Hata mm natumia hzo hizo mbinu Kama Nina malengo in long run nitakuwa mpole ila Kama analeta jeuri aise atafurahi akija kushtuka sitajali na atakuwa makini siku nyingine asiingie mahali kichwa kichwaKufake kunafaa sana kwa wale wanawake wadangaji ila kwa mgongo wa mahaba.
Unahakikisha unamfuja ipasavyo Kisha unamdump.
Sio kwa yule unaetegemea kufanya nae malengo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo ni mtamu kuliko ukweli. Tuishi kwenye ukweli kwa faida yetu. Ukiwa mwongo huwezi pambania maisha kikamilifuwanawake wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli, na kwa hali hiyo hujikuta wamedumbukia siko, yani kwenye hamna na cha moto hukipata. Na wakipate tuu, maana wanayataka wenyewe.
Kuna jamaa ni mzee wa kuazima, na amejaliwa saundi na fix za uongo kama zote na Kama ni cheti au level ya Elimu basi angekuwa profesa wa fix na uongo.
Na kinachombeba na kumfanya wanawake wenye tamaa za pesa wamwamini ni mwili wake, maana hata akiazima gari ya mtu akikaa humo anaenea, utazani yake.
Jamaa kajiokotea dodo chini ya muembe kisa fix zake, tena toto zuri msomi kabisa, wale wa kuringa na kujiskia.
Dada wa watu kapigwa na kitu kizito kichwani, sababu ya tamaa zake za pesa kanasa kwenye tundu bovu, baada ya ndoa ndo anagundua jamaa hana mia, na cha moto amekipata.
Ila mkuu kwenye ku fake pia unatoboka mfukoni maana kama ni pakukutania lazima uandae sehemu yenye status unayojijengea kiuongoUsipofeki utakula mbusuza aza ovyoovyo
Mwanzo nilliona kuwa kufake Ni hatari ila jamaa angu Ana feki na anakula mademu wakli San anawadangaya San na mademu wanajaha wenye aogopi kbsa anansema mpk akili siwakae sawa Hana anachopoteza mnk Hawa watot ukiwaambia ukweli watakukimbia ila fix wanapenda San
Mm mwenyew sasa HV nikitaka mbususa mkali nafake alfu nikisha pita nae nakausha zangu sina muda
Juhudi yako tuHivyo Hollywood tunafika kwa maigizo yetu
Kabisaaa!😂😂 Titiii for Tatiiii
So baada ya kuandika ulimpa hako ka smartphone auUjue kuna jamaa yangu kitaa kaniomba smartphone aende nayo weekend kwa demu wake hahahah nikaona niandike haka kauzi daah haya maisha haya Mungu mwenyewe anajua