Tuishi na watu vizuri: Utajiri unaweza kuisha. Nimeshuhudia anguko la tajiri

Tuishi na watu vizuri: Utajiri unaweza kuisha. Nimeshuhudia anguko la tajiri

Kwa macho yangu nimeshuhudia tajiri anafilisika.

Toka kukopesha watu kiasi chochote.

Mpaka ofisi inafungwa.

Itoshe kusema tu kuwa, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Mkuu, sijaona uhusiano wa kuishi vizuri na watu na kufunga biashara zake kwenye uzi wako. Inawezekana ameishi na watu vizuri ila kutokana na muelekeo wa biashara ameona afunge then anaenda kufungua nyingine.

Au ndo wema umemponza ameishi nao kwa kuwaonea huruma wamekopa pesa ndefu hawajamlipa.
 
Back
Top Bottom