Tuishi na watu vizuri: Utajiri unaweza kuisha. Nimeshuhudia anguko la tajiri

Tuishi na watu vizuri: Utajiri unaweza kuisha. Nimeshuhudia anguko la tajiri

Micro finances nyingi zimeyumba msimu huu wa Hangaya, sijui connection iliyopo ila nadhani mojawapo ni labda, hela kuwa kwa wachache katika mzunguko.

Biashara ni ngumu, ngumu, ngumu. Wale ambao biashara zenu zinastawi awamu hii tupeni siri mnafanyaje?
 
I'm sorry kusema haya ni maoni ya kimaskini.

Tafuta hela, acha kuombea watu anguko. Huyo tayari ana ramani ilimradi hajakatwa mikono anaweza kunyanyuka tena.

By the way miaka hii mtu kufikisika 100% nadra sana labda ukwasi upungue tu.

Once moneyed always moneyed.

Tafuta hela, tafuta Mali. Mwenyezi Mungu mbele.

Wabongo baadhi kwao mtu mwenye mafanikio ya Mali na pesa huwa ni mhalifu aidha ataitwa mchawi,mwizi,bahiri,hapendi ndugu,pesa za mkopo nk... kuthibitisha hilo sikia matusi ya makondakta na madereva wa daladala kwenye miji yetu wakichomekewa hata na IST tu au PASSO utasikia "kamkebe kenyewe ka mkopo" nk ni wiivu tu!

Ukiendekeza umaskini lazima uwe na chuki ya kiwango cha SGR.
 
Kwa macho yangu nimeshuhudia tajiri anafilisika.

Toka kukopesha watu kiasi chochote.

Mpaka ofisi inafungwa.

Itoshe kusema tu kuwa, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Mwafrika mtu wa ajabu sana yaani hiyo ndo starehe yake mtu akipata matatizo, yani kifupi hatupendani nafuu "MBWA" kuliko sisi, Mchina akijenga jengo tunaishia kubeba Zege, PUMBAVU SHENZI.
 
Back
Top Bottom