Tuishi na watu vizuri: Utajiri unaweza kuisha. Nimeshuhudia anguko la tajiri

Tuishi na watu vizuri: Utajiri unaweza kuisha. Nimeshuhudia anguko la tajiri

Ogopa sana biashara mzee..usimcheke. huyo kama alipambana kufika hapo,ni just a matter of time and guts tu atasimama tena. Biashara zina mabalaa.

Hapo nilipokua, nimeshuhudia kampuni 2 zinafumgua ofisi mpaka zinafunga . 2 tofauti!!! Hatar sana..

Kuona tu biashara ina survive mjini, sio kitoto, wapewe heshima zao watu jamani.
 
ukiishi na watu vizuri watazuia usifirisike au
wewe ndo wale wanachukia matajiri
au mnaona tajiri anaringa
Hapana mkuu,

Mimi natokea middle class family.

Ila babu yangu upande wa mama alikua tajiri mkubwa kipindi chake.

Alikua na mahekta ya mashamba ya kahawa na alikua na wake na wafanyakazi lukuki.

Mpaka leo ana mtaa unaitwa kwa jina Lake.

Upande wa baba, babu alipata elimu ya kikoloni, hii ilimfanya mzee kuwa moja ya wasomi wa mwanzo kabisa.

So background yangu sio mbaya siwezi kuwa na wivu.
 
Back
Top Bottom