Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

Ujue kuna jamaa yangu kitaa kaniomba smartphone aende nayo weekend kwa demu wake hahahah nikaona niandike haka kauzi daah haya maisha haya Mungu mwenyewe anajua
Bora usingempa hiyo simu ukamchana ukweli kuliko kuja kumsimanga huku Jf
 
Kwa sababu wao wanacho angalia ni hela na wakisha gundua kuwa hauna hela wana kukataa.Kwanini usi fake kusudi ukubaliwe???
 
Sio utanibadilikia sema nikubadilishe sahivi huo mdomo niutoe meno,nikudunde hadi make up idondoke ubaki ukiwa chausiku na sio chakorii..😎😊
Kichwa chako kibovu.
Labda meno makeup huko nitoe maana si mahali pangu
 
Ujue kuna jamaa yangu kitaa kaniomba smartphone aende nayo weekend kwa demu wake hahahah nikaona niandike haka kauzi daah haya maisha haya Mungu mwenyewe anajua
Hapo akisha maliza yake ana kurudishia,Life linaendelea kama kawaida.Shida sio ku fake shida ni hawa viumbe ndo vinafanya u fake.Ukiwa real humpati[emoji28]
 
Tupambane tuwe sisi katika mafanikio yetu na sio tuwe wale kimuonekano alafu kiuhalisia hali tete
 
Bora usingempa hiyo simu ukamchana ukweli kuliko kuja kumsimanga huku Jf
Bora hiyo simu ampe,Sema amwambie awe makini asije aka ihonga.Kwa sababu mademu wamezidi.Ukienda ukiwa real ana kuchomolea mchana kweupe.Bora kufake tu umpate kisha kila mtu ashike 50 zake.Ukweli utajulikana badaee.
 
Noma noma
 
Tupambane tuwe sisi katika mafanikio yetu na sio tuwe wale kimuonekano alafu kiuhalisia hali tete
Ukiona umeamka mzima,ujue mapambano yanaendelea.Lakini siyo kigezo cha ku to kufake kwenye swala la mademu.Mademu usipo fake utaishia kula mizoga[emoji1787]
 
"70% of African women life style is pretence" kwasbb wengi wamelelewa from humble background na wako tayari kukubaliana na huo ukweli.
 
Tupambane tuwe sisi katika mafanikio yetu na sio tuwe wale kimuonekano alafu kiuhalisia hali tete
Yani hata kama ukipambana ukawa na mafanikio makubwaa na wao lazima wata fake love kwako Kwa sababu ya mafanikio Yako.Watakuita majina Yote ya mapenzi,Watakwambia wewe ni handsome,Wewe ni unique Yote Kwa sababu ya mafanikio Yako lakini sio kwamba watakuwa real.

Ku fake lazima bro![emoji1787] Weee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…