Tuisila Kisinda is yellow and green

Tuisila Kisinda is yellow and green

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022.
Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya nchi ulikwisha kutimia. Bila shaka tujafahamu mapema. Hongera kwao wananchi
 
Khee.. Anarudi kufanya nini sasa

Walisema hapa bwihi bwihi ligi ya Morocco ameipatia na atasonga mbele kuliko mwezake Chama.
mwanaspoti_tz~p~Ch8CxIOK011~1.jpg
 
Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022.
Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya nchi ulikwisha kutimia. Bila shaka tujafahamu mapema. Hongera kwao wananchi
Clatous Chama alivyorejea Tanzania kutokea Timu hii hii aliyotokea Tuisila Kisinda mlikuwa mnasema hadi Kushadadia kuwa ameisha Kiwango haya sasa na huyu aliyerejea Yanga SC Kwenu mtasemaje?

Bahati nzuri Tuisila Kisinda aliyekuwa akichezea Yanga SC na yule noliyemuona ameondoka Yanga SC ni Watu wawili tofauti nikimaanisha aliyekuwa Tanzania alikuwa ni mzuri na huyu aliyerejea ni mbovu na wa Kawaida mno.

Urejeo cha Tuisila Kisinda ( Yanga SC ) na ule wa Clatous Chama ( Simba SC ) baada ya Kushindwa kufanya vyema huko nxhini Morocco na Klabu ya Berkane FC ni Jibiu tosha kuwa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League ni Mbovu na bado sana ila inapromotiwa mno ili Kutuaminisha Watanzania kuwa nasi tuna Ligi Kuu bora wakati ni Ligi Kuu ya Wachezaji Wavivu na Wanaojua na kupenda Starehe na Anasa.
 
Back
Top Bottom