Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Likija kukutokea wewe hutoona hisia kitakua ni kitu cha uhalisia kabisa, kuna ki msemo nilikiona wakati na pita mtandaoni kina sema"ukiona mwenzio anaongea pekee yake wewe muache na wewe zamu yako itafika"achana na mambo ya hisia mkuu.Sema jambo likimtokea mtu wa karibu, hisia huwa tofauti.
Mkuu, sijaona uhusiano wa kuishi vizuri na watu na kufunga biashara zake kwenye uzi wako. Inawezekana ameishi na watu vizuri ila kutokana na muelekeo wa biashara ameona afunge then anaenda kufungua nyingine.Kwa macho yangu nimeshuhudia tajiri anafilisika.
Toka kukopesha watu kiasi chochote.
Mpaka ofisi inafungwa.
Itoshe kusema tu kuwa, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
PESA INAYOJIHUSISHA NA RIBA IMELAANIWAKwa macho yangu nimeshuhudia tajiri anafilisika.
Toka kukopesha watu kiasi chochote.
Mpaka ofisi inafungwa.
Itoshe kusema tu kuwa, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
"Mwenyeweeee umefurahiiiii"!Umefurahii mwenyewe..
Jaman!akafurahi tena,duhUkafurahiiii
InshallahMungu akusaidie kwenye mkaa huko minjingu maliasili wasikurudishe nyuma.
Na furaha yetu sisi matajiri ni kuwafanyisha kazi masikini kama punda wa mbuguni.Furaha ya masikini ni kuona tajiri akifilisika.