Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

Kufake kunafaa sana kwa wale wanawake wadangaji ila kwa mgongo wa mahaba.

Unahakikisha unamfuja ipasavyo Kisha unamdump.

Sio kwa yule unaetegemea kufanya nae malengo




Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm natumia hzo hizo mbinu Kama Nina malengo in long run nitakuwa mpole ila Kama analeta jeuri aise atafurahi akija kushtuka sitajali na atakuwa makini siku nyingine asiingie mahali kichwa kichwa

Baada kuona hvyo sas HV mbususa kibao nachakata Wal Sina ofu kuwa itakuwaje alijuwa ajue tu atakuw amakini in future
 
wanawake wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli, na kwa hali hiyo hujikuta wamedumbukia siko, yani kwenye hamna na cha moto hukipata. Na wakipate tuu, maana wanayataka wenyewe.

Kuna jamaa ni mzee wa kuazima, na amejaliwa saundi na fix za uongo kama zote na Kama ni cheti au level ya Elimu basi angekuwa profesa wa fix na uongo.

Na kinachombeba na kumfanya wanawake wenye tamaa za pesa wamwamini ni mwili wake, maana hata akiazima gari ya mtu akikaa humo anaenea, utazani yake.

Jamaa kajiokotea dodo chini ya muembe kisa fix zake, tena toto zuri msomi kabisa, wale wa kuringa na kujiskia.

Dada wa watu kapigwa na kitu kizito kichwani, sababu ya tamaa zake za pesa kanasa kwenye tundu bovu, baada ya ndoa ndo anagundua jamaa hana mia, na cha moto amekipata.
Uongo ni mtamu kuliko ukweli. Tuishi kwenye ukweli kwa faida yetu. Ukiwa mwongo huwezi pambania maisha kikamilifu
 
Usipofeki utakula mbusuza aza ovyoovyo

Mwanzo nilliona kuwa kufake Ni hatari ila jamaa angu Ana feki na anakula mademu wakli San anawadangaya San na mademu wanajaha wenye aogopi kbsa anansema mpk akili siwakae sawa Hana anachopoteza mnk Hawa watot ukiwaambia ukweli watakukimbia ila fix wanapenda San

Mm mwenyew sasa HV nikitaka mbususa mkali nafake alfu nikisha pita nae nakausha zangu sina muda
Ila mkuu kwenye ku fake pia unatoboka mfukoni maana kama ni pakukutania lazima uandae sehemu yenye status unayojijengea kiuongo
 
Ujue kuna jamaa yangu kitaa kaniomba smartphone aende nayo weekend kwa demu wake hahahah nikaona niandike haka kauzi daah haya maisha haya Mungu mwenyewe anajua
So baada ya kuandika ulimpa hako ka smartphone au
 
Yafaa nini mwanaume kuishi bila kuchakata papuchi...

Do what it takes,,,, But don't keep it (Marry)
 
Back
Top Bottom