Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Paka anaweza kukuua hata wewe mkuu, kama unabisha funga mlango na madirisha yaani kusiwe na mahali pa yeye kutoka halafu mkate mkia...
Aisee umkate mkia ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paka anaweza kukuua hata wewe mkuu, kama unabisha funga mlango na madirisha yaani kusiwe na mahali pa yeye kutoka halafu mkate mkia...
Kwahiyo Simba, chui, duma, mountain lion, jaguar, Black panther, tiger, puma, wote hawa kwako sio paka wakubwa mzee au unadhani paka ni kitu gani?Dah! Mtafutie hata supu na yeye ajilambe, jamaa kafanya kazi nzuri.
Paka ni mnyama hatari, sema mwili wake ni mdogo, angekuwa na umbile kubwa kama la mbwa hata mbwa ziwe sita zisingeweza mkabili paka mmoja.
Ni jamii ya paka ila wana tofauti pia.Kwahiyo Simba, chui, duma, mountain lion, jaguar, Black panther, tiger, puma, wote hawa kwako sio paka wakubwa mzee au unadhani paka ni kitu gani?
Kwanini tumfungie ndani? Na je bila chakula?Hata kuku huua nyoka na kuwala, ukitaka kumchinja kuku wa kienyeji usimkamate na kuchinja, mfungie ndani kwa siku tatu siku ya nne ndipo umchinje.
Hata mwa ukimfungia na paka lazima mbwa aumizwePaka anaweza kukuua hata wewe mkuu, kama unabisha funga mlango na madirisha yaani kusiwe na mahali pa yeye kutoka halafu mkate mkia...
Paka anaongoza kwa hunting skills kuliko wanyama wote wa jamii ya pakaView attachment 2911695
Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake.
Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila sikuona mtu yeyote nikapuuza, baada ya muda naona kama kuna kitu kakizingira anakidadisi kwa muda mrefu huku akiwa anajaribu kukigusa kwa tahadhari, nikapuuza
baada ya muda kidogo naona paka yupo bize anakipiga piga na mkono, kwenda kuangalia karibu nakuta ni vita kali sana baina ya paka na nyoka lakini paka alikuwa kaimudu vema mno, nyoka alikuwa anapigwa sana kucha za kichwani, paka anaweza kumsogelea nyoka ana kwa ana lakini huwezi amini nyoka kwa speed yake ya kudonoa hakuweza hata kugusa sharubu za paka, yani paka ana kasi kubwa mno ya kukwepa kiasi cha kunishangaza.
Sikujua kwamba paka wana uwezo mkubwa kiasi hiki.
Ilikuwa kijijini kipindi cha njaa, mwenyenyumba alienda shamba kurudi akakuta paka amekula mboga alioitegemea na hakukuwa na mboga nyingine.Sababu ya kumkata mkia ilikuwa nini haswa?
Paka mwizi dawa yake ni kumtia kwenye gunia na kwenda kumtupa mbali sana akaishi huko na siyo kumdhuruIlikuwa kijijini kipindi cha njaa, mwenyenyumba alienda shamba kurudi akakuta paka amekula mboga alioitegemea na hakukuwa na mboga nyingine.
yani paka ana kasi kubwa mno ya kukwepa kiasi cha kunishangaza.
Sikujua kwamba paka wana uwezo mkubwa kiasi hiki.
Ukimkata mkia hana nguvu hata ya kukimbia nanstamina yote inaishaPaka anaweza kukuua hata wewe mkuu, kama unabisha funga mlango na madirisha yaani kusiwe na mahali pa yeye kutoka halafu mkate mkia.
Kala kibano cha maana sanaView attachment 2911695
Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake.
Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila sikuona mtu yeyote nikapuuza, baada ya muda naona kama kuna kitu kakizingira anakidadisi kwa muda mrefu huku akiwa anajaribu kukigusa kwa tahadhari, nikapuuza
baada ya muda kidogo naona paka yupo bize anakipiga piga na mkono, kwenda kuangalia karibu nakuta ni vita kali sana baina ya paka na nyoka lakini paka alikuwa kaimudu vema mno, nyoka alikuwa anapigwa sana kucha za kichwani, paka anaweza kumsogelea nyoka ana kwa ana lakini huwezi amini nyoka kwa speed yake ya kudonoa hakuweza hata kugusa sharubu za paka, yani paka ana kasi kubwa mno ya kukwepa kiasi cha kunishangaza.
Sikujua kwamba paka wana uwezo mkubwa kiasi hiki.
AnakumalizaPaka anaweza kukuua hata wewe mkuu, kama unabisha funga mlango na madirisha yaani kusiwe na mahali pa yeye kutoka halafu mkate mkia.
AnakumalizaPaka anaweza kukuua hata wewe mkuu, kama unabisha funga mlango na madirisha yaani kusiwe na mahali pa yeye kutoka halafu mkate mkia.
Humjui mbwa vizuri chief, nilipata tabu sana kufuga mbwa na paka, walikua Kila paka unayemleta wanamuua usiku.... Mpaka ikafika mahali nikiwa nawatrain mchana nakaa nao na paka wakimbwekia tu nawafokea na kuwatishia kuwapiga ndo wakamzoeaHata mwa ukimfungia na paka lazima mbwa aumizwe