Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Mazingira magumuMazingira yapi tena jaman!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazingira magumuMazingira yapi tena jaman!?
Hii dunia si yetuBora hiyo simu ampe,Sema amwambie awe makini asije aka ihonga.Kwa sababu mademu wamezidi.Ukienda ukiwa real ana kuchomolea mchana kweupe.Bora kufake tu umpate kisha kila mtu ashike 50 zake.Ukweli utajulikana badaee.
Maisha yenyewe maigizo tuHii dunia si yetu
Sawa ila mwanaume ku fake life ubajiumiza nduguYani hata kama ukipambana ukawa na mafanikio makubwaa na wao lazima wata fake love kwako Kwa sababu ya mafanikio Yako.Watakuita majina Yote ya mapenzi,Watakwambia wewe ni handsome,Wewe ni unique Yote Kwa sababu ya mafanikio Yako lakini sio kwamba watakuwa real.
Ku fake lazima bro![emoji1787] Weee...
Hahah kuna uongo ule wakumvuta ajae na kuna ile kujiumiza kwa kufake mambo.Kwanza hata wao wanapenda kudanganywa.Uki wambia ukweli wanakuona ni mwanaume ambae hajakamilika .
Sasa wewe wambie ukweli uone.Utakula jeuri yako[emoji28] ya kuwambia ukweli.
Ayo mazingira magumu yanatakiwa yakujenge sio kukuongezea hali ngumu zaidi. Ukifake tengemea kupata fake pia.Mazingira magumu
Ungeteka jeshi hapo. Umzunguke mwana na demu ungejilia hapo hapo kwa ndinga lakoKuna jamaa yangu ofisn huwa nampa ndinga yangu hasa mchana lunch huwa anakuja kwa droo anachukua key anaenda lunch,
Kumbe ana dem huwa anamchukua wanatoka wote ni ofis jirani, sasa kuna siku nimeingia zangu kwa gari ghafula naona mtu ananigongea kushusha kioo naona mrembo nikamwambia mambo akanambia sorry nilijua Xx najua hii ni gari yake.
Akaniuliza kwani yeye yuko wapi??nataka anipe lift ikabd nifiche aibu nikamwambia leo katoka anakazi HQ atachelewa rudi. Nikambeba bhs njian dem anaongea X anakuamini sana yani anakupa mpaka gari nyie ni marafiki Jamaa alishamwambia dem kwamba gari yake asee noma sana[emoji28][emoji28].
Nikamwambia ndio tunaaminiana nikamwambia mbna sikujui ndo nakuona leo akanmbia ndo tuna mwezi kila siku lunch huwa ananipitia ofisn na gari hii tunakwenda kula yaani dem kajaa kwa mchizi hatari magari haya[emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]
Kiukweli bila kufeki huwezi pata dem kwa sasa kila dem atakukataaa aseee mwenyew kuna madem nikiwafata lazma nijitanue aone bonge la bwana
Code for gentlemen:Ungeteka jeshi hapo. Umzunguke mwana na demu ungejilia hapo hapo kwa ndinga lako
wanawake wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli, na kwa hali hiyo hujikuta wamedumbukia siko, yani kwenye hamna na cha moto hukipata. Na wakipate tuu, maana wanayataka wenyewe.Ujue kuna jamaa yangu kitaa kaniomba smartphone aende nayo weekend kwa demu wake hahahah nikaona niandike haka kauzi daah haya maisha haya Mungu mwenyewe anajua
Kufake kunafaa sana kwa wale wanawake wadangaji ila kwa mgongo wa mahaba Moto moto.Usipofeki utakula mbusuza aza ovyonovyo
Nwanzo nilliona kuwa kufake Ni hatari ila jamaa angu Ana feki na anakula mademu wakli San anawadangaya San na mademu wanajaha wenye aogopi kbsa anansema mpk akili siwakae sawa Hana anachopoteza mnk Hawa watot ukiwaambia ukweli watakukimbia ila fix wanpenda San
Mm mwenyew sad HV nikitaka mbususa mkali nafake alfu nikisha pita nae nakausha zangu
Moto ukimwi au aibu kuingizwa chakawanawake wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli, na kwa hali hiyo hujikuta wamedumbukia siko, yani kwenye hamna na cha moto hukipata. Na wakipate tuu, maana wanayataka wenyewe.
Kuna jamaa ni mzee wa kuazima, na amejaliwa saundi na fix za uongo kama zote na Kama ni cheti au level ya Elimu basi angekuwa profesa wa fix na uongo.
Na kinachombeba na kumfanya wanawake wenye tamaa za pesa wamwamini ni mwili wake, maana hata akiazima gari ya mtu akikaa humo anaenea, utazani yake.
Jamaa kajiokotea dodo chini ya muembe kisa fix zake, tena toto zuri msomi kabisa, wale wa kuringa na kujiskia.
Dada wa watu kapigwa na kitu kizito kichwani, sababu ya tamaa zake za pesa kanasa kwenye tundu bovu, baada ya ndoa ndo anagundua jamaa hana mia, na cha moto amekipata.