Tuishi na watu vizuri: Utajiri unaweza kuisha. Nimeshuhudia anguko la tajiri

Tuishi na watu vizuri: Utajiri unaweza kuisha. Nimeshuhudia anguko la tajiri

Kivip mzee
Kuna mganga yupo mikoa ya kusini huko na mwingine yupo lushoto huko, anatoa huo utajiri wa kukopesha. ko ukienda hapo anakupa masharti na anakupa noti kadhaa then unaenda kuanzisha ofisi ya kukopesha zile noti alizokupa unaenda kuchanganya na pesa unazokopesha.......

Siku ukikosea masharti utajiri unapoteaa Kama upepo....
 
Kwa macho yangu nimeshuhudia tajiri anafilisika.

Toka kukopesha watu kiasi chochote.

Mpaka ofisi inafungwa.

Itoshe kusema tu kuwa.

Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Sijajua kuishi na watu vizuri ni kupi na maskini sijui Kwa nini mnafurahia watu kufikisika.

Hata Mimi Jamaa yangu amefilisika Kila kitu kauza na Madeni hajamaliza ,anasitiliwa na Mke tuu na bahati mbaya kazi aliacha baada ya vijisenti kumchanganya.
 
Hapana mkuu,

Mimi natokea middle class family.

Ila babu yangu upande wa mama alikua tajiri mkubwa kipindi chake.

Alikua na mahekta ya mashamba ya kahawa na alikua na wake na wafanyakazi lukuki.

Mpaka leo ana mtaa unaitwa kwa jina Lake.

Upande wa baba, babu alipata elimu ya kikoloni, hii ilimfanya mzee kuwa moja ya wasomi wa mwanzo kabisa.

So background yangu sio mbaya siwezi kuwa na wivu.
poa mkuu
 
Kuna mganga yupo mikoa ya kusini huko na mwingine yupo lushoto huko, anatoa huo utajiri wa kukopesha. ko ukienda hapo anakupa masharti na anakupa noti kadhaa then unaenda kuanzisha ofisi ya kukopesha zile noti alizokupa unaenda kuchanganya na pesa unazokopesha.......

Siku ukikosea masharti utajiri unapoteaa Kama upepo....
Mtu ukitaka 200m anakupa .

Akifilisika lazima ushangae.
 
Kwa macho yangu nimeshuhudia tajiri anafilisika.

Toka kukopesha watu kiasi chochote.

Mpaka ofisi inafungwa.

Itoshe kusema tu kuwa.

Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
After longtime nazidi kujifunza mengi nipo Homeland niliondoka muda kidogo..
Asubuh huwa natembea with CRUTCHES kwa ajili ya mazoezi ya mguu wangu
Nanukuu
""KUNA MKAKA MWEUPE MLEMAVU ANAPITAGA HAPA"" mlemavu wanae mzungumzia ndio Mimi. Mama ndio aliambiwa Jana vitu vingine vinafikirisha I hope mpaka katikati ya July ntaweza kutembea Tena bila clutches
All in all,
Naogopa Sana kuja kua MTU maskini siku zoteee tuuogope UMASKINI pia tukumbuke YEYOTE leo anaweza KUA YEYOTE kesho
 
Kwa macho yangu nimeshuhudia tajiri anafilisika.

Toka kukopesha watu kiasi chochote.

Mpaka ofisi inafungwa.

Itoshe kusema tu kuwa.

Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Hii nayo aina nyingine ya uchawi!

Stop taking things personal, You do you, then the rest of the World will adjust, kila mmoja kwenye nafasi yake.
 
Kuna mganga yupo mikoa ya kusini huko na mwingine yupo lushoto huko, anatoa huo utajiri wa kukopesha. ko ukienda hapo anakupa masharti na anakupa noti kadhaa then unaenda kuanzisha ofisi ya kukopesha zile noti alizokupa unaenda kuchanganya na pesa unazokopesha.......

Siku ukikosea masharti utajiri unapoteaa Kama upepo....
Hakuna kafara??
 
Back
Top Bottom