Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kuna utajiri wa kurithi,kupambana keep halali, bunifu,na huu ambao pia shetani hutoa kwa masharti!Kuna mganga yupo mikoa ya kusini huko na mwingine yupo lushoto huko, anatoa huo utajiri wa kukopesha. ko ukienda hapo anakupa masharti na anakupa noti kadhaa then unaenda kuanzisha ofisi ya kukopesha zile noti alizokupa unaenda kuchanganya na pesa unazokopesha.......
Siku ukikosea masharti utajiri unapoteaa Kama upepo....