,Life linaendelea kama kawaida.Shida sio ku fake shida ni hawa viumbe ndo vinafanya u fake.Ukiwa real humpati[emoji28]
 
Hapo akisha maliza yake ana kurudishia,Life linaendelea kama kawaida.Shida sio ku fake shida ni hawa viumbe ndo vinafanya u fake.Ukiwa real humpati[emoji28]
Tupambane tuwe sisi katika mafanikio yetu na sio tuwe wale kimuonekano alafu kiuhalisia hali tete
 
Bora usingempa hiyo simu ukamchana ukweli kuliko kuja kumsimanga huku Jf
Bora hiyo simu ampe,Sema amwambie awe makini asije aka ihonga.Kwa sababu mademu wamezidi.Ukienda ukiwa real ana kuchomolea mchana kweupe.Bora kufake tu umpate kisha kila mtu ashike 50 zake.Ukweli utajulikana badaee.
 
Noma noma
 
Tupambane tuwe sisi katika mafanikio yetu na sio tuwe wale kimuonekano alafu kiuhalisia hali tete
Ukiona umeamka mzima,ujue mapambano yanaendelea.Lakini siyo kigezo cha ku to kufake kwenye swala la mademu.Mademu usipo fake utaishia kula mizoga[emoji1787]
 
Habari zenu wakuu.

Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF.

Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari jema.

Ni kawaida kuona kijana wa kiume ana mtaka kimapenzi binti sasa kulingana na hali ya maisha ya kijana wa kiume anaamua kufake life ili akubalike. Brothers tunajikomoa wenyewe. Vile vile kwa wadada nao akipata kijana wa kiume anaemtaka anaanza kumgeuza kitega uchumi chake ili apate hela za kuishi maisha yake ya maigizo[emoji12][emoji12][emoji12].

Malalamiko mengi siku hizi ni ya vijana wakiume wakidai wadada wanapenda saana hela na wadada nao wanalalamika wanaume hawajatulia. Hivi watatuliaje ikiwa mnawauzia upendo wenu.

Pesa ikiwa mbele ya utu kuaminiana na kuvumiliana ni kidogo mno. Ila tusiache kuitafuta pesa maana ni suluhisho la mengi[emoji23][emoji23][emoji23].

Dada unaependa hela ujue kuzitafuta sio kutichuna na kaka unaependa wadada wazuri ujue kutulia na huyo mzuri ukimpata.
"70% of African women life style is pretence" kwasbb wengi wamelelewa from humble background na wako tayari kukubaliana na huo ukweli.
 
Tupambane tuwe sisi katika mafanikio yetu na sio tuwe wale kimuonekano alafu kiuhalisia hali tete
Yani hata kama ukipambana ukawa na mafanikio makubwaa na wao lazima wata fake love kwako Kwa sababu ya mafanikio Yako.Watakuita majina Yote ya mapenzi,Watakwambia wewe ni handsome,Wewe ni unique Yote Kwa sababu ya mafanikio Yako lakini sio kwamba watakuwa real.

Ku fake lazima bro![emoji1787] Weee...
 
Back
Top Bottom